Uchaguzi 2020 Chato: Yaliyojiri Mapokezi ya mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Tundu Lissu

Magufuli awezi rudi kufanya campaign Chato ata Lissu akisema amalizie muda uliobaki wote Chato, sanasana atapishana na Kalemani tu.

Hivi mnadhani Magufuli speed ya campaign imepungua kwa sababu ya uchovu tu. Ameshanusa ushindi tayari sasa anachofanya ni heshima tu ya kuomba kura. Wish hawa jamaa wangekuwa wana record mamillioni ya watu wanaojitokeza njiani maeneo ambayo Magu akupanga asimame ni wengi wengi mnooo.

Tatizo lenu mnasoma zaidi hizi ‘sensationalised headlines za JF’ that is contrary to the fact, Magu keshaona huko njiani watanzania bado wanamuhutaji.
Chadema hakuna mwenye akili hata mmoja wa kang'amua hayo,!

Sasa hivi akili zao zote zipo kwa kigogo, akitoa tu boko haoo wanajaa na kuitisha press
 
Magufuli awezi rudi kufanya campaign Chato ata Lissu akisema amalizie muda uliobaki wote Chato, sanasana atapishana na Kalemani tu.

Hivi mnadhani Magufuli speed ya campaign imepungua kwa sababu ya uchovu tu. Ameshanusa ushindi tayari sasa anachofanya ni heshima tu ya kuomba kura. Wish hawa jamaa wangekuwa wana record mamillioni ya watu wanaojitokeza njiani maeneo ambayo Magu akupanga asimame ni wengi wengi mnooo.

Tatizo lenu mnasoma zaidi hizi ‘sensationalised headlines za JF’ that is contrary to the fact, Magu keshaona huko njiani watanzania bado wanamuhutaji.

..lakini nyinyi si mmesema nyomi hazina maana yoyote?

..pia TL hawezi kushinda kwa ku-ignore kura za kanda ya ziwa.

..hivyo bado naiona busara ya TL kutafuta kura hata Chato ambako ni ngome ya Jpm.
 
Lissu hawezi kupumzika atamuudhi basha aliyemtuma Robert Amstadam, anatakiwa aonekane anabishanabishana na askari hivi, anatoatoa matamko makalimakali hivi, anaongea kwa ukaliukali hivi anaongea ulaghai na utapeli, kama leo ndio katoa kali!! analalamikia barabara ya Mbogwe!! wakati alishasema yeye sio muumini wa maendeleo ya vitu bali ya watu!! Tulijaribu kuwaelimisha humu kwamba miundombinu ndio inarahisisha maendeleo ya watu , misukule mkatutukana humu!! haya sasa msanii wenu Lissu anatapatapa tu a hajui ashike nini aache nini!!View attachment 1598880

Lissu anaungwa mkono na watu wengi mmo. Wanafika kwenye mikutano yake kwa wingi kwa utashi wao wenyewe.

Wewe ndiye unayedhani una akili kuliko hao watu?

Hivi huko Lumumba huwa mnachokonolewa nini kutokuwa na akili vichwani mwenu kiasi hiki?

Ni njaa ya buku 7 peke yake kweli hii?

Incredible!
 
Lissu kahutubia huku ushirombo bukombe kamaliza kaondoka kuelekea chato naimani atafika kwa wakatiii

Watu kama kawaida tulijitokeza kwa wingi haijawahi tokea katika haya mazingira yetu

Kila la kheri Tundulisu ambaye kabatizwa jina leo la KIMILA MASASI yaani mmeza risasi
 
Unajifanya umesahau?? si kasema yeye akiingia madarakani atavunja sheria zote zinazowakataza watu kushiriki mapenzi ya jinsia moja eti yanadhalilisha na kuingilia uhuru wa faragha! we subiri ndoa tu.
Hiyo sheria kuhusu masuala hayo inasemaje? Au unaweza kushare nasi tuione ya mwaka gani na ni kifungu namba ngapi?
 
..lakini nyinyi si mmesema nyomi hazina maana yoyote?

..pia TL hawezi kushinda kwa ku-ignore kura za kanda ya ziwa.

..hivyo bado naiona busara ya TL kutafuta kura hata Chato ambako ni ngome ya Jpm.
Kama ni nyomi hakuna eneo ambalo Lissu na Magu wamesimama halafu Lissu akakusanya watu kushinda Magufuli.

Nyongeza ya hapo Magufuli anapita mamillioni ya wapiga kura njiani waliojipanga kwa sababu hana ratiba ya kusimama maeneo hayo (Mkuu party affiliation aside ngoja nikutafutie video uone Magufuli anapita watu wengi njiani kutokana na tight schedule yake).

Ni hivi ushindi wa Lissu upo JF tu yaani kuna baadhi ya viongozi wa CDM wanamwita Lissu raisi huko Twitter na tunajua mwenye mamlaka ya kumtangaza raisi wa nchi hii ni tume ya uchaguzi na uchaguzi wenyewe bado sasa watu kama hao wakipelekwa Lupango utasikia wanadai wanaonewa.
 
Bora ya hayo twende kukopa, kuliko hili la kutaka vidume tuoane, huko kanda ya magharibi ndio hawayajui tu mambo hayo, labda akagombee Mombasa
Hivi yule aliyekuwa anataka kura za Sugu kisha akamsugue weee pale ulielewa nini? Maana mnaropoka sana mpaka mnajisahau.
Huku kwenye fuvu mmebeba nini?
 
Hili ushahidi ni upi ili tujiridhishe kuwa hawa ni wengi hawa ni wachacheee
Kama ni nyomi hakuna eneo ambalo Lissu na Magu wamesimama halafu Lissu akakusanya watu kushinda Magufuli.

Nyongeza ya hapo Magufuli anapita mamillioni ya wapiga kura njiani waliojipanga kwa sababu hana ratiba ya kusimama maeneo hayo (Mkuu party affiliation aside ngoja nikutafutie video uone Magufuli anapita watu wengi njiani kutokana na tight schedule yake).

Ni hivi ushindi wa Lissu upo JF tu yaani kuna baadhi ya viongozi wa CDM wanamwita Lissu raisi huko Twitter na tunajua mwenye mamlaka ya kumtangaza raisi wa nchi hii ni tume ya uchaguzi na uchaguzi wenyewe bado sasa watu kama hao wakipelekwa Lupango utasikia wanadai wanaonewa.
 
Kama ni nyomi hakuna eneo ambalo Lissu na Magu wamesimama halafu Lissu akakusanya watu kushinda Magufuli.

Nyongeza ya hapo Magufuli anapita mamillioni ya wapiga kura njiani waliojipanga kwa sababu hana ratiba ya kusimama maeneo hayo.

Ni hivi ushindi wa Lissu upo JF tu yaani kuna baadhi ya viongozi wa CDM wanamwita Lissu raisi na tunajua mwenye mamlaka ya kumtangaza raisi wa nchi hii ni tume ya uchaguzi na uchaguzi wenyewe bado sasa watu kama hao wakipelekwa Lupango utasikia wanadai wanaonewa.

..Sawa.

..Lakini ili TL ashinde ni lazima apate kura maeneo yote ya Tz, ikiwemo kanda ya ziwa.

..Hiyo ni tofauti na Jpm ambaye anaweza kushinda kwa kutegemea kura za kanda ya ziwa peke yake.

..kuhusu kampeni za Cdm kumuita TL raisi iko hivi; ni kwamba ktk mpambano huu Cdm hawatakiwi kumuogopa Jpm au CCM.

..Ukiona mgombea wa upinzani, anamuogopa, au anamnyenyekea, mgombea wa CCM, ujue huyo hana nia ya kushinda. Hilo nililiona mwaka 2005 wakati Prof.Lipumba anapambana na Jakaya Kikwete.
 
Kama ni nyomi hakuna eneo ambalo Lissu na Magu wamesimama halafu Lissu akakusanya watu kushinda Magufuli.

Nyongeza ya hapo Magufuli anapita mamillioni ya wapiga kura njiani waliojipanga kwa sababu hana ratiba ya kusimama maeneo hayo (Mkuu party affiliation aside ngoja nikutafutie video uone Magufuli anapita watu wengi njiani kutokana na tight schedule yake).

Ni hivi ushindi wa Lissu upo JF tu yaani kuna baadhi ya viongozi wa CDM wanamwita Lissu raisi huko Twitter na tunajua mwenye mamlaka ya kumtangaza raisi wa nchi hii ni tume ya uchaguzi na uchaguzi wenyewe bado sasa watu kama hao wakipelekwa Lupango utasikia wanadai wanaonewa.
Kwaa Taarifa yako Wanachama wote wa NSSF wanakwenda kumpigia kura LISSU...huu mwaka mtajibeba ni mburura tu asiyejitambua ataichagua sisiemu
 
..Sawa.

..Lakini ili TL ashinde ni lazima apate kura maeneo yote ya Tz, ikiwemo kanda ya ziwa.

..Hiyo ni tofauti na Jpm ambaye anaweza kushinda kwa kutegemea kura za kanda ya ziwa peke yake.

..kuhusu kampeni za Cdm kumuita TL raisi iko hivi; ni kwamba ktk mpambano huu Cdm hawatakiwi kumuogopa Jpm au CCM.

..Ukiona mgombea wa upinzani, anamuogopa, au anamnyenyekea, mgombea wa CCM, ujue huyo hana nia ya kushinda. Hilo nililiona mwaka 2005 wakati Prof.Lipumba anapambana na Jakaya Kikwete.
Unasoma sana JF ebu ongea na wakazi wa (tafuta ndugu zako kabisa) Magufuli ana support Dar kushinda sehemu nyingine yoyote Tanzania.
 
Nakwambia leo Chato lazima tumpopoe na mawe tunamsubiri kwa hamu.

Kama kweli anajiamini akatize Chato aone!
Acha ujinga huo, haki yako iko tarehe 28 Oktoba, 2020 (sasa hivi JPM yuko, Dar, Rungwe Dom, - sasa huku waliko wagombea wakipopolewa mawe tutakuwa na uchaguzi tena)??????

In short hulazimishwi kuhudhuria mkutano na hulazimishwi kumpigia kura 28/10 vice versa to other contesters
 
Unajifanya umesahau?? si kasema yeye akiingia madarakani atavunja sheria zote zinazowakataza watu kushiriki mapenzi ya jinsia moja eti yanadhalilisha na kuingilia uhuru wa faragha! we subiri ndoa tu.
Weka hapa clip aliyosema maneno hayo na nakuhakikishia kila nitakalo andika hapa JF nitatanguliza na neno " shikamoo Umslopagazi "
 
Wapi nimeandika asiende Chato?

Nilichoandika ni busara ya kuamua kwenda kwenye strong hold za mshindani wako.

Unapofanya campaign ili kutumia resources zako vizuri ni muhimu pia kuelekeza nguvu katika maeneo utakayopata support.

Lissu awezi pata kura za kutosha Chato wala mgombea ubunge wa CDM awezi shinda Chato. Sasa kwanini uende sehemu kama hiyo kitu ambacho utavuna sanasana ni ku provoke wapiga kura na kuwawekea risk local CDM cadres kwa siasa zetu za kiafrica.

Tatizo lenu mnashabikia kila upuuzi wa huyu mtu, mbona awawekezi resources kwenye siasa Zanzibar umejiuliza kwanini?
Lussu anatakakumexpose Yohana kuwa pamoja na kupeleka taa za barabarani na Uwanja wa ndege bado watu wanataka mabadiliko. Wanataka Uhuru, Haki na Maendeleo!!
 
Unasoma sana JF ebu ongea na wakazi wa (tafuta ndugu zako kabisa) Magufuli ana support Dar kushinda sehemu nyingine yoyote Tanzania.

..ninachosema mimi ni kwamba TL hana "luxury" ya kuchagua wapi apige kampeni na wapi asipige.

..TL na Cdm wanatakiwa wapige kampeni maeneo yote kama wana nia ya kweli ya kushinda uchaguzi.
 
Kama ni nyomi hakuna eneo ambalo Lissu na Magu wamesimama halafu Lissu akakusanya watu kushinda Magufuli.

Nyongeza ya hapo Magufuli anapita mamillioni ya wapiga kura njiani waliojipanga kwa sababu hana ratiba ya kusimama maeneo hayo (Mkuu party affiliation aside ngoja nikutafutie video uone Magufuli anapita watu wengi njiani kutokana na tight schedule yake).

Ni hivi ushindi wa Lissu upo JF tu yaani kuna baadhi ya viongozi wa CDM wanamwita Lissu raisi huko Twitter na tunajua mwenye mamlaka ya kumtangaza raisi wa nchi hii ni tume ya uchaguzi na uchaguzi wenyewe bado sasa watu kama hao wakipelekwa Lupango utasikia wanadai wanaonewa.
Aiseee huna akili kabisa
 
Back
Top Bottom