Uchaguzi 2020 Chato: Yaliyojiri Mapokezi ya mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Tundu Lissu

Asante sana nafuatilia kwa karibu sana tafadhali tujuze kinachojiri hasa kwa picha mambo haya muhimu kwa ukombozi wa Tanzania yetu.
 
Hii hesabu feki. Tanzania ni kubwa sana, hakukuwa na sababu ya Lisu kurudi kanda ya ziwa mara ya tatu. Anapoteza muda wake na resources, wasukuma hawezi kuacha kumpa kura mtu wao.
Bora yeye kuliko kusomba watu wa kila kona ya Dar na leo tena kuwapeleka Tanganyika perkazi
 
Danganya wapumbavu. Tanzania ya Leo siyo ya Jana. Mwanangu ni mfanyakazi hajaongezewa mshahara miaka 5 na pia mmeamua kuiba Mafao yake unataka tusitafute mtu atakayerudisha heshima ya mfanyakazi?
 
Taarifa kutoka Chato, zinasema mtawala Muovu amewatuma MaCCM usiku wamewavamia Wana Chato wanaomsubiri kwa hamu kubwa MBEBA MAONO.

Magufuli na MaCCM si museme tu kama ni kweli, uwanja wa ndege CHATO ni chaguo la wananchi katika mahitaji yao.
Sasa hili nalo ni GUMU.

Ndio basi tena!
 
Chato nzima Imesimama wana Chato wameamua kuthibitisha kuwa Nabii hakubaliki kwenye nchi yake.

Watu wamekesha Barabarani kumsubiri Liasu wafanyakazi wameahidi kutoenda kazini, wafanyabiashara hawafungui Maduka ,Hakika saa ya ukombozi ni sasa.
Tuchague lipi? mara mumechomewa nyumba mara watu wamekesha nje,
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kutembelea uwanja wa ndege Chato ni kichekesho. CHADEMA bana...hata hawajielewi
Anzeni kutafuta majibu ya maswali aliyiukiza akiwa Singida. Alisema anawatumia maswali mapema muanze kuulizana hapo Chato msijekusema amewashitukiza! Swali kubwa ni huo uwanja unawasaidiaje nyie watu wa Chato? Swali la pili ni Mwanachato yupi ameshautumia huo uwanja kupanda ndege?
 
Hahaha very interesting
 
Chato nzima Imesimama wana Chato wameamua kuthibitisha kuwa Nabii hakubaliki kwenye nchi yake.

Watu wamekesha Barabarani kumsubiri Liasu wafanyakazi wameahidi kutoenda kazini, wafanyabiashara hawafungui Maduka ,Hakika saa ya ukombozi ni sasa.
Nabii hakubaliki kwenye nchi yake kwa sababu wanamjua toka kuzaliwa kuwa kwa tabia na matendo yake hawezi kuwa Nabii wa kweli bali kama Vitabu vanavyosema atakuwa Nabii wa uongo. Mwana umleavyo ndivyo akuavyo!
 
Kamanda Husna usiku wa kuamkia leo wamemvamia nyumbani kwake na kuchoma moto nyumba na mali zake mbalimbalk. MUNGU AMTIE NGUVU.
 
Serengeti kuna uwanja wa ndege hautumiwi na wana serengeti hutumiwa na watalii tu
Pia zipo hoteli za kitalii Chato WATU WA CHATO huwa hawazitumii.Kutozitumia haina maana kuwa hazina faida kwao

Chato kuna mbuga imeanzishwa kubwa imeanzishwa karibuni huo uwanja utakuwa ukihudumia watalii

Mbuga hiyo hapo ya chato

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…