MENGELENI KWETU
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 9,552
- 24,166
Sikiliza wee zezeta..Unatembeleaje uwanja unaouponda kila siku? Aende akatembelee na traffic lights.
Unatembeleaje uwanja unaouponda kila siku? Aende akatembelee na traffic lights.
Haya, asisahau kutembelea na miradi mingine. Kumbe alikuwa anapayuka tu hata hajui na hajawahi ona anachoongeleaKwani kuutembelea na kuona namna kodi zetu zinavyotumika kuna kosa?
Mbona mnakuwa waoga kiasi hiki?
#NI YEYE#
NinaloHe ...una ddyudu wewe ...
Kwan kulikuwa ulazima gani wa kwenda huko Chato? Binafsi sijapenda kurudia rudia kwenda huko seems km mnawaprovoke.Tunajua mmeandaa vikosi Haramu vya kupiga watu na kurushia mawe msafara wa mgombea.Kwanini muandae vikundi Haramu? Mbona siasa imewashinda? Si mtoe Hoja kutetea huo Uwanja wenu na faida anayopata mwanaChato?
Kwani nani kamkataza kwenda we kuku...Nani kamkataza?Sikiliza wee zezeta..
Airport ya chato imejengwa kwa kodi za watanzania..
Lissu na mtu yoyote ana haki ya kwenda kuangalia nini kilichofanyika kwa kodi yake katika hii Airport..
Jitambue kabla haujaanza kuokota makopo.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kutembelea uwanja wa ndege Chato ni kichekesho. CHADEMA bana, hata hawajielewi.
Robert Amsterdam ameandika leo kuwa ni wazi Lissu hatatangazwa . Ameshauri international community ijiandae kwa njia za amani aliyeshinda atangazwe!Atatangazwa tu. Hilo lisiwape shida
Eeenh, ngoja nami nicheke, actually 'nikucheke' wewe.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kutembelea uwanja wa ndege Chato ni kichekesho. CHADEMA bana, hata hawajielewi.
Hata ukielezwa huwezi kuelewa maana akiri yako kuna watu wamakubebea,Embu nieleze economic benefits ya uwanja wa chato kwa wakazi wa chato ni nini?
Hoja nyepesi hiiHata ukielezwa huwezi kuelewa maana akiri yako kuna watu wamakubebea,
Nyie subilini uhuruwa kusafishwa migongo.
Kichekesho ni kuijenga, siyo kuutembelea. Unapoangalia komedi kichekesho ni yule anayekuchekeshe, siyo wewe unayeangalia ukacheka![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kutembelea uwanja wa ndege Chato ni kichekesho. CHADEMA bana, hata hawajielewi.
Mi mstaarabu mkuuHaaaahaaahaaa umenijibu kiustaraabu ///una akili kubwa mkuu
Akili zenu mmebakiza za kuvukia barabara tu?ShwainHata ukielezwa huwezi kuelewa maana akiri yako kuna watu wamakubebea,
Nyie subilini uhuruwa kusafishwa migongo.
[emoji849][emoji849]..kumbe mnatambua ni mradi mkubwa wenye manufaa. Ona sasa ambavyo hamjielewiEeenh, ngoja nami nicheke, actually 'nikucheke' wewe.
Kwa nini iwe 'kichekesho' kwa mgombea urais kutembelea mradi mkubwa kama huo?
Yeah..tusigombane kisa matumbo ya wanasiasaYeah I could appreciate /you are so smart in fact
Labda maswali haya akiuliza wanachato watamjibu kitu, ni maswali mazuri.Leo mwanachato watuambie je Chato international airport imewanufaisha vipi?
Je tangu 2017 mwanachato gani ameutumia huo uwanja?@barafu alipiga kelele sana kuhusu huu uwanja tangu 2016.
Usije baadae ukageuka ni malisho ya mifugo.
Watumbie je taa za barabarani zimewaletea vip maendeleo au zimekuwa kama sehemu ya kuongozea maguta ya punda?