Uchaguzi 2020 Chato: Yaliyojiri Mapokezi ya mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Tundu Lissu

Uchaguzi 2020 Chato: Yaliyojiri Mapokezi ya mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Tundu Lissu

Wewe utakuwa wale ambao maslahi yenu yameguswa, lakini wengi wanakubali maisha bado magumu kama ilivyokuwa miaka yote kabla yake. Walau sasa hivi kuna haki wana dar es salaam walikuwa wananyanyasika mtu anakupora haki yako mchana unapakukimbilia, watendaji wajeuri etc sasa hivi raia regardless ya nafasi yake anaanza heshimiwa.

Isitoshe mazingira ya miundombinu ipo sasa kuchochea uchumi, cost of living ameishusha kiasi ukitoa sukari inflation ya chakula is slow na rent za nyumba ni stable for almost five years.

Ni hivi mnajufurahisha Magufuli Dar hana mpinzani.
Dar hiii ya mafuriko leo?au Dar ya kwenu?
 
Kuelewa kilichomvuta lissu aende tena chato mpaka uwe unayaelewa mambo ya ulimwengu wa roho na pia uwe na uwezo wa kuona na kutafasiri.
There must be a spiritual inspiration pushed and pulled mr tundu to go once again to his political enemy ground.
You have a very good point .. kuna suala la kiroho hapa. Halafu hili suala la Lissu kupokelewa vizuri nyumbani kwa Mshua ni harassment moja kubwa sana. Imemvunja nguvu sana Magufuli. Imemvunja sanaaaa
 
Bukombe
Subpost 3 - Wapiganaji wa BUKOMBE-GEITA.   Sauti zenu ziko juu sana.   Mnasikika ( 426 X 640 ).jpg
Subpost 4 - Wapiganaji wa BUKOMBE-GEITA.   Sauti zenu ziko juu sana.   Mnasikika ( 426 X 640 ).jpg
Subpost 2 - Wapiganaji wa BUKOMBE-GEITA.   Sauti zenu ziko juu sana.   Mnasikika ( 426 X 640 ).jpg
Subpost 1 - Wapiganaji wa BUKOMBE-GEITA.   Sauti zenu ziko juu sana.   Mnasikika ( 426 X 640 ).jpg
 
Wewe utakuwa wale ambao maslahi yenu yameguswa, lakini wengi wanakubali maisha bado magumu kama ilivyokuwa miaka yote kabla yake. Walau sasa hivi kuna haki wana dar es salaam walikuwa wananyanyasika mtu anakupora haki yako mchana unapakukimbilia, watendaji wajeuri etc sasa hivi raia regardless ya nafasi yake anaanza heshimiwa.

Isitoshe mazingira ya miundombinu ipo sasa kuchochea uchumi, cost of living ameishusha kiasi ukitoa sukari inflation ya chakula is slow na rent za nyumba ni stable for almost five years.

Ni hivi mnajufurahisha Magufuli Dar hana mpinzani.
Wewe uko katavi mambo ya dar tuachie wenyewe huijui dar
 
Ndio maana nawaambia anachofanya sasa ni kutoa heshima kwa wapiga kura keshaona huko njiani watanzania bado wanamuhitaji aitajii tena kutumia nguvu kama Lissu tena.

Anyway wafuasi wa CDM huwa wanapenda kubisha tu atauwaeleze ushahidi watabadili maneno.
Mkuu, Jamaa kachoka... Muangalie vizuri na msikilize vizuri.
 
Vile mnavo hangaika kukichafua chuma .afu chuma hakina habari wala mashakaa wala nini
Kina subiri kuingia Ikulu tuu kwa mara ya pili
IMG-20201013-WA0029.jpg
 
Hii hesabu feki. Tanzania ni kubwa sana, hakukuwa na sababu ya Lissu kurudi kanda ya ziwa mara ya tatu. Anapoteza muda wake na resources, wasukuma hawezi kuacha kumpa kura mtu wao.
UCHAGUZI WA MWAKA HUU NI HESABU KALI!
 
Back
Top Bottom