CHINA: BYD waweka rekodi mpya wazindua gari linaloweza kwenda zaidi ya km 2000 bila kuongeza mafuta wala kuchaji na matumizi kidogo sana ya mafuta

CHINA: BYD waweka rekodi mpya wazindua gari linaloweza kwenda zaidi ya km 2000 bila kuongeza mafuta wala kuchaji na matumizi kidogo sana ya mafuta

Shida kuitoa bandari itazidi zaidi ya gharamĆ  ya hyo gari
Gari za mfumo wa PHEV ni gari nzuri sana hasa kwa nchi zetu ambazo hatuna miundombinu ya full EVs

BYD waanze kuwa serious na soko la nchi zetu za Afrika. Chuma 0km kwa milioni 40 mbona wadau wengi Bongo watazinunua

Sema mchawi TRA
t
 
Mchina akivuka hii changamoto ya "Taiwan" salama atakua yupo vizuri sana
Hii ndio kete ya mwisho ya Marekani kwa China maana kila alimpomjaribu kumuangusha kashindwa

Kwa military drill around Taiwan zinazofanywa na China PLA ni wazi wanawezs kufanya lolote watakalo

Tatizo ni vikwazo vya kiuchumi
 
Back
Top Bottom