Uchaguzi 2020 Chato: Yaliyojiri Mapokezi ya mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Tundu Lissu

Uchaguzi 2020 Chato: Yaliyojiri Mapokezi ya mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Tundu Lissu

Unatembeleaje uwanja unaouponda kila siku? Aende akatembelee na traffic lights.
Sikiliza wee zezeta..
Airport ya chato imejengwa kwa kodi za watanzania..
Lissu na mtu yoyote ana haki ya kwenda kuangalia nini kilichofanyika kwa kodi yake katika hii Airport..
Jitambue kabla haujaanza kuokota makopo.
Unatembeleaje uwanja unaouponda kila siku? Aende akatembelee na traffic lights.
 
Kwani kuutembelea na kuona namna kodi zetu zinavyotumika kuna kosa?
Mbona mnakuwa waoga kiasi hiki?
#NI YEYE#
Haya, asisahau kutembelea na miradi mingine. Kumbe alikuwa anapayuka tu hata hajui na hajawahi ona anachoongelea
 
Tunajua mmeandaa vikosi Haramu vya kupiga watu na kurushia mawe msafara wa mgombea.Kwanini muandae vikundi Haramu? Mbona siasa imewashinda? Si mtoe Hoja kutetea huo Uwanja wenu na faida anayopata mwanaChato?
Kwan kulikuwa ulazima gani wa kwenda huko Chato? Binafsi sijapenda kurudia rudia kwenda huko seems km mnawaprovoke.
Mnawabembeleza wa nn hao wasiojitambua?
Ongezeni ulinzi huko hatutaki kusikia mgombea kahujumiwa au kadhurika watu wa huko sio watu wazuri huwa naumia sana nikimkumbuka Mawazo Alphonse.
 
Sikiliza wee zezeta..
Airport ya chato imejengwa kwa kodi za watanzania..
Lissu na mtu yoyote ana haki ya kwenda kuangalia nini kilichofanyika kwa kodi yake katika hii Airport..
Jitambue kabla haujaanza kuokota makopo.
Kwani nani kamkataza kwenda we kuku...Nani kamkataza?
Maendeleo hayana chama....
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kutembelea uwanja wa ndege Chato ni kichekesho. CHADEMA bana, hata hawajielewi.
Eeenh, ngoja nami nicheke, actually 'nikucheke' wewe.

Kwa nini iwe 'kichekesho' kwa mgombea urais kutembelea mradi mkubwa kama huo?
 
Embu nieleze economic benefits ya uwanja wa chato kwa wakazi wa chato ni nini?
Hata ukielezwa huwezi kuelewa maana akiri yako kuna watu wamakubebea,
Nyie subilini uhuruwa kusafishwa migongo.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kutembelea uwanja wa ndege Chato ni kichekesho. CHADEMA bana, hata hawajielewi.
Kichekesho ni kuijenga, siyo kuutembelea. Unapoangalia komedi kichekesho ni yule anayekuchekeshe, siyo wewe unayeangalia ukacheka!
 
Eeenh, ngoja nami nicheke, actually 'nikucheke' wewe.

Kwa nini iwe 'kichekesho' kwa mgombea urais kutembelea mradi mkubwa kama huo?
[emoji849][emoji849]..kumbe mnatambua ni mradi mkubwa wenye manufaa. Ona sasa ambavyo hamjielewi
 
Leo mwanachato watuambie je Chato international airport imewanufaisha vipi?

Je tangu 2017 mwanachato gani ameutumia huo uwanja?@barafu alipiga kelele sana kuhusu huu uwanja tangu 2016.

Usije baadae ukageuka ni malisho ya mifugo.

Watumbie je taa za barabarani zimewaletea vip maendeleo au zimekuwa kama sehemu ya kuongozea maguta ya punda?
Labda maswali haya akiuliza wanachato watamjibu kitu, ni maswali mazuri.

Ila juzi alipokuwa Singida nilimsikia akisema maflyover ya dar kama ubungo "LABDA" ni maendeleo, akauliza lakini yanawasaidia nini watu wa Singida??.

Hapo kwenye hilo swali nilimuona Lissu ameteleza ni swali lisilokuwa na maana sababu kila kitu kina umuhimu wake pale kilipo.

Hilo la uwanja ngoja akifika huko Chato atapata majibu kwa wana Chato.
 
Back
Top Bottom