Uchaguzi 2020 Chato: Yaliyojiri Mapokezi ya mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Tundu Lissu

Usitumie ushamba kutete ujinga! Mimi sasa hivi nimetoka KIA, sijapeleka msafiri wala sisafiri, nimeenda kuchange dollar!
 
Ingekuwa kujaza watu ndo kushinda ni dhahiri Lowasa angakuwa Rais, Mrema angakuwa Rais, Lipumba enzi za ngunguli angekuwa Rais. Tukutane kwenye ballot box tuna hasira na uchungu wa nchi hii. 5 tena.
Wewe Lowasa mlimuibia lakini huyu wa sasa basi!! Mtaufyata wiki mbili zijazo!!
 
Akiwa muhutu namdharau tu kama ninavyokudharau wewe
 
Hii hesabu feki. Tanzania ni kubwa sana, hakukuwa na sababu ya Lissu kurudi kanda ya ziwa mara ya tatu. Anapoteza muda wake na resources, wasukuma hawezi kuacha kumpa kura mtu wao.
Wewe acha uzandiki na unafiki huku Geita watu wameumizwa Sana na utawala huu, huku ndiko wavuvi wengi wamefilisika na kuuawa na huyu bwana meko, Mimi nimeishi Geita vijijini Jimbo la King Musukuma asikwambie mtu raia hawa kama walivyo wengine kuzunguka Z. Victoria wana hasira za ajabu juu ya huyu wakala wa Lusifa
 
Wananchi ndio hawataki

..basi wanatakiwa waendelee na shughuli zao ili Tundu Lissu akifika Chato akose watu wa kumsikiliza.

..kumfanyia vurugu kama kumrushia mawe, au kujaribu kumdhuru kwa namna yoyote ile, ni kuvunja sheria.
 
Tulia basi wewe ajuza dawa izame angalau upate nafuu ili uweze kujifungua salama
 
Namkubali sana Lissu hasa kwa 'Akili' yake Kubwa, Kujiamini na kuwa 'Legal Guru' mzuri tu ila kusema kuwa atashinda mbele ya JPM ni ndoto mno.
 
Toa hiyo picha ya Castro kwenye avatar na unaweza kuweka hata picha ya tikiti maji.
 
unafikiri sisi ni WASHAMBA kama wewe.. unafikiri sisi ni hamnazo kama WEWE
 
Subiri muone kitakachowakuta hapo chato, hizi blah blah zote zitakwisha
Kwenda huko! Unamtisha nani fala-si we! Kampeni itapigwa kwa mafanikio makubwa, na hao vijana wenu watafundishwa adabu wakisogea.
Nadhani hujui kuwa Chato in ngome ya Chadema pia.
Kwani hapa ilikuwa wapi wiki kadhaa zilizopita?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…