Uchaguzi 2020 Chato: Msafara wa Tundu Lissu washambuliwa kwa mawe

Kikundi chenu Chato kimenyooshwa na wanachato. Watz wameshaanza kuwachoka sasa.
Hata sisi wengine tuna hamu ya kumpopoa na mawe huyo Magufuli,sema tunaheshimu sheria za nchi na kuwa wastaarabu!
 

Ili kuthibitisha kile anachikisema Kwani CHADEMA hawana stronghold mbona hawakuweka watu wa kufanya fujo, hizo ni jukumu la polisi ndo wanashindwa kuthibiti ile intelligence yao huwa inafanyakazi kwenye makosa ya wafuasi wa CHADEMA tu
 
Mimi siwezi kupanic hata siku moja mkuu!
Sio wewe tu,Wazabzabina wote wa Chama chenu cha Mazezeta wamepanik
Pigeni siasa za kistaarabu acheni kushangilia watu kupigwa mawe na risasi
 
Lissu ameamua kufanya siasa za uchokizi, kutukanana, Nzega alivyo mtukana magufuli, alikuwa anapeleka ujumbe Chato kuwaomba wamshambulie, ili apate ajenda ya kuzungumzia kesho na keshokutwa. Apigwe tuu
Nzega alitukanaje...
Mkomee kurushia mawe magari ya matangazo ila mkimgusa round hii mtakunya hewa
 
Sijui ccm wanaipeleka wapi nchi hii! Hivi vitendo vya kijima vinatokeaje Tanzania?
Mwana kulitafuta mwana kulipata! Ingawa wamejitekenye na kucheka wenuewe kutafuta kick! Lisu ameshajua ameshindwa sasa anatengeneza matukio.

Queen Esther
 
Huko jimboni kwa Lissu watu wanampenda Magufuli ndio maana hawakumrushia mawe. Ukisema kwamba hawakumrushia kwasababu ya mamlaka yake, Basi angalau hata wangemzomea tu...

Acha ujinga huo watu hata wasiompenda hawana ushamba wa hivo Kwani kama wanampenda Magufuli si wajikalie nyumbani ili mkutano wake ukose watu shida ya nini ukiona hivo kuna wafuasi wengi sasa wamefanya fujo ili wasiende kwenye mkutano waogope fujo maana wakionekana wengi itakuwa aibu kubwa
 
Sio wewe tu,Wazabzabina wote wa Chama chenu cha Mazezeta wamepanik
Pigeni siasa za kistaarabu acheni kushangilia watu kupigwa mawe na risasi
Si mnatengeneza matukio ili muwalizishe mabwana zenu wakina Amsterdam.
 
Nije nielewe nini wewe? Ni nani alikuambia nahitaji kusaidia? Tena na fala kama huyo asiye na nyuma wala mbele.
Sawa Mkuu ,utakuja kuelewa ila Muda utakuwa umesha kutupa mkono.Uwe na Amani.
 
Ndio tumefurahi sana wacha akome kabisa! Watu unawarukana kila leo halafu kesho unakwenda kwao hahahahaba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Halafu unakuta na wewe ni baba au kaka wa mtu ..baba/kaka ambaye kichwani umejaza kinyesi ...😂 😂 What a skunk !!!
 
Sasa wewe huko kwa mabeberu unabeba mabox utampopoa lini na utaweza?
Kwa mabeberu ndio wapi huko?Mimi niko Tanzania na kwa jinsi nisivyompenda Magufuli ningeweza kufanya kile ambacho amefanyiwa Lissu ila ni ustaarabu tu na kufuata sheria za nchi!

Tukifika hatua hii ya kuumizana kisa vyama basi ni wazi tunacheza na amani ya nchi hii iliyodumu kwa miaka mingi!
 
Lissu na Chato wapi na wapi wacha yamkute analeta siasa za majitaka wacha Chato wamfundishe
Haya yanatamkwa na mtanzania? Nashangaa watu wa uhamiaji hawawafuati watu wa aina yako kuwahoji uhalali wa uraia wenu. Unawezaje kushabikia vitu vyenye kuhatarisha amani?
 
Msaliti Lissu si kila siku anawahamasisha kufanya fujo!
 
Acha upumbav wewe mwanamke!Mwanamke gani unakuwa na roho ngumu kiasi hicho?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…