Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,817
Mkuu hata wewe unaweza usihione kesho
Mimi poa tu, ila hao itakuwa just, ...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hata wewe unaweza usihione kesho
Usitumie ushamba kutete ujinga! Mimi sasa hivi nimetoka KIA, sijapeleka msafiri wala sisafiri, nimeenda kuchange dollar!Hairusiwi kimataifa toka mashamba I ya kigaidi Marekani viwanja vyote vya ndege duniani unaenda ukiwa unasafiri au unadindikiza msafiri Huwezi kwenda kutalii sio mbuga ile ndio maana zamani uwanja wa Ndege wa Dar es salaam tulikuwa tukienda kutalii unapanda juu hata harusi tukienda nazo lakini vyote vilipigwa marufuku .Hivyo Huwezi kwenda eti nakuja kutalii sisafiri Wala Nini nakuja tu kutalii
Ulinzi uimarishwe mapambano yaendeleeLissu awe makini sana huko ikiwezekana asipite
Wewe Lowasa mlimuibia lakini huyu wa sasa basi!! Mtaufyata wiki mbili zijazo!!Ingekuwa kujaza watu ndo kushinda ni dhahiri Lowasa angakuwa Rais, Mrema angakuwa Rais, Lipumba enzi za ngunguli angekuwa Rais. Tukutane kwenye ballot box tuna hasira na uchungu wa nchi hii. 5 tena.
Subiri uone tena siyo mawe tu ! ikiwezekana hata mikojo na kinyesi.Ukirusha jiwe njoo ni tag Humu ...Mimi nakupa ONYO na wote waliojipanga !!!
Akiwa muhutu namdharau tu kama ninavyokudharau weweMaamuzi ya Chato kuwa mkoa wa Geita ilikuwa awamu ya ngapi?
Hii nchi inaongozwa na mtu yeyoto kama tu atajua waafrika tumetoka wapi,yeyoto ambaye atapinga waziwazi kurudi utumwani(kwa wakoloni/Mabeberu).
Tanzania ni nchi ya kipekee sana ,hi nchi haina ubaguzi leo kuna kaka Bashe na Mzee Zungu, hapo muda kidogo uliopita alikuwepo Muajemi safi kabisa tumeishi nae poa kabisa.
Afu inakuja Kenge kama wewe kuleta habari za kijanga eti Magufuli Muhutu,sasa kwa mfano Magu akiwa Muhutu utamfanya nini?
Wewe acha uzandiki na unafiki huku Geita watu wameumizwa Sana na utawala huu, huku ndiko wavuvi wengi wamefilisika na kuuawa na huyu bwana meko, Mimi nimeishi Geita vijijini Jimbo la King Musukuma asikwambie mtu raia hawa kama walivyo wengine kuzunguka Z. Victoria wana hasira za ajabu juu ya huyu wakala wa LusifaHii hesabu feki. Tanzania ni kubwa sana, hakukuwa na sababu ya Lissu kurudi kanda ya ziwa mara ya tatu. Anapoteza muda wake na resources, wasukuma hawezi kuacha kumpa kura mtu wao.
eti amsugue vizur 🤣🤣🤣
Saa ya ukombozi ii karibu vumilieni jamaniKamanda Husna usiku wa kuamkia leo wamemvamia nyumbani kwake na kuchoma moto nyumba na mali zake mbalimbalk. MUNGU AMTIE NGUVU.
Wananchi ndio hawataki
Tulia basi wewe ajuza dawa izame angalau upate nafuu ili uweze kujifungua salamaYeye mwenyewe hatumii hoja na anatumia lugha za kuudhi, kebehi dharau na uongo uliosheheni matusi ya reja reja, iweje yeye ajibiwe kwa hoja?? Mfano jana anatukana mabango ya mgombea mwenzake, nani kamzuia kuweka yake? Lissu anapanda jukwaani badala ya kunadi plan na sera za chadema anaanzisha ajenda za "Yatokanayo kwenye mikutano ya mwenzake'" na kuanza kumshambulia badala ya kuja na ilani ya chama chake, amekua ana ugomvi binafsi moyoni na Mhe Magufuli, kutwa kucha yuko mdomoni kwake,i ni wapi Magufuli alimshambulia personally? Lissu ni mbwa tu
Toa hiyo picha ya Castro kwenye avatar na unaweza kuweka hata picha ya tikiti maji.Kuna watu sijawahi ona, uwanja wa Chato uwanja wa Chato, hivi Chato ni wananchi wa wapi? Wao hawana haki ya kuwa na uwanja? Mbona mnakuwa wapumbavu kiasi hiki?
Mnatukana kila siku Chato utafikiri wao hawatakiwi kuwa na uwanja. Kwa taarifa yenu wananchi wa Chato si wajinga, muulizeni mgombea wenu alichokipata Buselesele na Katoro hadi akasitisha kwenda Chato, haya yote ni siasa mbovu isiyo na staha, hata kama unachallenge tumia lugha rafiki, don't be so biased to that extent, watu wa Chato amewatukana sana, Buselesele na Katoro yalikuwa maeneo ya upinzani lakini kutokana na dharau za Lissu matokeo yake CHADEMA leo inazomewa, Lissu asingezomewa Buselesele kwa namna ile, Awe na akiba ya maneno kwani anaowatukana wanasikia .
Inashangaza sana unatukana halafu bado eti unaenda kuwaomba kura,,,,, unatukana barabara kujengwa huku unazitumia, unatukana ndege huku unazipanda huo ni U CHICHIDODO.
Hopeless kabisa , let's stay tuned leo.
Heheee jamaa anahasira nao.Wana Chato Kama mnazipenda nyumba zenu kaeni majumbani mwenu yasiwakute ya kimara
Kwangu Mimi hiki ulichokiandika hapa nakiita 'Porojo' tu Mkuu.Atashinda ila hatatangazwa.
Hapo ndipo tume italiangamiza taifa
Lissu kichwani hazimo huo uwanja umejengwa kwa ajili ya mbuga kubwa tatu zilizoanzishwa eneo hilo ili watalii watue hapo na kwenda mbugani kutalii aambiwe mbuga ipo kubwa sana tu hapo Chato ni serengeti ya kanda ya ziwa atembelee hii hapa mbuga ya Chato kama alikuwa haijui
Watalii badala ya kutua Mwanza watatua hapo na kuelekea mbugani
Lissu anapiga vita sana maendeleo ya usukumani
Usipoambiwa kuwa huwa unapuuzwa hautajuaUngenipuuza usingenijibu ona sasa ulivyo mjinga kama mimi
Kwenda huko! Unamtisha nani fala-si we! Kampeni itapigwa kwa mafanikio makubwa, na hao vijana wenu watafundishwa adabu wakisogea.Subiri muone kitakachowakuta hapo chato, hizi blah blah zote zitakwisha
Huo ufala wako usidhani mungu hakuoni ukichukua jiwe kabla ya kurusha malaika watakuadhibuHuyu Mbeligiji mbona hafiki Chato tumejiandaa vizuri sana kumpopoa na mawe.