Yuko hapa anamalizana na mamako kwanza!Huyu pimbi mbona hafiki CHATO ?????
Ha haha! Najua wewe unamuona Magu ana maono toka akuambie kile kitambulisho alicho kuuzia buku 20 unaweza kwenda Standard Chartered Bank kuchukua mkopo wa 20m.Mh rais wa wapi huyoo wa nchi gani sisi Tunataka Rais ambae anamaono mapana na taifa hili ,
Walikuwa na mategemeo ya hayo mengine yatafanywa. Sawa na watoto wakiona baba kanunua baiskeli ya kuendea kilabuni mategemeo ya kununuliwa yunifomu yanakuwepo, wanashangaa kila Sikh zifuatazo analewa tuuYa jikoni hatuwezi kuyajua. Mbona hawakupinga au kuukataa toka unaanza kujengwa?! Au waliamka asubuhi wakaukuta pale?!
Wapi nimeandika asiende Chato?Hicho ulichokiandika ni kitu cha kipumbavu kwa 100%.
Hivi unajua nini maana ya kampeni?
Unataka kura, basi nenda kwa watu kawashawishi wakupe kura. Hakuna chama chenye mamlaka wala haki ya kumzuia mtu au watu kwenda maeneo fulani.
We ni hasara tupu bora mzee wako angetumia mpira.Yuko hapa anamalizana na mamako kwanza!
Unamwotaje pimbi Rais wako mtarajiwa? Uwe na nidhamu mwamba!We ni hasara tupu bora mzee wako angetumia mpira.
Hii sasa sifa. Wanageita mnajipenda kweli nyie? Jamaa anaweza kuleta greda likabomoe na hizo barabara mlizojengewa
Hivi unaelewa nguvu ya upinzani Chato? Tokea 1995 Magu hajawahi shinda ubunge Chato zaidi ya figisu tuu. Na ndio maana kabla ya uchaguzi hovyo wa mitaa 2019 mitaa na vijiji vingi vilikuwa chini ya upinzani ikiwemo nyumbani kwake kabisaWapi nimeandika asiende Chato?
Nilichoandika ni busara ya kuamua kwenda kwenye strong hold za mshindani wako.
Unapofanya campaign ili kutumia resources zako vizuri ni muhimu pia kuelekeza nguvu katika maeneo utakayopata support.
Lissu awezi pata kura za kutosha Chato wala mgombea ubunge wa CDM awezi shinda Chato. Sasa kwanini uende sehemu kama hiyo kitu ambacho utavuna sanasana ni ku provoke wapiga kura na kuwawekea risk local CDM cadres kwa siasa zetu za kiafrica.
Tatizo lenu mnashabikia kila upuuzi wa huyu mtu, mbona awawekezi resources kwenye siasa Zanzibar umejiuliza kwanini?
Bora ya hayo twende kukopa, kuliko hili la kutaka vidume tuoane, huko kanda ya magharibi ndio hawayajui tu mambo hayo, labda akagombee MombasaHa haha! Najua wewe unamuona Magu ana maono toka akuambie kile kitambulisho alicho kuuzia buku 20 unaweza kwenda Standard Chartered Bank kuchukua mkopo wa 20m.
Pole
Haya good for you mi nimetoa mtazamo tu, kama mnaamini kweli mnanguvu huko who am I to dispute that.Hivi unaelewa nguvu ya upinzani Chato? Tokea 1995 Magu hajawahi shinda ubunge Chato zaidi ya figisu tuu. Na ndio maana kabla ya uchaguzi hovyo wa mitaa 2019 mitaa na vijiji vingi vilikuwa chini ya upinzani ikiwemo nyumbani kwake kabisa
Kila mgombea ana haki ya kufanya campaign zake popote ndani ya Tanzania na kuakikishiwa usalama wake na polisi.
Halikadhalika wagombea nao inabidi wawe na busara si rahisi kukuta mgombea wa Democrat/Labour/Left au Republican/Conservative/Right; anapoteza muda wake kwenda kufanya campaign kwenye maeneo ambayo ni traditionally strong hold ya upande mwingine.
Na kwa hizi nchi zetu za kiafrica ndio kabisa ukienda strong hold za mshindani wako unaweza ata waletea matatizo hao watu watakao kuandalia huo mkutano, kwa mtu mwenye busara hakuna ulazima wa kufika huko ata kama ni haki yake.
Huyu mtu anahitaji msaada wa kiakili msichukulie poa; as days go anaonyesha jinsi gani anavyosukumwa na hasira katika maamuzi yake badala ya logic.
Kwani Tundu Lissu kasema akiingia madarakani ni lazima kuolewa?Bora ya hayo twende kukopa, kuliko hili la kutaka vidume tuoane, huko kanda ya magharibi ndio hawayajui tu mambo hayo, labda akagombee Mombasa
Kumbe na mabeberu yako CCM? Kumbe tukanatukana yote ni geresha tu. Leo wameumbuka.Beberu moja limenaswa na camera zetu likiiombea CCM kura huku likisema Magufuli yeeeeee
View attachment 1598877
Na Mbunge wake ni Kalemani na Chato aijawahi kuongozwa na upinzani tangia kuundwa kwa dunia.Kijiji cha cha chato mwenyekiti wake ni Chadema. Upo!
Ukiwa na maana ipi mkuu? Kuna ambao upande wao wako sahihi au pande zote wanazinguaYani ukisoma humu utabaini watu wengi wanaishi kwenye 'fantasy world'. Ulimwengu wa kufikirika ambao kiuhalisia haupo.
Maisha ya 'keyboard'.
Unajifanya umesahau?? si kasema yeye akiingia madarakani atavunja sheria zote zinazowakataza watu kushiriki mapenzi ya jinsia moja eti yanadhalilisha na kuingilia uhuru wa faragha! we subiri ndoa tu.Kwani Tundu Lissu kasema akiingia madarakani ni lazima kuolewa?
Magufuli awezi rudi kufanya campaign Chato ata Lissu akisema amalizie muda uliobaki wote Chato, sanasana atapishana na Kalemani tu...hoja yako iko sahihi kwa asilimia 50%.
..kuna wakati siyo busara, na kuna wakati ni busara, kwa mgombea kufanya kampeni ktk stronghold ya mpinzani wake.
..kitendo cha Tundu Lissu kufanya kampeni Chato, kinaweza kumlazimisha Magufuli kurudisha "majeshi" Chato ili kufuta "nyayo" za Tundu Lissu. Sasa Magufuli akirudi Chato au akielekeza resources /nguvu huko, itampa nafasi na nafuu Tundu Lissu kufanya kampeni ktk maeneo mengine.
..Kwa hiyo yako mazingira ambapo ni busara kwa mgombea kwenda kutingisha ngome au stronghold ya mpinzani wake kama alivyofanya Tundu Lissu.
..Mwisho, mfano wa Democrat vs Republican vyama vya Marekani uliotumia hauna mantiki sana ktk mazingira ya Tanzania. Uchaguzi wa Marekani unaamulika wa kura za ELECTORAL COLLEGE, wakati uchaguzi wa Tanzania unaamuliwa kwa wingi wa kura ya mtu mmoja mmoja.