Wewe utakuwa wale ambao maslahi yenu yameguswa, lakini wengi wanakubali maisha bado magumu kama ilivyokuwa miaka yote kabla yake. Walau sasa hivi kuna haki wana dar es salaam walikuwa wananyanyasika mtu anakupora haki yako mchana unapakukimbilia, watendaji wajeuri etc sasa hivi raia regardless ya nafasi yake anaanza heshimiwa.
Isitoshe mazingira ya miundombinu ipo sasa kuchochea uchumi, cost of living ameishusha kiasi ukitoa sukari inflation ya chakula is slow na rent za nyumba ni stable for almost five years.
Ni hivi mnajufurahisha Magufuli Dar hana mpinzani.