Chato: Serikali kujenga Uwanja wa kisasa wa Michezo

Aisee,wangeng'oa na mlima mmoja kaskazini wahamishie huko
 
Kwani wapi nimeandika kuhusu Yanga na Simba!? 😳😳😳😳 siioni kujenga uwanja kule chato kama ni kipaumbele kwa Watanzania. Vipi kuhusu shule ambazo hazina madarasa, vyoo na madawati? Kwanini hayo mabilioni yasielekezwe huko!?

Mkuu..sio wachezaji wote wa Simba na yanga wamezaliwa daslam
 
Kwani wapi nimeandika kuhusu Yanga na Simba!? 😳😳😳😳 siioni kujenga uwanja kule chato kama ni kipaumbele kwa Watanzania. Vipi kuhusu shule ambazo hazina madarasa, vyoo na madawati? Kwanini hayo mabilioni yasielekezwe huko!?
Ni mkoa gani ambako Kuna kiwango kikubwa Cha soccer ili ukajengwe huko?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Sioni kujenga uwanja kule chato kama ni kipaumbele kwa Watanzania. Vipi kuhusu shule ambazo hazina madarasa, vyoo na madawati? Kwanini hayo mabilioni yasielekezwe huko!?

Upo sahihi lakini kila sekta ina umuhimu wake, wapo ambao hawaamini kwenye elimu maisha yao yanategemea sports zaidi.
 
Yaani wakati ule nasoma riwaya za Mfalme Juha nilikua naamini ni nadharia tu lakini mambo yanayoendelea Bongoland yananifanya niamini uhalisia wa Mfalme JUHA!
 
Upo sahihi lakini kila sekta ina umuhimu wake, wapo ambao hawaamini kwenye elimu maisha yao yanategemea sports zaidi.
Unafeli

Yaani unafeli pakubwa

Nakuheshimu sana mkuu , ila hapa unafeli

Unafurahia kujenga uwanja mkubwa chato kweli !!!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Sponsored by.....
Sema itasaidia kutanua wigo wa michezo kanda ya ziwa, timu za ligi kuu zitapata sehemu nyingine badala ya kirumba na nyamagana....
 
Back
Top Bottom