johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kwa mujibu wa sheria ya uchaguzi ratiba ya kampeni inayotolewa ni kwa ajili ya wagombea kufanya mikutano siyo kutembelea maeneo mbalimbali kukagua miradi.
Sasa inapotokea mgombea wa urais anatangaza kwamba wakati wa mkutano wake ataenda kukagua mradi fulani hii inamaanisha nini?
Na tena anaenda kukagua mradi Ni Yeye kama nani?
Je, tume ya uchaguzi ikimfungia siku 7 atalia ameonewa?
Maendeleo hayana vyama!