Uchaguzi 2020 Chato: Yaliyojiri Mapokezi ya mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Tundu Lissu

Uchaguzi 2020 Chato: Yaliyojiri Mapokezi ya mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Tundu Lissu

Ya jikoni hatuwezi kuyajua. Mbona hawakupinga au kuukataa toka unaanza kujengwa?! Au waliamka asubuhi wakaukuta pale?!
Walikuwa na mategemeo ya hayo mengine yatafanywa. Sawa na watoto wakiona baba kanunua baiskeli ya kuendea kilabuni mategemeo ya kununuliwa yunifomu yanakuwepo, wanashangaa kila Sikh zifuatazo analewa tuu
 
Hicho ulichokiandika ni kitu cha kipumbavu kwa 100%.
Hivi unajua nini maana ya kampeni?
Unataka kura, basi nenda kwa watu kawashawishi wakupe kura. Hakuna chama chenye mamlaka wala haki ya kumzuia mtu au watu kwenda maeneo fulani.
Wapi nimeandika asiende Chato?

Nilichoandika ni busara ya kuamua kwenda kwenye strong hold za mshindani wako.

Unapofanya campaign ili kutumia resources zako vizuri ni muhimu pia kuelekeza nguvu katika maeneo utakayopata support.

Lissu awezi pata kura za kutosha Chato wala mgombea ubunge wa CDM awezi shinda Chato. Sasa kwanini uende sehemu kama hiyo kitu ambacho utavuna sanasana ni ku provoke wapiga kura na kuwawekea risk local CDM cadres kwa siasa zetu za kiafrica.

Tatizo lenu mnashabikia kila upuuzi wa huyu mtu, mbona awawekezi resources kwenye siasa Zanzibar umejiuliza kwanini?
 
Yani ukisoma humu utabaini watu wengi wanaishi kwenye 'fantasy world'. Ulimwengu wa kufikirika ambao kiuhalisia haupo.

Maisha ya 'keyboard'.
 
Hivi unaelewa nguvu ya upinzani Chato? Tokea 1995 Magu hajawahi shinda ubunge Chato zaidi ya figisu tuu. Na ndio maana kabla ya uchaguzi hovyo wa mitaa 2019 mitaa na vijiji vingi vilikuwa chini ya upinzani ikiwemo nyumbani kwake kabisa
 
Ha haha! Najua wewe unamuona Magu ana maono toka akuambie kile kitambulisho alicho kuuzia buku 20 unaweza kwenda Standard Chartered Bank kuchukua mkopo wa 20m.
Pole
Bora ya hayo twende kukopa, kuliko hili la kutaka vidume tuoane, huko kanda ya magharibi ndio hawayajui tu mambo hayo, labda akagombee Mombasa
 
Hivi unaelewa nguvu ya upinzani Chato? Tokea 1995 Magu hajawahi shinda ubunge Chato zaidi ya figisu tuu. Na ndio maana kabla ya uchaguzi hovyo wa mitaa 2019 mitaa na vijiji vingi vilikuwa chini ya upinzani ikiwemo nyumbani kwake kabisa
Haya good for you mi nimetoa mtazamo tu, kama mnaamini kweli mnanguvu huko who am I to dispute that.

Lakini vinginevyo mjue icho kitendo kama support ya Magufuli ni kubwa huko kwa siasa zetu hizi za sentimental na viongozi mnahatarisha usalama wa wafuasi wa CDM huko.
 
Kila mgombea ana haki ya kufanya campaign zake popote ndani ya Tanzania na kuakikishiwa usalama wake na polisi.

Halikadhalika wagombea nao inabidi wawe na busara si rahisi kukuta mgombea wa Democrat/Labour/Left au Republican/Conservative/Right; anapoteza muda wake kwenda kufanya campaign kwenye maeneo ambayo ni traditionally strong hold ya upande mwingine.

Na kwa hizi nchi zetu za kiafrica ndio kabisa ukienda strong hold za mshindani wako unaweza ata waletea matatizo hao watu watakao kuandalia huo mkutano, kwa mtu mwenye busara hakuna ulazima wa kufika huko ata kama ni haki yake.

Huyu mtu anahitaji msaada wa kiakili msichukulie poa; as days go anaonyesha jinsi gani anavyosukumwa na hasira katika maamuzi yake badala ya logic.

..hoja yako iko sahihi kwa asilimia 50%.

..kuna wakati siyo busara, na kuna wakati ni busara, kwa mgombea kufanya kampeni ktk stronghold ya mpinzani wake.

..kitendo cha Tundu Lissu kufanya kampeni Chato, kinaweza kumlazimisha Magufuli kurudisha "majeshi" Chato ili kufuta "nyayo" za Tundu Lissu. Sasa Magufuli akirudi Chato au akielekeza resources /nguvu huko, itampa nafasi na nafuu Tundu Lissu kufanya kampeni ktk maeneo mengine.

..Kwa hiyo yako mazingira ambapo ni busara kwa mgombea kwenda kutingisha ngome au stronghold ya mpinzani wake kama alivyofanya Tundu Lissu.

..Mwisho, mfano wa Democrat vs Republican vyama vya Marekani uliotumia hauna mantiki sana ktk mazingira ya Tanzania. Uchaguzi wa Marekani unaamulika wa kura za ELECTORAL COLLEGE, wakati uchaguzi wa Tanzania unaamuliwa kwa wingi wa kura ya mtu mmoja mmoja.
 
Kijiji cha cha chato mwenyekiti wake ni Chadema. Upo!
Na Mbunge wake ni Kalemani na Chato aijawahi kuongozwa na upinzani tangia kuundwa kwa dunia.

Listen I am not against the idea ya Lissu kwenda Chato, but is it worthy it?
 
Yani ukisoma humu utabaini watu wengi wanaishi kwenye 'fantasy world'. Ulimwengu wa kufikirika ambao kiuhalisia haupo.

Maisha ya 'keyboard'.
Ukiwa na maana ipi mkuu? Kuna ambao upande wao wako sahihi au pande zote wanazingua
 
Kwani Tundu Lissu kasema akiingia madarakani ni lazima kuolewa?
Unajifanya umesahau?? si kasema yeye akiingia madarakani atavunja sheria zote zinazowakataza watu kushiriki mapenzi ya jinsia moja eti yanadhalilisha na kuingilia uhuru wa faragha! we subiri ndoa tu.
 
..hoja yako iko sahihi kwa asilimia 50%.

..kuna wakati siyo busara, na kuna wakati ni busara, kwa mgombea kufanya kampeni ktk stronghold ya mpinzani wake.

..kitendo cha Tundu Lissu kufanya kampeni Chato, kinaweza kumlazimisha Magufuli kurudisha "majeshi" Chato ili kufuta "nyayo" za Tundu Lissu. Sasa Magufuli akirudi Chato au akielekeza resources /nguvu huko, itampa nafasi na nafuu Tundu Lissu kufanya kampeni ktk maeneo mengine.

..Kwa hiyo yako mazingira ambapo ni busara kwa mgombea kwenda kutingisha ngome au stronghold ya mpinzani wake kama alivyofanya Tundu Lissu.

..Mwisho, mfano wa Democrat vs Republican vyama vya Marekani uliotumia hauna mantiki sana ktk mazingira ya Tanzania. Uchaguzi wa Marekani unaamulika wa kura za ELECTORAL COLLEGE, wakati uchaguzi wa Tanzania unaamuliwa kwa wingi wa kura ya mtu mmoja mmoja.
Magufuli awezi rudi kufanya campaign Chato ata Lissu akisema amalizie muda uliobaki wote Chato, sanasana atapishana na Kalemani tu.

Hivi mnadhani Magufuli speed ya campaign imepungua kwa sababu ya uchovu tu. Ameshanusa ushindi tayari sasa anachofanya ni heshima tu ya kuomba kura. Wish hawa jamaa wangekuwa wana record mamillioni ya watu wanaojitokeza njiani maeneo ambayo Magu akupanga asimame ni wengi wengi mnooo.

Tatizo lenu mnasoma zaidi hizi ‘sensationalised headlines za JF’ that is contrary to the fact, Magu keshaona huko njiani watanzania bado wanamuhutaji.
 
Back
Top Bottom