Maana hiyo ni kuwa zile kauli za kuwa tunajenga kwa hela zetu wenyewe za ndani, hatuhitaji mikopo/misaada ya mabeberu, sisi ni dona kantre toka kwa mwenyekiti wako ilikuwa ni porojo?Unaanzaje kukataa msaada?? Utakuwa unaakili?? Tumie basi ubongo wenu hata mara moja moja sio mbaya
Kwani uongo kuwa kuna miradi mingi sana inatekelezwa kwa pesa za ndani??Maana hiyo ni kuwa zile kauli za kuwa tunajenga kwa hela zetu wenyewe za ndani, hatuhitaji mikopo/misaada ya mabeberu, sisi ni dona kantre toka kwa mwenyekiti wako ilikuwa ni porojo?
Inaonekana tukiendelea kukomaa na ujenzi kwa gharama zetu it will take time to accomplish the projects. Kumbuka Mzee baba anataka hii miradi iishe before 2025 ili akiondoka tuimbe jina lake hadi kiyama.Kwa hiyo hatujengi kwa pesa zetu za ndani tena?
kila siku mnatuaminisha kuwa SGR na Stieglers mnajenga kwa pesa zenu wenyewe, sasa iweje tena mnakuja kutuambia tumepewa mkopo? mnataka kutudanganya kama mlivyofanya kwa pesa za coronaKwani uongo kuwa kuna miradi mingi sana inatekelezwa kwa pesa za ndani??
Au unajiulizisha tu?? "Kama unafaham jibu la 1+1=2,huna sababu ya kutumia karatasi nyingi ku prove,kwani utapoteza mda bure kwa ku do nothing "
Magu pumzi ya fedha ya kutekeleza miradi mikubwa ilishakata kitambo sana kwa Wachina hata afanyeje angejipeleka mwenyewe ilikuwa ni suala la muda tu. Nyerere na jeuri yake alienda mwenyewe kuhusu Tazara na nchi ikakopa sembuse Magu rais asiye na ushawishi wa maana kwenye jumuia za kimataifa za fedha.Inaonekana tukiendelea kukomaa na ujenzi kwa gharama zetu it will take time to accomplish the projects.
Kumbuka Mzee baba anataka hii miradi iishe before 2025 ili akiondoka tuimbe jina lake hadi kiyama.
Bwashee mbona Wachina watu wazuri tu si ndio marafiki zenu wa kihistoria nyie CCM kwani mkipewa mkopo wa SGR na mkawapa bandari na migodi na mbuga na maziwa kuna shida gani bwashee?Wachina twende nao kwa umakini mkubwa sidhani kama wana dini hawa!
Ni watu wazuri sana kwa serikali zinazojali maendeleo ya vitu.Hawa Chinese sio wa kuwaamini sana kivile mikataba yao kiuchumi, jamaa hawaoni hasara kuondoka na mtungi wa oxygen wa mgonjwa wa ICU
Wachina huku wanawekeza kwenye mabonanza (makorokoro).Sisi tunaomba wachina waje wawekeze Tanzania. Viongozi wa China kila leo wapo Ulaya kuomba wawekezaji wakawekeze China.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuelewane kitu kimoja kwanza, China hajatupa mkopo. China ametoa msaada kwa mapenzi yake na sivinginevyo. Umenielewa mkuu??kila siku mnatuaminisha kuwa SGR na Stieglers mnajenga kwa pesa zenu wenyewe, sasa iweje tena mnakuja kutuambia tumepewa mkopo? mnataka kutudanganya kama mlivyofanya kwa pesa za corona
Unaogopa wakatufanyia Kama Zambia, Kenya?Wachina hapana mtauza taifa..hawa watu sio kabisa ..wanaroho mbaya kupitiliza
Ilitokea kwenye taifa gani? coz sisi tanzania tumeanza ushirikiano na china tangu miaka ya 60, tumefaidika mengi toka kwao na bado tunafaidika, leta evidence.Mchina mchina.. ataliacha hili taifa kwenye kilio. Mchina ni mtu mmoja wa hovyo sana. Akipata anachotaka unapoteza maana yote.. 😭😭😭😭.
Mie nimefanya kazi na Wachina nawajua. Siongelei kitu juu juu. Wala sipo hapa kubishanailitokea kwenye taifa gani? coz sisi tanzania tumeanza ushirikiano na china tangu miaka ya 60, tumefaidika mengi toka kwao na bado tunafaidika, lete evidence
Muulize Rais wetu mpendwa ndo kila siku anadai miradi yote mikubwa kama SGR, Stiegler's Gorge, madege, CIA na midogo inagharimiwa na pesa zetu za ndani hata Uchafuzi wa mwaka huu umegharimiwa na fedha za ndani. Wachina kwa lugha hawakamatiki hata za kwetu wanajua!Mnazo hizo za ndani?
Kwani si tunaambiwa tunajenga kwa fedha zetu wenyewe? I mean fedha za ndani? AU tumeshakwama tayari?
Njaa haina baunsa. Hela za ndani zimeisha.Huyu China ni janja janja,amewaumiza sana Zambia,Kenya,Siri Lanka kwa mikataba yenye mitego.
Magufuli nae alimshutukia kwenye mradi wa bandari ya Bagamoyo. Yawezekana sasa amekuja na ujanja mpya wa kupuliza huku anauma.Anafanya mtego ili mataifa mengine yaingie kichwa kichwa kudhani China kabadirika.
HahahahahahahMuulize Rais wetu mpendwa ndo kila siku anadai miradi yote mikubwa kama SGR, Stiegler's Gorge, madege, CIA na midogo inagharimiwa na pesa zetu za ndani hata Uchafuzi wa mwaka huu umegharimiwa na fedha za ndani. Wachina kwa lugha hawakamatiki hata za kwetu wanajua!