Uchaguzi 2020 Chato: Yaliyojiri Mapokezi ya mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Tundu Lissu

Yan chadema Wana matatizo Sana alaf ni waongo Sana.
 
Chato nzima Imesimama wana Chato wameamua kuthibitisha kuwa Nabii hakubaliki kwenye nchi yake.

Watu wamekesha Barabarani kumsubiri Liasu wafanyakazi wameahidi kutoenda kazini, wafanyabiashara hawafungui Maduka ,Hakika saa ya ukombozi ni sasa.
Awap njooni mtubu mmetukosea Sana Watanzania yan dah
 
Hizo ni fikra zako lakini ukweli ndio huo
 
Ndio maana yalipewa jina mafao ya uzeeni. Ukiwa kijana unaweza jituma vyovyote vile ukaishi. Ukifika fainali uzeeni unapewa chako kinakufaa.
 
Hapo chato kuna kero manyanyaso mengi mno ndiyo maana maccm yanahaha kumhujumu Tundu lisu akose umakini wa kuongea vizuri
Pigeni makele magasho nyie tuwajibu baadae saa hizi tuko live tunafuatilia gawio la b 100 toka Barrick bila kushitakiwa MIGA kama mlivyoaminishwa na mwanasheria uchwara Lissu.
 
Usiku mmeenda kuchoma nyumba ya katibu mnatumia Polisiccm kuwatisha watu usifikiri Dunia haijui ujinga wenu na wako binafsi wa kuvuta Bangi kisha kuja kusumbua watu mitandaoni
Sasa hivi tuko live kwanza tupokea bil 100 toka Barrick na hatujashitakiwa MIGA, Magufuli oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Kila mgombea ana haki ya kufanya campaign zake popote ndani ya Tanzania na kuakikishiwa usalama wake na polisi.

Halikadhalika wagombea nao inabidi wawe na busara si rahisi kukuta mgombea wa Democrat/Labour/Left au Republican/Conservative/Right; anapoteza muda wake kwenda kufanya campaign kwenye maeneo ambayo ni traditionally strong hold ya upande mwingine.

Na kwa hizi nchi zetu za kiafrica ndio kabisa ukienda strong hold za mshindani wako unaweza ata waletea matatizo hao watu watakao kuandalia huo mkutano, kwa mtu mwenye busara hakuna ulazima wa kufika huko ata kama ni haki yake.

Huyu mtu anahitaji msaada wa kiakili msichukulie poa; as days go anaonyesha jinsi gani anavyosukumwa na hasira katika maamuzi yake badala ya logic.
 
Tuonenesheni picha za mkutano sio maneno ya mtandaoni tuh
Kuna watu basi!! ana kakikundi kake anakosafirishaga siku moja kabla ka vijana toka mikoa mbalimbali wanatanguliaga na mabasi, we fuatilia kwa wamiliki wa mabasi njia anayokwenda Lissu siku moja kabla usafiri unapata kwa shida, wananunuaga tiketi kibao! sasa sijui wanamdanganya nani!! maana siku ya kupiga kura kila mtu anapigia alikojiandikishia ndio watasema oooh tumeibiwa tulikuwa wengi kwenye msafara, yaani wanajitekenya na kucheka wenyewe
 
Hii hesabu feki. Tanzania ni kubwa sana, hakukuwa na sababu ya Lissu kurudi kanda ya ziwa mara ya tatu. Anapoteza muda wake na resources, wasukuma hawezi kuacha kumpa kura mtu wao.

Unashauri awe anapumzika pumzika kama jiwe ili asipoteze muda wake na resources?
 
Hicho ulichokiandika ni kitu cha kipumbavu kwa 100%.
Hivi unajua nini maana ya kampeni?
Unataka kura, basi nenda kwa watu kawashawishi wakupe kura. Hakuna chama chenye mamlaka wala haki ya kumzuia mtu au watu kwenda maeneo fulani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…