Uchaguzi 2020 Chato: Msafara wa Tundu Lissu washambuliwa kwa mawe

Haya yanatamkwa na mtanzania? Nashangaa watu wa uhamiaji hawawafuati watu wa aina yako kuwahoji uhalali wa uraia wenu. Unawezaje kushabikia vitu vyenye kuhatarisha amani?
Mbona Msaliti Lissu kila siku anahamasisha uvunjifu wa amani mbona hukemei!?
 
Niko hapa Chato CCM wanafanya uhuni na uvunjaji wa Amani na Sheria mbele ya Polisi
Ila wananchi wamejitokeza kwa wingi kwelikweli CCM tokea jana walikuwa wanawatisha wananchi wasimpokee Raisi mtarajiwa Jemadari Tundu Lissu.
Waambie wakati ni ukuta
 
Hekima ya lissu ni ndogo mno. Huwezi kuwananga watu wa chato juu ya uwanja wa ndege na mbuga halafu tena ukawaombe Kula. Zinamtosha yeye tu!!
uwanja wa ndege wa chato ni kwa manufaa ya mtu mmoja tu
 
Msaliti Lissu si kila siku anawahamasisha kufanya fujo!
Hayo unayosema jawabu lake ni sanduku la kura na sio hizi fujo za kupigana mawe!Haya mambo kwa mtu timamu siyo ya kushabikia kabisa na badala yake yanapaswa kukemewa kwa nguvu zote!

Mtu humpendi usiende kwenye mkutano wake na siku ya kupiga kura usimchague!Hata sisi wengine tuna watu tusiowapenda ila hatujawafanyia fujo kwenye kampeni zao!
 
Ingependeza na ingempa heshima kubwa Rais Magufuli kama kusingetokea vurugu za wananchi kushambulia msafara wa mgombea urais kupitia CHADEMA.

Kama mkuu wa nchi na Baba wa demokrasia nchini, Rais Magufuli anatakiwa kuchukua hatua mara moja juu ya kile kilichotokea leo

La sivyo itadhihirika kuwa wametumwa na hawagusiki.

Najiuliza hali hii ingetokea Singida siku ile Magufuli alipoenda kule sijui ingakuwaje!
 
Mbona Msaliti Lissu kila siku anahamasisha uvunjifu wa amani mbona hukemei!?
Wapi amehamasisha uvunjifu wa amani? Unaweza ukaweka ushahidi?

Labda tu niwaambie, hakuna alimkubwa kuizidi Tanzania. Hata hivyo vyama vyama vya siasa mnavyojivunia ipo siku vitapita lakini Tanzania itaendelea kubaki.

Acheni ushabiki wa kijinga kushangilia fujo
 
Kwa vurugu za chato anayepaswa kujisafisha ni rais, akikaa kimya atakuwa amechafuka vibaya.Kwa rais alipaswa kuwa mfano kufanikisha usalama wa kutosha unawepo Kwake kwa wagombea wenzie..
Umeoongea point kubwa sana lakini mazwazwa Hawawezi kuelewa ... Waliopanga kufanya hilo tukio wamemchafua sana raisi na chama chake .kwajinsi mimi navyoijua siasa kuwa ni mchezo mchafu waweza kukuta hao waliompiga mawe tundu lissu ni vikaragosi wa hao hao CDM wamefanya plan hiyo ilikuzidi kumpaka matope magu kuwa anachuki za dhahiri shahiri na mpinzani wake...( nimejaribu tu kuwaza kwa sauti) .... Ila hiki nilichoongea ni fiction tu hakina uhalisia
 
We payuka tu
 
Ulishindwa kumuua mtu kwa risasi,
ndio utumie mawe kweli?

 
Ingetokea kwenye mkutano wa Mgombea Raisi wa CCM angeagiza majeshi kutoka jwtz yake yaue wananchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…