Uchaguzi 2020 Chato: Msafara wa Tundu Lissu washambuliwa kwa mawe

Uchaguzi 2020 Chato: Msafara wa Tundu Lissu washambuliwa kwa mawe

Amini kwamba wewe huwezi kunipa taarifa mimi kuhusu chochote hapa tz,lolote lile unalohisi kilijua, mie tayari kitambo.

Ni kweli kabisa unachosema, lakini habari ndio hiyo.
 
angalia kifo cha mwanafunzi akwilina kilisababishwa na ujeuri wa wanasiasa...hatimaye mtu asiye na hatia akafa, je kama mwenyekiti asinge hamasisha maandamano ha lazima....kifo kinge tokea? hapana. hivyo mambo mengi wanasiasaa wanayafanya kwa kuwatoa muhanga wasio na hatia.....tunataka wawatangulize watoto zao mbele ya maandamano kama kweli wana uchungu wa kukomboa wananchi.
Kulikuwa na ulazima wa kutumia risasi kwenye maandamano hayo..?
BEN SAANANE, AZORY wako wapi?

Tumia akili... Lissu alipigwa risasi kwa kosa gani?
 
Kila mgombea ana haki ya kuzunguka eneo lolote ndani ya Tanzania kwa ajili ya Kampeni, kwani nani mwenye hati miliki ya Chato? Nakumbuka Magufuli alienda Singida eneo alipozaliwa Lissu lakini hakuna aliefanya fujo
Huwezi ukatuita Washamba tusiostahili kuletewa Maendeleo halafu unakuja kwetu kutuomba kura apigwe tu hakuna namna!!!
 
Sasa kama Lisu alikuwa na umati hao vijana walikuwa elfu ngapi mpaka wakadhibiti umati wote?

Lisu ni debe tupu
Tatizo la mataga ndio hilo
Chadema hawana silaa
Chadema hawana jeshi
Chadema Wana sera we mataga nenda kamwamshini Jiwe mkazibue mitaro dar kwenye kandarasi zenu
 
Natoa ushauri kwa niliyoyaona Jana ccm imekata Moto sasa inabidi kua Makin sana kipindi hiki. Msitegemee ulinzi wa polisi pekee. Umeona polisi waliokuwa chato.

Eti Hadi dar wanabeba wanafunzi siasa za kipuuzi sn nilikua siamin but nimeshuhudia mwenyewe wakichukua wanafunzi.

Chadema hasa viongozi muongezeeni ulinzi Tundu lissu.
 
Kwa hiyo lissu amewatukana watu wa chato? Unaweza kuweka hilo tusi alilotukana hapa ?
Matusi ya Lisu kwa watu wa chato huwezi kuyaelewa mpaka uchukue akili zako ulizomkabidhi akushikie
 
Police hawawezi kusaidia mtu ambaye anawatukana anawakashfu, harafu akipigwa na wahuni wake anaowahamasisha wafanye vurugu mnawalilia tena police wawasaidie, iingieni sasa bara barani ! Simlisema kaagiza barabara zifungwe?
Huyo lissu wenu niwakupigwa na vijana tu wapenda amani nasiyo wakupigwa na police.
 
Matusi ya Lisu kwa watu wa chato huwezi kuyaelewa mpaka uchukue akili zako ulizomkabidhi akushikie
Wewe unayoyaona hayo matusi, kwa nini usiyaweke hapa ili wote tuyaone? Huwezi kuyataja?
 
Ni kweli kabisa unachosema, lakini habari ndio hiyo.
Nyinyi huku chini hamuelewi kabisa yanayotokea,wanasiasa huwaaminisha vile wanavyotaka.Siasa ni somo pana sana,achilia mbali swala la kuishabikia kama baadhi ya watu wanavyofanya hapa Jf na huko uraiani😃,anaehusika nayo moja kwa moja, atakwambia.

Otherwise, nikutakie asubuhi njema kijana.
 
Back
Top Bottom