Uchaguzi 2020 Chato: Msafara wa Tundu Lissu washambuliwa kwa mawe

Dawa ilikuwa kususia mkutano, sasa mkutano umejaa kuliko yote iliyofanywa na wagombea wengine hapo Chato halafu mnaenda kurusha mawe… ujue sometimes CCM mnakuwa mabata sana?
Hao uvccm, weka picha ya mtiti wa mkutano wa hadhara.
UVCCM walidhani wangewazuia maelfu kuhudhuria mkutano.
CCM imeahindwa na haikubaliki Tena kila mahali
 
Mmeshashindwa kabla ya tarehe 28.10. mmebaki kutoa meno tu na bado. Mnaendekeza Upumbavu wa kushambulia watu mwaka huu mtakoma
Hawaamini kinachowatokea kila sehemu anakopita Mheshimiwa Tundu Lisu watu wanataka mabadiliko, ccm wana mtu ambae hata kuwasilisha presentation kwa hadhira ni kama anawafokea muda wote hana diplomatic and political language.
 
mkuu, vijana wamekusanywa kutoka katoro mwabomba na mwime, walifika chatto kwenye mafuso, zile ford renger kutoka rombo leo zilikuwa tatu na hiace moja zote zimesheheni wapiga watu, hata police waliokuwepo wamepigwa na kukimbia kabla wananchi hawajawakabili, kimsingi walikuja kivita
 
Kuwajibu watu wa aina hiyo ni kupoteza muda tu. Hawajui wanachofanya
Kila mgombea ana haki ya kuzunguka eneo lolote ndani ya Tanzania kwa ajili ya Kampeni, kwani nani mwenye hati miliki ya Chato? Nakumbuka Magufuli alienda Singida eneo alipozaliwa Lissu lakini hakuna aliefanya fujo
 
Kumbe Lisu alienda kumtukana Magufuli, Mimi nilikuwa sina habari.

Ila Luna urazima wa kutafuta tafsiri nyingine ya matusi...maana sijaona matusi yakitukanwa...na nahisi pia kwa sheria za Tanzania ukitukana hadharani ni kama umetukana umma so no kosa kisheria (sina uhakika sana nipo tayari kukosolewa)
 
Mapenda kutukanwa Sana nyie..
Lissu sio Polepole kutwa kulamba miguu ya John tu... Weka akilini hilo
 
Hawaamini kinachowatokea kila sehemu anakopita Mheshimiwa Tundu Lisu watu wanataka mabadiliko, ccm wana mtu ambae hata kuwasilisha presentation kwa hadhira ni kama anawafokea muda wote hana diplomatic and political language.
Imagine, Yohana anafanya kampeni lakini bado anataka akalie kiti cha kifalme na ate bee kwenye red carpet.
 
Hata Akina Mandela wasingekomaa Makaburu wangekuwa bado wanatesa RSA.
makaburu hawakumwachia mandela kwa sababu ya maandamano, ulikuwa mkakati wa kiuchumi, hivi ulishajiuliza kwanini africa ya kusini hadi leo waziri wa fedha sio mweusi? ulishajiuliza kwanini kituo cha nuclear cha africa ya kusini ni wazungu watupu? ulishajiuliza kwanini wa Mozambique Nigerian na wazimbabwe ndio wanaochomwa moto africa ya kusini na si wazungu wala wahindi?
 
Chato Hawahusiki na Uchaguzi?
Ni sahihi ccm kuzunguka nchi nzima ila Chadema ni haramu!!!??
Hakuna sehemu CDM hawahusiki Chato ila Lissu mwenyewe kumbe alijua kwenda Chato ni kutafuta uchokozi sio na Magufuli bali wenyeji kwa ujumla; ndio hayo sumu aionjwi.
 
Mawe ya nn Hali mmetuvusha uchumi wa Kati tunakula mara sita kwa siku,ndege tele,maflyover kibao,sgr why mtumie mawe
Hawa ccm hawajiamini ndo maana wako hivyo wamepiga kampeni miaka mitano yote televisheni zote zao bado na Fujo wanaanzisha wao naona na chadema wawe nanaenda na manati kwenyemikutano ili wakianzisha fujo nao wajitetee inaudhi sana
 
Acha uongo. Waziri wa fedha ni Tito Mboweni. Ni mwafrica kama sisi. Nuclear kama silaha waliiabandon baada tu ya uhuru. Na ukienda Perindaba kuna Wa Africa kibao mpaka Wazimbabwe.
 
Mawe ya nn Hali mmetuvusha uchumi wa Kati tunakula mara sita kwa siku,ndege tele,maflyover kibao,sgr why mtumie mawe
Hawa ccm hawajiamini ndo mama wako hivyo wamepiga kampeni miaka mitano yote televisheni zote zao bado na Fujo wanaanzisha wao naona na chadema wawe nanaenda na manati kwenyemikutano ili wakianzisha fujo nao wajitetee inaudhi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…