Uchaguzi 2020 Chato: Yaliyojiri Mapokezi ya mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Tundu Lissu

Watanzania wote wana haki ya kutembelea rasilimali na vitegauchumi vya nchi bila kujali itikadi zao za kisiasa, huo uwanja ni matokeo ya kodi za wananchi akiwemo Lissu
Wapi nimesema hana haki? Mie nimeona kichekesho tu. Haya aende
 
Nabii hakubaliki kwao.
Ntashangaa kama ikilazimishwa sili ionekane Lissu hapendwi chato.
Kama Yesu mnazareti alitolewa mbio kwao iweje chato na jpm!!!!
 
Watu badala ya kupelekewa maendeleo wakapelekewa uwanja wa ndege
 
Huo uwanja unawasaidia nini wananchi wa kawaida?
 
Uhuru, haki na maendeleo
Wewe ni mojawapo wa vilaza wakubwa wanaorudisha maendeleo nyuma
Kinachosemwa ni hivi, pamoja na ujenzi unaondelea isiwe kikwazo au sababu ya kunyima watu nyongeza ya mishahara au kupandishwa madaraja au kunyimwa uhamisho kisa tunajenga. haya mengine nayo yaendelee.

Hayo mandege nadhani ethiopia inaongoza kuwa nayo na uwanja wa kisasa kabisa ambao route nyingi za ndege zinaunganishwa hapo, lakini waethiopa ndo hao wanapita hapa kwenye makontena na malori wakienda nchi za kusini kusaka maisha
Maendeleo yawe ya watu na vitu
 
Mpumbavu huangalia upana wa nyayo zake bali mtu mwerevu hutengeneza mirathi ya kizazi cha nne cha uzao wake.

Lisu yuko juu mno ya upeo wenu unaoishia kwenye wali maharage, khanga na kofia!.
Unatembeleaje uwanja unaouponda kila siku? Aende akatembelee na traffic lights.
 
Hii hesabu feki. Tanzania ni kubwa sana, hakukuwa na sababu ya Lissu kurudi kanda ya ziwa mara ya tatu. Anapoteza muda wake na resources, wasukuma hawezi kuacha kumpa kura mtu wao.
Ratiba ya NEC hyo alafu kanda ya ziwa anaenda Simiyu, ukerewe then Rorya huko hakupita kabisa.
 
Lissu alizomewa wapi? Mbona mie niliona kwa page ya Musiba tena watu 10 alafu wote wana mabango ya muandishi mmoja.

Geita alifika na pote alifanya mikutano mikubwa na ilijaza. Najua hamkutegemea na mliumia sana ila ndio hivo jamaa hazuiliki kwa sasa
 
Nabii hakubaliki kwao.
Ntashangaa kama ikilazimishwa sili ionekane Lissu hapendwi chato.
Kama Yesu mnazareti alitolewa mbio kwao iweje chato na jpm!!!!
 
Wewe nae unaandika usenge halafu unahisi umeandika bonge la point, yaani magufuli akikosolewa ndio unabadilisha maneno kusema Watu wa Chato wametukanwa, punguwani wa head wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nina akiri kuliko huyo jamaa nieleweshe faida ya uwanja wa chato ni upi kwenye taifa letu mkuu??
Ukishindwa kujua umuhimu wake basi hata wewe umuhimu wako hapa tanzania haupo.
Kuna mtu anasema ndge viawanja vya ndega na mahospitali, barabara vitampigia kura magufuli, juzi kaanguka na gari hivyo vinavyompigia kura magufuri vyote vimetumika kuokoa maisha yake,
1 barabara,
2 kituo cha afya
3 hospitali ya mkoa
4 uwanaja wa ndege kuja dar
Na anajifanya ni bingwa wa tunguri, kwa nini asingeenda kwa waganga wa kienyeji huko maana ndiko waliko wengi bado akakimbia kuja dar?
Tumieni akiri zenu.
Wanawambia havina msaada kwenu ila wao wanataka kuvitumia kuokoa maisha yao.
 
Huyo unayemuuliza yupo Kaskazini huko wala hajui chochote kuhusu Chato.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…