jimama26
JF-Expert Member
- Jul 30, 2013
- 2,839
- 2,963
Utaniponza buree, mimi ni verified member, nisi shangae jamaa mbele ya nyumba.
Acha umbea na wewe. Weka Hapa hata video aliyoongea hayo ya kukwaza. Ushabiki maandazi tu ndio unachojua!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utaniponza buree, mimi ni verified member, nisi shangae jamaa mbele ya nyumba.
Kwenye kampeni uvumilivu ni lazima kwani hawapaswi kuwapangia vya kubeza mbinu za kurusha mawe zikianza kutumiwa na wapinzani Amani itavunjika, CCM waache mbinu za kishambaTatizo sio kuomba kura kwako. Ishu nikubeza maendeleo waliyopelekewa wanachato km vile wao sio watanzania na hawapaswi kupata maendeleo. Hili lilitarajiwa litatokea tu.
Ndio maana imetokea chato na sio sehemu nyingine. Unatukana kwann wanachato wamepelekewa maendeleo. Af hapohapo unaenda kuwaomba kura. Watakuelewa kweli? Ushabiki uwekwe pembeni. Kilichotokea hata Lissu mwenyewe alikitarajia.Nini maana ya kampeni? Maana ya kampeni ni kutangaza kero ujinga wote uliofanywa na ccm iweje chato wakatae ujinga wa ccm kwa kurusha mawe? Huo ushamba ubakie chato tu sehemu zingine hawataki ushamba huo
Kumbuka serikali haihusiki kwenye huu upuuzi. Uchaguzi huu huu CCM wamepigwa mawe tunduma. Si mawe tu, hadi wameuwawa. Hakuna jipyaKwenye kampeni uvumilivu ni lazima kwani hawapaswi kuwapangia vya kubeza mbinu za kurusha mawe zikianza kutumiwa na wapinzani Amani itavunjika, ccm waache mbinu za kishamba
Twende mbele turudi nyuma. Magufuli anawivu sana. Kwa hali ilivyo Geita nyumbani kwake kwa roho ya kawaida tu lazima Roho ikuume.Mheshimiwa Tundu Lissu aamuru Barabara ya Chato Kufungwa baada ya wafuasi wa CCM kushambulia kwa mawe msafara wake na kuharibiwa gari la vifaa vya muziki (PA).
View attachment 1599022
View attachment 1599076
Upuuzi huu ni wa serikali iliyokataliwa na Wanachi. Wanafanyaje vurugu mbele ya polisi huku wanangalia?Kumbuka serikali haihusiki kwenye huu upuuzi. Uchaguzi huu huu CCM wamepigwa mawe tunduma. Si mawe tu, hadi wameuwawa. Hakuna jipya
Kitashindwa tu. Wmeshindwa walioko nvhini sembuse yeye yuko huko?Kuna hiki kijamaa chenye namba hii +12404813771 ni mzamiaji huko ughaibuni wanakoita kwa mabeberu, hicho chenye namba hiyo ndiyo wararitibu wa fujo zote huko chato, amefadhili vijana wa kurusha mawe
Makamanda leo tumewanyosha hadi Nyumbani kwa Baba. Wanachato hawamtaki. Sasa tumchague wa nini hata nyumbani kwake wanamtema.Makamanda mnalialia nini
Kwahiyo kwa vurugu hizo ndio mmepata kura?? Subirini october 28 watanzania watawashangaza. Si mnategemea jeshi?? Litawafurahisha.Mtalia sana mwaka huu na bado
Leo Lissu ameonesha ndio chaguo la wote nchini. Hadi chato???mafuriko??Lissu na Chato wapi na wapi wacha yamkute analeta siasa za majitaka wacha Chato wamfundishe
Kajenga uwanja, kajenga sijui madaraja na mashule lakini bado wana chato wameziba maikio.Watu wanataka uwanja unakwenda kuwaambia kuwa uwanja hauna faida wacha wakuchape kichapo cha mwizi
Hoja hana kakata tamaa. Kamepni kaahirisha eti anapumzika.....hii ni burnout effect. StressKwenye hoja hata mgombea wao huwa anaogopa anakimbilia kutekana na kupiga watu risasi si bure ndio maana hataki kusikia neno mdahalo ataangamia
Hao polisi uliowaona ninwangapi na raia unajua walikuwa wangapi? Unayajua mawe? Umeambiwa mawe na wala sio ngumi.Upuuzi huu ni wa serikali iliyokataliwa na wanachi. Wanafanyaje vurugu mbele ya polisi huku wanangalia?
Mauaji ya kimbali Rwanda yalianzishwa na wachochezi kama wew. Unanusa fujo mahala unaimiza fujo, sasa kaka wote tukiamua hivyo tutakuwa na nchi kweliWatu wanataka uwanja unakwenda kuwaambia kuwa uwanja hauna faida wacha wakuchape kichapo cha mwizi
Ndio maana duniani kuna heroes na cowards. Wewe upo kundi la pili.ni ujinga kujitoa muhanga kwa ajili ya siasa!
jali maisha yako na familia yako....siasa ni mapito tu....
unatoka katoro mbali kote unaacha kazi zako na familia yako kisa siasa?!!
Hapana shaka na mafuriko ya leo ya Darisalama, wana wa CCM wameelekeza shukrani kwa Magufuli. Ahsante baba lao kwa kutuletea mafuriko.ilifika mahala kila mwanaccm akipata chochote hata kwa kushinda shambani hukimbilia kumshukuru kumsifu magufuli hata mvua ikinyesha wanamshuru magufuli
Amini kwamba wewe huwezi kunipa taarifa mimi kuhusu chochote hapa tz,lolote lile unalohisi kilijua, mie tayari kitambo.Hutakiwi ujadili maana hapa nimekupa taarifa tu.
😂😂 Ni kweli Lissu Ni Rais wenu,na amefunika Tanzania nzima achilia mbali huto tusehemu ulitotaja.Wanajua ni mlopokaji na anabwabwaja tu.... Jitu la namna hiyo unalisikiliza unaachana nalo....
Tundu Lissu kafunika kote geita, Mwanza, musoma, shinyanga bukoba ndio usiseme......
Rais wetu ni Tundu Lissu tu
Kabisaa. Watu wanatakiwa warushe picha za hao warusha mawe angalau Watanzania wawaone.Mnachokitafuta mtakipata muda si mrefu!
Lipo wazi PM anawaambia viongozi wa dini waombee amani ili hali anajua mbinu ovu zilizotumika kumfanya apite bila kupigwa, ushauri mbaya bora hata angeshawishi kwa kufika bei sio mbinu za kijima kuteka na kutesa watu.Hata kwa Waziri mkuu wagombea wa upinzani walitekwa na kupigwa sana ili waziri mkuu apite bila kupingwa. Hayo ndio maagizo ya viongozi wa amani hii.