Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu..sio wachezaji wote wa Simba na yanga wamezaliwa daslam
Ni mkoa gani ambako Kuna kiwango kikubwa Cha soccer ili ukajengwe huko?Kwani wapi nimeandika kuhusu Yanga na Simba!? 😳😳😳😳 siioni kujenga uwanja kule chato kama ni kipaumbele kwa Watanzania. Vipi kuhusu shule ambazo hazina madarasa, vyoo na madawati? Kwanini hayo mabilioni yasielekezwe huko!?
Wenyewe tuna sema hadohado Hu lugendo.GBADOLITE in the MAKING.
Ni mkoa gani ambako Kuna kiwango kikubwa Cha soccer ili ukajengwe huko?
Upo sahihi lakini kila sekta ina umuhimu wake, wapo ambao hawaamini kwenye elimu maisha yao yanategemea sports zaidi.Sioni kujenga uwanja kule chato kama ni kipaumbele kwa Watanzania. Vipi kuhusu shule ambazo hazina madarasa, vyoo na madawati? Kwanini hayo mabilioni yasielekezwe huko!?
sijui sana kuhusu ya kimei na mipango yao ila speech ya mweshimiwa ilikuwa hata kimei akimaliza muda wake Crdb anaweza kupata nafasi serikalin ikiwa ni ka fadhila kwa kukubali kwake kuidhinisha crdb kutoa fedha kwaajili ya uwanja huoKimei alishatoka CRDB f.y.i
UnafeliUpo sahihi lakini kila sekta ina umuhimu wake, wapo ambao hawaamini kwenye elimu maisha yao yanategemea sports zaidi.
Kama watu wa chato sio?Upo sahihi lakini kila sekta ina umuhimu wake, wapo ambao hawaamini kwenye elimu maisha yao yanategemea sports zaidi.
Tuendelee kumuombea maana kwa sasa TZ ni moja ya nchi 5 Africa ambayo uchumi wake unakuwa kwa kasi sana.Wenyewe tuna sema hadohado Hu lugendo.