Uchaguzi 2020 Chato: Msafara wa Tundu Lissu washambuliwa kwa mawe

Uchaguzi 2020 Chato: Msafara wa Tundu Lissu washambuliwa kwa mawe

Tatizo sio kuomba kura kwako. Ishu nikubeza maendeleo waliyopelekewa wanachato km vile wao sio watanzania na hawapaswi kupata maendeleo. Hili lilitarajiwa litatokea tu.
Kwenye kampeni uvumilivu ni lazima kwani hawapaswi kuwapangia vya kubeza mbinu za kurusha mawe zikianza kutumiwa na wapinzani Amani itavunjika, CCM waache mbinu za kishamba
 
Nini maana ya kampeni? Maana ya kampeni ni kutangaza kero ujinga wote uliofanywa na ccm iweje chato wakatae ujinga wa ccm kwa kurusha mawe? Huo ushamba ubakie chato tu sehemu zingine hawataki ushamba huo
Ndio maana imetokea chato na sio sehemu nyingine. Unatukana kwann wanachato wamepelekewa maendeleo. Af hapohapo unaenda kuwaomba kura. Watakuelewa kweli? Ushabiki uwekwe pembeni. Kilichotokea hata Lissu mwenyewe alikitarajia.
 
Kwenye kampeni uvumilivu ni lazima kwani hawapaswi kuwapangia vya kubeza mbinu za kurusha mawe zikianza kutumiwa na wapinzani Amani itavunjika, ccm waache mbinu za kishamba
Kumbuka serikali haihusiki kwenye huu upuuzi. Uchaguzi huu huu CCM wamepigwa mawe tunduma. Si mawe tu, hadi wameuwawa. Hakuna jipya
 
Mheshimiwa Tundu Lissu aamuru Barabara ya Chato Kufungwa baada ya wafuasi wa CCM kushambulia kwa mawe msafara wake na kuharibiwa gari la vifaa vya muziki (PA).

View attachment 1599022
View attachment 1599076
Twende mbele turudi nyuma. Magufuli anawivu sana. Kwa hali ilivyo Geita nyumbani kwake kwa roho ya kawaida tu lazima Roho ikuume.

Lakini ndio hivyo tena. Magufuli hana baraka za Mungu wala wanadamu
 
Kumbuka serikali haihusiki kwenye huu upuuzi. Uchaguzi huu huu CCM wamepigwa mawe tunduma. Si mawe tu, hadi wameuwawa. Hakuna jipya
Upuuzi huu ni wa serikali iliyokataliwa na Wanachi. Wanafanyaje vurugu mbele ya polisi huku wanangalia?
 
Kuna hiki kijamaa chenye namba hii +12404813771 ni mzamiaji huko ughaibuni wanakoita kwa mabeberu, hicho chenye namba hiyo ndiyo wararitibu wa fujo zote huko chato, amefadhili vijana wa kurusha mawe
Kitashindwa tu. Wmeshindwa walioko nvhini sembuse yeye yuko huko?
 
Lissu na Chato wapi na wapi wacha yamkute analeta siasa za majitaka wacha Chato wamfundishe
Leo Lissu ameonesha ndio chaguo la wote nchini. Hadi chato???mafuriko??
Jpm ana laana gani lakini?
 
Watu wanataka uwanja unakwenda kuwaambia kuwa uwanja hauna faida wacha wakuchape kichapo cha mwizi
Kajenga uwanja, kajenga sijui madaraja na mashule lakini bado wana chato wameziba maikio.

Huyo rais wenu ana roho ya kukataliwa
 
Upuuzi huu ni wa serikali iliyokataliwa na wanachi. Wanafanyaje vurugu mbele ya polisi huku wanangalia?
Hao polisi uliowaona ninwangapi na raia unajua walikuwa wangapi? Unayajua mawe? Umeambiwa mawe na wala sio ngumi.
 
Watu wanataka uwanja unakwenda kuwaambia kuwa uwanja hauna faida wacha wakuchape kichapo cha mwizi
Mauaji ya kimbali Rwanda yalianzishwa na wachochezi kama wew. Unanusa fujo mahala unaimiza fujo, sasa kaka wote tukiamua hivyo tutakuwa na nchi kweli
 
ni ujinga kujitoa muhanga kwa ajili ya siasa!
jali maisha yako na familia yako....siasa ni mapito tu....
unatoka katoro mbali kote unaacha kazi zako na familia yako kisa siasa?!!
Ndio maana duniani kuna heroes na cowards. Wewe upo kundi la pili.
 
ilifika mahala kila mwanaccm akipata chochote hata kwa kushinda shambani hukimbilia kumshukuru kumsifu magufuli hata mvua ikinyesha wanamshuru magufuli
Hapana shaka na mafuriko ya leo ya Darisalama, wana wa CCM wameelekeza shukrani kwa Magufuli. Ahsante baba lao kwa kutuletea mafuriko.
 
Wanajua ni mlopokaji na anabwabwaja tu.... Jitu la namna hiyo unalisikiliza unaachana nalo....

Tundu Lissu kafunika kote geita, Mwanza, musoma, shinyanga bukoba ndio usiseme......

Rais wetu ni Tundu Lissu tu
😂😂 Ni kweli Lissu Ni Rais wenu,na amefunika Tanzania nzima achilia mbali huto tusehemu ulitotaja.
 
Hata kwa Waziri mkuu wagombea wa upinzani walitekwa na kupigwa sana ili waziri mkuu apite bila kupingwa. Hayo ndio maagizo ya viongozi wa amani hii.
Lipo wazi PM anawaambia viongozi wa dini waombee amani ili hali anajua mbinu ovu zilizotumika kumfanya apite bila kupigwa, ushauri mbaya bora hata angeshawishi kwa kufika bei sio mbinu za kijima kuteka na kutesa watu.
 
Back
Top Bottom