MTZ 255Dar
JF-Expert Member
- Sep 25, 2018
- 1,149
- 3,963
Ni lini Baraza LA Usalama LA umoja WA mataifa lilishawahi kuwa kitu kimoja? Balaza hilo Lina wanachama 5 WA kudumu:Madhara ni kwamba baraza la kudumu la usalama la Umoja wa Mataifa litagawanyika.
Ha ha ha ngoja tutasikia jambo.Mchina ameamua aingie kichwa kichwa.
Mm nipo hapa.
Hao wanaopanga bei ndio wanaoumia zaidi, Russia hauzi mafuta kwa njaa. Mbona alishawaambia nchi zote vimbelembele wasahau kupelekewa mafuta na Russia
Hawana HakiKama nchi za Magharibi zimeamuwa kupigana vita ya mawakala na Urusi kupitia Ukraine basi washirika wa Urusi wana haki ya kumsaidia mshirika wao.
🤣🤣🤣🤣🤣Kuna kivuruge hapo KIDUKU, mnakwendaga na mimeli na mindege, mkifika mnapitiliza mkijifanya hamjamuona.nchi zote ambazo ni Ant-west si salama kwa sasa kuzitembelea isipokua China peke ake wakati huo nchi za magharibi ni bata tu.
kaz yao ni nchi za magharibi ni kuangalia nani kivuruge tumminye mbupu atulie.
Tuliaminishwa Russia ana silaha nyingi sana. Leo anapatiwa msaada na China?Kama nchi za Magharibi zimeamuwa kupigana vita ya mawakala na Urusi kupitia Ukraine basi washirika wa Urusi wana haki ya kumsaidia mshirika wao.
Akili za USA ni tofauti na za Putin. USA ana akili nyingi sana, hawa USA hakuna nchi itakayoishusha kuwa super power.🤣🤣🤣🤣🤣Kuna kivuruge hapo KIDUKU, mnakwendaga na mimeli na mindege, mkifika mnapitiliza mkijifanya hamjamuona.
CSTO haina maana kwenye vita kubwa, kwanza Azerbaijan pekee imeitandika Armenia na hiyo CSTO hamna kitu imefanya. Na Russia ilikuwa na base hapo Armenia.Safi sana .
China moja peke yake inaweza kuwakalisha ulaya wote.
Halafu Mzee mzima Russia anakula sahani moja na Marekani.
Sioni mahali Marekani atatokea.
Bado vichwa ngumu akina Korea Kaskazini na Iran wakifanya Yao.
Huku Urusi akiwatuliza maswahiba wake wa east akina Tajikisatan, Beralus, na wenzao.
The Collective Security Treaty Organization (CSTO) is an intergovernmental military alliance in Eurasia consisting of six post-Soviet states: Armenia, Belarus, Kazakhstan, Kyrgyzstan, Russia, and Tajikistan.
Sema hivi, USA amemkuta KIDUKU sio mbwa koko, ukibweka naye anabweka tena mara mbili yakoAkili za USA ni tofauti na za Putin. USA ana akili nyingi sana, hawa USA hakuna nchi itakayoishusha kuwa super power.
Nchi za Capitalist kama Marekani zinachukulia vita ni biashara. Km biashara hailipi kwanini waingie kwenye vita?
Apigane vita na kiduku achukue nini hapo? Hata ningekuwa raisi wa USA siwezi kufanya hivyo.
USA anamsaidia Ukraine ili azidi kumdhoofisha Russia kiuchumi maana atapigana vita muda mrefu na bajeti ya vita ya urusi itakuwa kubwa. Akijaa na China ndiyo atakwisha. Hela nyingi atakuwa anapoteza kwenye vita.
Za chini chini, USA anauza Silaha kwa Ukraine, Poland na nchi zingine ambazo zina mashaka kuvamiwa na USA.
USA anapiga hela
Wala siyo mbwa koko. USA mipango yao ni kuitawala dunia. Unalijua hilo?Sema hivi, USA amemkuta KIDUKU sio mbwa koko, ukibweka naye anabweka tena mara mbili yako
Matakwa ya Putin leo ndio sheria huko Russia. Si itakuwaje akifa leo hii!?Wala siyo mbwa koko. USA mipango yao ni kuitawala dunia. Unalijua hilo?
Anafanya kila njia ajipatie mali na ajilinde kiuchumi na silaha. Kwahiyo vita vya kipuuzi puuzi hawezi kupigana. Anaangalia palipo na mali na kama hakuna faida anakimbia mfano hai Afghanistan, Vietnam, Iraq na Iran.
Marekani mfumo wao wa uongozi, katiba na sheria upo imara. Unapomuona Biden ujue kuna jopo la watu wengi wenye nguvu wanamuongoza. Hata Biden akifa mipango yao ipo palepale.
Ukija kwenye nchi zingine wanategemea mawazo ya mtu mmoja mfano hai Putin. Kwahiyo mtu mmoja kwa hisia au mahaba yake anajikuta anaiongoza nchi kwahiyo akifa mambo mengi yanakwama. Raisi anaongoza miaka 20+ huyo raisi dikiteta?
Tangu 1914 USA ilipokuwa Super Power mpk wa leo, maraisi wengi wamepita lkn still USA ipo imara.
Katika nchi ambayo nayo ipo mstari wa mbele kuiba mali mbali na USA ni China.China hana muda huo . China anapambana kutengeneza uchumi wake na si kutumia fedha zake kutengeneza maadui. Russia kajichanganya, asitegemee msaada toka China.
Samahani lakini, UNA MIAKA MINGAPI? namaanisha umri au UNA ELIMU GANI?Wala siyo mbwa koko. USA mipango yao ni kuitawala dunia. Unalijua hilo?
Anafanya kila njia ajipatie mali na ajilinde kiuchumi na silaha. Kwahiyo vita vya kipuuzi puuzi hawezi kupigana. Anaangalia palipo na mali na kama hakuna faida anakimbia mfano hai Afghanistan, Vietnam, Iraq na Iran.
Marekani mfumo wao wa uongozi, katiba na sheria upo imara. Unapomuona Biden ujue kuna jopo la watu wengi wenye nguvu wanamuongoza. Hata Biden akifa mipango yao ipo palepale.
Ukija kwenye nchi zingine wanategemea mawazo ya mtu mmoja mfano hai Putin. Kwahiyo mtu mmoja kwa hisia au mahaba yake anajikuta anaiongoza nchi kwahiyo akifa mambo mengi yanakwama. Raisi anaongoza miaka 20+ huyo raisi dikiteta?
Tangu 1914 USA ilipokuwa Super Power mpk wa leo, maraisi wengi wamepita lkn still USA ipo imara.
Hata ukivijua, havitakusaidia. Kama kuandika tu unachanganya herufi kubwa na ndogo. Ulishindwa kutumia maneno ya rangi au kubold maneno?Samahani lakini, UNA MIAKA MINGAPI? namaanisha umri au UNA ELIMU GANI?
Mwanamume kawashika pabaya, ulaya yote haipumui ukijumlisha na kaka yao MANDONGA a. k. a USAMatakwa ya Putin leo ndio sheria huko Russia. Si itakuwaje akifa leo hii!?
Itanisadia sana kujua naongea na nani?Hata ukivijua havitakusaidia.
taarifa zako hazina ukweli wowoteKatika nchi ambayo nayo ipo mstari wa mbele kuiba mali mbali na USA ni China.
Watu wanafikri China na Urusi ni mkombozi wa dunia. Hao ni wezi wote.
- China anatengeneza kila aina ya takataka (simu, computer, TV n.k) ambazo hazina ubora analeta Afrika. Anajipatia hela. Kuna bidhaa ukiona unaweza kujiuliza hii imeingiaje?
- Anapotengeneza barabara anaiba dhahabu au almasi
- Mikopo yao imekaa kijizi sana. Sri Lanka walikopa wakashindwa kulipa wakachukuliwa bandari kwa miaka 100 ilikurudisha
- Pale Congo, China anaiba sana.