China kuipatia silaha Russia dhidi ya Ukraine

Population ya china, india na Brazil ni robo tatu ya dunia na ndiko huko Russia anafanya biashara
 
NATO hakuna wapiganaji hapo halafu wanaogopa sana vita kwa kuogopa kufirisika kwani hawna rasilimali zozote za maana ktk nchi zao. Vita vikichukua muda mrefu ulaya itaanguka sana kiuchumi na hawawezi kukubali hilo litokee
 
Ulaya ipo katika kipindi kigumu kwa sasa kuweka vikwazo kwa mataifa wanayo yategemea ni kuendelea kuchimbia kaburi uchumi wao.
 
5523 ,,,jeuri tuu,puto tu limemchukua siku nne kulitungua.wahuni wenzie wamemtumia kutaka kujua ananini cha maana.
Hahaa kwamba wamemjaribu na puto.

Lakini Xi anampa US sababu za kuongeza ushiriki wa kijeshi Taiwan.
 
Watakua na Uikraine mpaka lini?

Ona Tz nao wanaacha na dola.

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
 
Dunia kwa sasa sio marekani na ulaya magharibi tu.......tulieni mfunzwe adabu mliyokariri kwa sasa ni zilipendwa upepo umebadilika.....na china hatatafuta msaada atanunua silaha kama alivyonunua drone iran za kuwatandika,,, mrusi kwa sasa pesa anayo na anaenda kuitumia kwa washirika wenzake, ndo maana anakwambia kwa sasa ni zamu ya multipolar world ,mambo ya mbabe m1 yalishapita,,,wamagharibi kama wanataka mambo yao basi wajifanyie wao wenyewe zama za kulazimisha mambo yao kwa dunia nzima imeisha,,,,sasa hivi kama hutaki mambo ya wamagharibi option ipo ya upande wa pili, dunia sasa ni wewe tu
 
Let's say Russia ameshindwa the next is China! so china asipo mpa support anajua atafata.
 
Putini anazo hizo ndoto kweli kuzima ya magharibi lakini amechelewa sana mkuu., Putin alijua atawaparaganya wa magharibi lakini ndio kwanza zile nchi 30 na nyengine nyingi zimo mbioni kuungana na Nato tena ndio nchi mataifa yenye nguvu zaidi duniani.

Putin alidhani ataiangusha magharibi lakini kumbe hakuwa prepared, hana uwezo sasa ni aibu nchi tuliyoambiwa ni superpower anakodi silaha kutoka Iran vita ina mwaka tu, hana jeshi anakodi makundi ya kigaidi sasa, baada jeshi lake kufyekwa akalazimisha raia wa miaka 18-50, sasa wafungwa lakini ametangaza Internationly watu ambao watajitokeza duniani wende wakasajiliwe wapewe mafunzo siku mbili tatu halafu wapelekwe chambo Ukraine. Raymond Mtanzania alienda nadhan umesikia.

Magharibi wanasema wamepata muda muafaka sana kumshughulikia Putin., pole pole taifa la Russia linaenda kupotea
 
Population ya china, india na Brazil ni robo tatu ya dunia na ndiko huko Russia anafanya biashara
Kwaiyo India na Brazil wameziba pengo la uchumi wa urusi lilokuwa ulaya na US? mnadanganyana sana, putin aliomba apeleke mafuta soko la dunia kutokana na hali yake mbaya akapangiwa bei ya hasara sasa anatapatapa tu hoi bin taaban ata mwaka tu wa vita, unadhan China na India ni watu wa Putin? hizo zoote uchumi wao unaburuzwa ni US ndio maana China alipoulizwa kama ana mpango kuisaidia Urusi jibu lake likawa hajawahi na hatawahi anaogopa kama mdudu vile vile India walimpa masharti putin aache vita wafanye biashara, putin hana rafiki anaenda na maji
 
Hao wanaopanga bei ndio wanaoumia zaidi, Russia hauzi mafuta kwa njaa. Mbona alishawaambia nchi zote vimbelembele wasahau kupelekewa mafuta na Russia
Hata wewe unaweza kununa mahindi yako hutayapeleka sokoni kwa bei mbovu uliyopangiwa lakini je utajifungia ndani mwako na magunia ya mahindi ule mwenyeo?? ndicho kinachomkuta putin sasa
 
Unachokisema sio kweli bado mbabe ni mmoja tu dunia hii na ataendelea kuwa yeye kwa musa mrefu sana,ndio maana hao wanao msapoti PUTIN hawawezi kujitokeza hadharani!!juzi china ameambiwa kuwa ana mpango wa kupeleka silaha urusi umemsikia alivyojitetea?na jana waziri wake wa mambo ya nje amekwenda urusi,.USA na kundi lake la NATO, ndio dunia.hiyo option haipo kwani mbambe wao (IRAN,CHINA,N.KOREA,VENEZUELA,SYRIA)ambaye ni urus wameshaona kumbe hamna kitu mle!!jamaa amechoka NATO ndio kwanza wameanza kupeleka silaha nzito!!Tuwe wakweli tu hivi putin kwenye vita hii kuna faida atakayo ipata?kwani uwezekano wa kushinda hakuna
 
Shida sio Putin,,shida wale wote waliokua wanakandamizwa na mabepari safari hiii hawataki utani, Putin ni kama muwakilishi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…