kweli???Mipango ipo mbioni kukamilika,
Tunamshukuru Mungu Kupata Rais Mzalendo, anayeanza kupaendeleza Chato, baadae itafuata Mikoa Mengine
Wapo tayari, mabinti wa Kitutsi, tena wengi tuApeleke na mademu wazuri chato
ITAKUWA HAPA TAIFA WANAKUJA WENGI SANAYaani wanajenga uwanja wa mpira kuvutia watalii? Kweli? Jamani..!!
safi sana , Napendekeza Chato iwe Mkoa kamili , #HAPA KAZI TU
Hahaa... Chili mkuuZuzu wewe! Jinga kabisa!!
Hauko peke yako.Sijaelewa vizuri namna wawekezaji watavyohamasishwa na uwanja
Kijana yachukue maneno uliyoambiwa bila kuhoji chochote , Mkubwa hakosei .Yaani wanajenga uwanja wa mpira kuvutia watalii? Kweli? Jamani..!!
Utakuwa ndo huu umeamishiwa chato.Hivi ule wa Dodoma tayari naomba 'updates'