Uchaguzi 2020 Chato: Msafara wa Tundu Lissu washambuliwa kwa mawe

Uchaguzi 2020 Chato: Msafara wa Tundu Lissu washambuliwa kwa mawe

Mbona hata Rais Mstaafu Kikwete msafara wake uliwahi kushambuliwa kwa mawe? Kuna watu bado ubongo wao haujapevuka. hata kwenye majukwaa ya kisiasa bado watu hoja zao ni matusi tu nao ni sawa na hawa wanaorushia mawe viongozi, mawe mengine yanarushwa humu JF watu badala ya kujibu hoja wanatukana tu!
Tuwaombee wastaarabike, Ameen!
 
Lakini lazima uulize akili za strategist wa CDM kuna ulazima gani wa kumpeleka Lissu Chato?

This is just a provocation kwa watu wa Chato mambo mengine ni ya kujitakia anawapa walinzi wake binafsi na jeshi la polisi kazi ya
Hii nchi siyo ya watu wa Chato peke yake, hii Nchi ya wote na kila mmoja anatakiwa awe anaishi na anaenda kwa amani mahali kokote nchini.

Mgawanyo wanini sasa?
 
Hutawasikia tume ya uchaguzi wakilaani kwa vile ni chadema wanashambuliwa ,ingekuwa CCM ndo wanashambuliwa utaona watakavyokuja kasi kulaani kama faru aliyejeruhiwa kwa risasi
Mungu akiwa upande wetu hakuna litakaloshindikana. Yeye amafahamu ni jinsi gani atakavyotukinga na kutupihaia dhidi ya hawa Watesi wetu.

CCM tukiwaambia siasa za majukwaani walishashindwa kitambo hawaelewi. Upande wa pili utakapoanza kujibu mapigo tusilaumiane.
 
Wapo watu humu jf mmefurahi kwa shambulio kwa lisu.furaha yenu ni ya kitambo tuu chadema iko mioyoni mwa wa tz wengi

Ndio tumefurahi sana wacha akome kabisa! Watu unawarukana kila leo halafu kesho unakwenda kwao hahahahaba[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hutawasikia tume ya uchaguzi wakilaani kwa vile ni chadema wanashambuliwa ,ingekuwa CCM ndo wanashambuliwa utaona watakavyokuja kasi kulaani kama faru aliyejeruhiwa kwa risasi

Cc: domo zege bwana mahela.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Ku attack msafara wa mgombea yeyote sio jambo la kiungawana.

Lakini lazima uulize akili za strategist wa CDM kuna ulazima gani wa kumpeleka Lissu Chato?

This is just a provocation kwa watu wa Chato mambo mengine ni ya kujitakia anawapa walinzi wake binafsi na jeshi la polisi kazi ya ziada wakati mwingine.
Sasa mkuu, kampeni meneja wa Lisu alishiriki mazishi ya mbwa wa Nasari yeye pamoja na Lema, unategemea nini toka kwa mtu kama huyo??
 
Niko hapa Chato CCM wanafanya uhuni na uvunjaji wa Amani na Sheria mbele ya Polisi
Ila wananchi wamejitokeza kwa wingi kwelikweli CCM tokea jana walikuwa wanawatisha wananchi wasimpokee Raisi mtarajiwa Jemadari Tundu Lissu.
 
Lissu na Chato wapi na wapi wacha yamkute analeta siasa za majitaka wacha chato wamfundishe tena wampige mawe haswaa
Chato ipo Burundi ? au mpaka uwe na Passport ndio uende Chato?
 
Kama huna cha maana cha kuandika ni bora kukaa kimya badala ya kuonyesha UPUMBAVU wako hadharani.
Sasa mkuu, kampeni meneja wa Lisu alishiriki mazishi ya mbwa wa Nasari yeye pamoja na Lema, unategemea nini toka kwa mtu kama huyo??
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Huo ndo uhalisia wenyewe, mtu wenu hawezi kukubalika chato miaka mia.Mimi chato naijua kwa100%.

Sijisikii vizuri kabisa kuitwa chizi na jobless.
Mkuu kukubalika mimi pia sikatai lakini kurusha mawe huo ni ushenzi na uhuni wa hali ya juu na unapaswa kukemewa.
Wewe unadhani magufuli anakubalika sehemu zote kwa 100%?
 
Baadhi ya watu wa chato hawajielewi, wanayemgombania kasema akistaafu anaenda kuishi kwenye zile ekari zake za karagwe akinywa maziwa na nyama za kuchoma , wao wanajifanya kumpeeenda. Wakati yeye hawapendi na hataki kuishi nao.
 
Ni upuuzi kutowaandaa vijana wa cdm kujibu kwa namna hiyo hiyo kwa kujihami dhidi ya hao wapuuzi wa uvccm.Chadema muache unyumbu,watu wanawashambulia mnashindwa kujibu? Hili ni tukio takribani la 3
Mimi pia naona chadema wamezidi unyonge.
Andaeni vijana wakujibu mashambulizi hata kama sio siku hiyo ila muwe na intelijensia nzuri muwamark wale washenzi wachache na mdili nao personally.
Hivo ndivyo wanavyoshughulikiwa wahuni wachache wanaofaidika matumbo yao kwa kutumwa na wakubwa wenye ulinzi.
 

Mheshimiwa Tundu Lissu aamuru Barabara ya Chato Kufungwa baada ya wafuasi wa CCM kushambulia kwa mawe msafara wake na kuharibiwa gari la vifaa vya muziki (PA).
View attachment 1599022
View attachment 1599076

IGP kama kweli yuko serious basi aanze na hao WAHUNI WA CCM, hayo MAGENGE ndio yatakayotumika pia kupora nakala za matokeo kwa Mawakala kama ambavyo walifanya kwa Wagombea Ubunge na Udiwani. This is a failed Government, Magufuli must go.
 
Lissu anakashifu uwanja kujengwa chato, mbuga ya wanyama kupelekwa na benki kujengwa chato alafu anapeleka pua unategemea nini, wasukuma hawataki mashoga
IGP kama kweli yuko serious basi aanze na hao WAHUNI WA CCM, hayo MAGENGE ndio yatakayotumika pia kupora nakala za matokeo kwa Mawakala kama ambavyo walifanya kwa Wagombea Ubunge na Udiwani. This is a failed Government, Magufuli must go.
 
Siku ukitia akili kichwani utaelewa sasa hivi umejaza kamasi tu. Mbwa aliokoa maisha ya familia kwa kupambana na majambazi ya maccm na kushindwa kutimiza nia yao ya kutaka kuua. Taahira wewe ungemtupa tu barabarani ili alete kero ya harufu mtaani.
Inaonesha ni watu wa aina gani wamemzunguka mgombea wa Chadema,


Yaani kampeni meneja anafanya mazishi ya Mbwa??

Haha.
 
Back
Top Bottom