Uchaguzi 2020 Chato: Yaliyojiri Mapokezi ya mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Tundu Lissu

Kwa mujibu wa sheria ya uchaguzi ratiba ya kampeni inayotolewa ni kwa ajili ya wagombea kufanya mikutano siyo kutembelea maeneo mbalimbali kukagua miradi.

Sasa inapotokea mgombea wa urais anatangaza kwamba wakati wa mkutano wake ataenda kukagua mradi fulani hii inamaanisha nini?

Na tena anaenda kukagua mradi Ni Yeye kama nani?

Je, tume ya uchaguzi ikimfungia siku 7 atalia ameonewa?

Maendeleo hayana vyama!
 
Usiku mmeenda kuchoma nyumba ya katibu mnatumia Polisiccm kuwatisha watu usifikiri Dunia haijui ujinga wenu na wako binafsi wa kuvuta Bangi kisha kuja kusumbua watu mitandaoni
 
Katumia vibaya Sana Kodi zetu
1.Kupambana na upinzani badala ya kupambana na shida zetu
2.Kununulia kina makarai, waitara, juakali, Kalanga
3.Kurudia chaguzi feki za kupita bila kupingwa akiwa ndie muasisi wa Mambo ya kupita bila kupingwa.
4.Kujenga uwanja wa ndege na mahoteli kijijini kwake
5.Kumiliki magaidi wasiojulikana ili kuteka watu kuwalawiti kuwatesa kisha kuwatupa kwenye viroba hizi si tabia za kitz.
6.kubambikwa kesi za uhujumu wote wasio na chapa
7.kugharamia mamisafara ya kwenda kuzindua vyoo, stand, nk
8.kujenga na kununua visivyo lazima kwa sasa sababu tayari vina mibadala yake.
9 Kupropaganda watu kwa kuwalipa kina mulaga wadhalilishe watu na kuimba kwaya za kuabudu.
 
We msng suburi dawa ikuingie! Hadi muda huo tupo site tunaisuburia hiyo mbwa.
Subiri utaziba matundu yako mwenyewe! Kamanda atakavyo tinga kibabe. Mbona awali mlinywea?

 
Hapo chato kuna kero manyanyaso mengi mno ndiyo maana maccm yanahaha kumhujumu Tundu lisu akose umakini wa kuongea vizuri
Ccm haikubaliki Chato jamaa alipita bila kupingwa kwa kumfanyia figisu mgombea wa chadema kwa kushirikiana na mkurugenzi ajjifiche Hadi mda wa kurejesha form ukapita yeye ndo muasisi founder wa uhuni huu wa kupita bila kupingwa haya ni copy na paste.
 
Updates zimeishia saa4 halafu UZI unadai ni LIVE UPDATES[emoji55]
 
Mapungufu halisi hayana shida, ninavyowajua CCM watayafanyia kazi. Lakini mapungufu ya uzushi, fitina, uongo nakadhalika hayo lazima yapuuzwe!!!
Wewe ni mnufaika wa trilion 1.5 mkamtoa CAG kafara, Wewe ni mnufaika wa tenda ujenzi chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge, Wewe ni mnufaika wa bilion 12 alizotumia Ndungai kujitibu india, Wewe ni mnufaika wa zile Noa za mikataba mipya ya madini ambayo ni siri yako na siri ya mtukufu magufuli, wewe ni mnufaika wa 10% ununuzi wa Ndege kwa cash , ujenzi wa bwawa la umeme, SGR na miradi yote mikubwa, huwezi kuwa mnufaika wa utawala huu dhalimu wa kidikteta lakini utetezi Tumbo lako uendelee kufaidi ufisadi wenu mkubwa.
 
Ilani ya CCM ya sasa ni uonevu uovu unyanyasaji kuwabambikia kesi kuwapiga risasi wakosoaji wote, kwa sasa maccm yote yanaishi kwa kukariri zidumu fikra zisizo sahihi za mtukufu mwenyekiti wa CCM
Nimesema badilisha hiyo avatar kwanza afu urudi hapa.
 
Tundu Lisu ndivyo alivyokufundisha hivyo?
 
Sidhani kama hivyo viwanja vingine kama Nyerere, Kia, Mwanza n.k wananchi ndio waliamua viwepo kule, au ndio yalikuwa mahitaji yao kwa kipindi hicho.
 
Sidhani kama hivyo viwanja vingine kama Nyerere, Kia, Mwanza n.k wananchi ndio waliamua viwepo kule, au ndio yalikuwa mahitaji yao kwa kipindi hicho.
wananchi huamua kupitia mijadala ya Bunge, ambayo hufanywa na wawakilishi wao, yaani wabunge, na ukitaka majibu juu ya hilo nenda kwenye hansadi za bunge.
 

Hizi porojo kuna muda huwa zinawasaidia, sio wakati wote.... kwahiyo inahitajika kuwa nani ili utembelee Burigi au Chato I.A?

Hata NEC kuna muda wanajuta kuwabeba, aibu hizi mlamu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…