Crimea
JF-Expert Member
- Mar 25, 2014
- 25,874
- 36,030
Chadema hakuna mwenye akili hata mmoja wa kang'amua hayo,!Magufuli awezi rudi kufanya campaign Chato ata Lissu akisema amalizie muda uliobaki wote Chato, sanasana atapishana na Kalemani tu.
Hivi mnadhani Magufuli speed ya campaign imepungua kwa sababu ya uchovu tu. Ameshanusa ushindi tayari sasa anachofanya ni heshima tu ya kuomba kura. Wish hawa jamaa wangekuwa wana record mamillioni ya watu wanaojitokeza njiani maeneo ambayo Magu akupanga asimame ni wengi wengi mnooo.
Tatizo lenu mnasoma zaidi hizi ‘sensationalised headlines za JF’ that is contrary to the fact, Magu keshaona huko njiani watanzania bado wanamuhutaji.
Sasa hivi akili zao zote zipo kwa kigogo, akitoa tu boko haoo wanajaa na kuitisha press