Uchaguzi 2020 Chato: Yaliyojiri Mapokezi ya mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Tundu Lissu

Uchaguzi 2020 Chato: Yaliyojiri Mapokezi ya mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Tundu Lissu

Yaani utafikiri kwenda Chato ni kushinda bahati nasibu,

Mambo ya Chadema kama watoto wa sekondari vile.
 
Kuna watu ni sijawahi ona, uwanja wa Chato uwanja wa Chato, hivi Chato ni wananchi wa wapi? Wao hawana haki ya kuwa na uwanja? Mbona mnakuwa wapumbavu kiasi hiki?

Mnatukana kila siku Chato utafikiri wao hawatakiwi kuwa na uwanja. Kwa taarifa yenu wananchi wa Chato si wajinga, muulizeni mgombea wenu alichokipata Buselesele na Katoro hadi akasitisha kwenda Chato, haya yote ni siasa mbovu isiyo na staha, hata kama unachallenge tumia lugha rafiki, don't be so biased to that extent, watu wa Chato amewatukana sana, Buselesele na Katoro yalikuwa maeneo ya upinzani lakini kutokana na dharau za Lissu matokeo yake CHADEMA leo inazomewa, Lissu asingezomewa Buselesele kwa namna ile, Awe na akiba ya maneno kwani anaowatukana wanasikia .

Inashangaza sana unatukana halafu bado eti unaenda kuwaomba kura,,,,, unatukana barabara kujengwa huku unazitumia, unatukana ndege huku unazipanda huo ni U CHICHIDODO.

Watu wa chato Wana akili

Ule uwanja haustahili kuwa chato kabisa
Na sababu ziko wazi kabisa kwa mtu yoyote anayejielewa ile Ni mistake kubwa Sana imefanyika kuweka uwanja pale hata wahusika wenyewe wanajuta lakini maji wameshayamwaga hamna jinsi hawawezi kuepuka hizo lawama
 
Lissu shikilia hapohapo... Mpaka upara uote nywele...
 
Lissu kichwani hazimo huo uwanja umejengwa kwa ajili ya mbuga kubwa tatu zilizoanzishwa eneo hilo ili watalii watue hapo na kwenda mbugani kutalii aambiwe mbuga ipo kubwa sana tu hapo Chato ni serengeti ya kanda ya ziwa atembelee hii hapa mbuga ya Chato kama alikuwa haijui

Watalii badala ya kutua Mwanza watatua hapo na kuelekea mbugani

Lissu anapiga vita sana maendeleo ya usukumani

Atajuaje yote hayo? Kupinga kila kitu ndo sera yake aliyosimamia.
 
Lissu kichwani hazimo huo uwanja umejengwa kwa ajili ya mbuga kubwa tatu zilizoanzishwa eneo hilo ili watalii watue hapo na kwenda mbugani kutalii aambiwe mbuga ipo kubwa sana tu hapo Chato ni serengeti ya kanda ya ziwa atembelee hii hapa mbuga ya Chato kama alikuwa haijui

Watalii badala ya kutua Mwanza watatua hapo na kuelekea mbugani

Lissu anapiga vita sana maendeleo ya usukumani


Yaani hao wasukuma wenyewe hawajui maendeleo yao zaidi yako wewe Mlokole wa Gwajima , unayejifanya msemaji wao?

CCM ni janga la Taifa
 
Hapo umedhihirisha ulivyo na uwezo finyu wa kufikiri pamoja na kuwa na miaka mingi duniani.
Kesho utasema wapinzani wasitumie barabara za juu za Ubungo kwa sasa wanakosoa maendeleo ya vitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Msamehe bure.Halafu,unadhani ana akili finyu?.Naamini anazo tena nyingi tu,shida ipo kwenye namna alivyochagua kuzitumia 'akili' hizo.

Sent from my VF-795 using JamiiForums mobile app
 
Hairusiwi kimataifa toka mashamba I ya kigaidi Marekani viwanja vyote vya ndege duniani unaenda ukiwa unasafiri au unadindikiza msafiri Huwezi kwenda kutalii sio mbuga ile ndio maana zamani uwanja wa Ndege wa Dar es salaam tulikuwa tukienda kutalii unapanda juu hata harusi tukienda nazo lakini vyote vilipigwa marufuku .Hivyo Huwezi kwenda eti nakuja kutalii sisafiri Wala Nini nakuja tu kutalii

Kimataifa gani ?? au Ki Lumumba ?? Wacha kujamba mpaka unakirihisha ukumbi
 
Mgombea wa Urais anayetarajiwa kupata ushindi mkubwa Tundu Lissu leo ataitetemesha Chato na viunga vyake katika kampeni zake zilizoivuta Dunia.

Taarifa kutoka ndani ya Team yake ya Kampeni kabla ya kuhutubia mkutano wa Hadhara atautembelea Uwanja wa ndege wa Chato uliozua gumzo nchini kote kutokana na Ujenzi wake.

Tundu Lissu amepata uungwaji mkono mkubwa kutoka Makundi yote ya Jamii hususan Wafanyakazi ambao wanalaani kupitishwa kwa sheria Haramu ya kupora Mafao yao. CCM na serikali yake walipitisha sheria ya kuzuia Mafao ya Wafanyakazi hata Kama ameacha kazi akiwa na miaka 30 haruhusiwi kupewa haki yake ya mafao mpaka afikishe miaka 60.Sheria hii Haramu imelaaniwa na kila mfanyakazi na Tundu Lissu ameapa kuifutilia mbali Mara tu baada ya kuapishwa.

Ingawa Chato ni nyumbani kwa mgombea Urais wa CCM Lakini kwa muda mrefu Chadema imekuwa na uungwaji mkono mkubwa na inao wafuasi wa kutosha.Mmoja wa makamanda mashuhuri wanaotokea Chato ni mwanamama Husna Amri ambaye anajulikana nchi nzima kwa ujasiri wake.

Tunatarajia kuwaletea kila kitakachojiri katika mapokezi na Mkutano wa Kampeni hapa Chato.
Leo chato imefurika maafisa vificho kila mahali
 
Back
Top Bottom