China inaongoza kwa ulaji wa nyama ya Nguruwe Duniani

Nenda njembe wilaya ludewa au manda kule ziwani mahari ya nguruwe watu wanatoaa na unapewa bint m bichiii mkaanze maisha
 
Sister; hilo tatizo lipo nchi masikini huku. Again; hivi kuna mnioo unaweza kuishi hadi kwenye joto la zaidi ya 100'C?
Wanaoongoza kula vyakula vibichi ni wachina.

Nakushauri fanya utafiti kidogo kabla hujakurupuka na majibu.
 
Astaghafillulah? Hawa jamaa kumbe tunawashabikia wao ni makafir na wanakula kitimoto? Sina hamu nao kabisa......
 
Kwahiyo wananchi wa china wengi wana mapepo sasa,Maana kipindi kile YESU alipoyafukuza mapepo kwa watu aliyatupia kwenye nguruwe
Halafu wengine wakayafanya maumini ya dini zao kabisa.....🤣🤣🤣 Nguruwe waliona bora kufa kuliko kuishi na mapepo.nao wakajitupa baharini🤣🤣🤣
 
Sister; hilo tatizo lipo nchi masikini huku. Again; hivi kuna mnioo unaweza kuishi hadi kwenye joto la zaidi ya 100'C?
Tunajaribu kumuelewesha lakini jeuri na kuvimbisha kichwa, anajifanya yeye anasoma tafiti, tafiti za wapi? Huko shuleni sijui kasomea Nini na kadiploma chake. Wenzie tumekaa darasani kusomea Hilo na tafiti kibao yeye analeta ubishi hapa.
 
Wanaoongoza kula vyakula vibichi ni wachina.

Nakushauri fanya utafiti kidogo kabla hujakurupuka na majibu.
Kuhusi kula nyama za kiti Moto sihitaji tena kufanya utafiti mama; tayari China imetajwa kwenye uzi hu so why should i go for another research? Swali ulilo uliza kwamba wana changamoto ya minio ni nikakwambia, "Minyoo ni changamoto kwa vijinchi masikin" mwisho ndio nikailiza, hivi kuna mnio unaweza kuishi kwenye joto kali vile?
Well, may be, let's come back 2u madame, pamoja na China kula sana nyama ya kitimoto ambayo ni mbichi (this is according 2u ) je statistics zao kwenye magonjwa yasababishwao na kitimoto (minio ) ikoje?
Just for your information; kwenye communicable diseases mgonjwa mwenye umri wa <45 yrs of age ilitokea amekufa tena afie hospital, Wachina wanajiuliza sana kwamba why, how?
 
No research no right to Speak - Chairman Mao.
 
Tunajaribu kumuelewesha lakini jeuri na kuvimbisha kichwa, anajifanya yeye anasoma tafiti, tafiti za wapi? Huko shuleni sijui kasomea Nini na kadiploma chake. Wenzie tumekaa darasani kusomea Hilo na tafiti kibao yeye analeta ubishi hapa.
Shida ya dada yetu (binafsi nampenda sana ) kila argument lazima ailazimishe ikae au ifanane na Uislam. Sijui enzi zake wakati bado anazaa kama aliruhusu mwili wake kushikwa na Mkristo huko hospital
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…