China inaongoza kwa ulaji wa nyama ya Nguruwe Duniani

🀝🀝 Kumbe kitimoto hana shida yeyote nikumpika tu vizuri
Anyway nitamtafuna kwa nsije wakwaza ndugu katika imani inshaallah.
Mkwe wangu alikuja kunitembelea, akakuta nakula kitu cha rangi ya dhahabu, ilibidi imani aiweke pembeni na kujongea mezani.
 
Luka 8 : 32 - 33

Palikuwa na kundi kubwa la nguruwe hapo
karibu wakilisha kando kando ya mlima. Wale
pepo wakamsihi Yesu awaruhusu wawaingie
hao nguruwe. Akawaruhusu.
Kwa hiyo wakamtoka yule mtu
wakawaingia wale nguruwe. Kundi lote la
nguruwe likatimka mbio katika ule mteremko
mkali wakatumbukia ziwani na kuzama.

----

Mzee unasali kanisa la Irene Uwoya nini?
 
Nihamie huko nami nipate fursa ya kuonja nini?
 
Kitimoto hoyeeee
 
Ukifuatilia kwa makini nchi zote ambazo watu wake wanatafuna Mbuzi katoliki zina maendeleo makubwa na wananchi wake wana afya bora.
 
China wana dini 5, buddhism, taoism,christia (protestant na catholics), na islam

Japo kubwa zaid ni buddhim na taoism zaidi sababu ya culture yao
Check facts zako kwanza
China ina idadi ndogo sana ya watu wenye kuamini dini , wachina wengi ni atheists na hawaamini masuala ya dini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…