Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Tatizo ikija Bongo. Ushuru š«”BYD the game changer
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo ikija Bongo. Ushuru š«”BYD the game changer
Watu kama hao huwa hawakosekani. Tatizo wengi wamekariri innovation kama hizo lasima zianzie Marekani au UlayaKuna watu watabisha
TRA wanapiga parefu sanaTatizo ikija Bongo. Ushuru š«”
Ingekuwa ni ndinga kama GM, Ford, Benz, BMW, VW au labda TOYOTA ingekuwa habari sana kwa media zaoHii ni innovation kubwa sana kwenye fuel consumption
Ila kwa kuwa innovation imefanyika China
Huwezi kuona Western mainstream media wakizungumzia
Mchina akivuka hii changamoto ya "Taiwan" salama atakua yupo vizuri sanaHii ni innovation kubwa sana kwenye fuel consumption
Ila kwa kuwa innovation imefanyika China
Huwezi kuona Western mainstream media wakizungumzia
tGari za mfumo wa PHEV ni gari nzuri sana hasa kwa nchi zetu ambazo hatuna miundombinu ya full EVs
BYD waanze kuwa serious na soko la nchi zetu za Afrika. Chuma 0km kwa milioni 40 mbona wadau wengi Bongo watazinunua
Sema mchawi TRA
Mimi hapo kwenye matumizi ya mafuta ndio imeniacha hoi aisee, km100 unaenda kwa 2.9L š³Unyama sana BYD anatuletea.
Ni kweliShida kuitoa bandari itazidi zaidi ya gharamĆ ya hyo gari
t
Utakuwa umesave kibunda sana kwenye kununua wese excellent fuel economyYaani natoka mbeya mpaka Nairobi charge moja tu , wafikishe nanunua hyo . Hata TRA wakinifinya pumbu najua kwa mwaka , savings za wese zitazidi hyo millioni 40 extra
Hii ndio kete ya mwisho ya Marekani kwa China maana kila alimpomjaribu kumuangusha kashindwaMchina akivuka hii changamoto ya "Taiwan" salama atakua yupo vizuri sana
Kweli mwamba , hyo ni investment itajilipa in the long run , sijui kwa nni jamaa wa uber na bolt hawacheki hizi fursaUtakuwa umesave kibunda sana kwenye kununua wese excellent fuel economy
Alaumiwe mchonga AU CCM?Hapo piga hesabu za 85M š maana ya mchina 40M ya TRA 45M.
Bei yake na kodi za kuingiza naona zitafanya Return On Investment (ROI) ikachukua muda mrefu labda in long runKweli mwamba , hyo ni investment itajilipa in the long run , sijui kwa nni jamaa wa uber na bolt hawacheki hizi fursa
CCM iko hai ila mchonga kadediAlaumiwe mchonga AU CCM?
Chama Cha MambuziAlaumiwe mchonga AU CCM?
Hatari sana hiki chama ni janga la taifaChama Cha Mambuzi