China sio super power ni Mandonga wa kimataifa. Bibi katua na hakuna kitu wanafanya. Hizi ni salaam kwa Putin na wengine fyokofyoko

China sio super power ni Mandonga wa kimataifa. Bibi katua na hakuna kitu wanafanya. Hizi ni salaam kwa Putin na wengine fyokofyoko

Putin pokea salaam kupitia kwa Bibi. Wale wachina ni wa mchongo usijenge uswaiba nao watakuacha kichinachina.

USA ni mkubwa wao. China ni mbwa koko wenye kelele.

Jitadhmini sana Mr. Putin nakuonea sana huruma.

Msisahau China kapigwa nyeti uwanja wake wa nyumbani wala sio mbali na home kwake

China hawana tofauti yeyote na Mandonga

God Bless USA.

Urusi usimchukulie poa kabisa anashikilia rekodi mingi sana;
1. Ana vichwa vya nyuklia zaidi 5,977 amemzidi Marekani karibu vichwa 550
2. Field Marshal wa kwanza na nadhani wa pekee duniani alijisalimisha kwa majeshi ya Urusi/Soviet wakati huo
3. Alichomfanya Hitler na Wajerumani kwenye Operation Barbarossa na Stalingrad/Volgograd watasimulia mpaka mwisho wa dunia

Ni vile tu Einstein alishasema vita ya nne ya dunia itapigwa kwa fimbo na mawe!
 
  • Thanks
Reactions: Sax
Taiwan kwa China ni sawa na Zanzibar kwa Tanzania. Ni donda sugu ambalo maadui zako wakilijua wanalitonesha ili kukupa mateso. Ndiyo Mmarekani anavyomfanyie Mchina. Siku Tanzania ikikorofishana na Marekani, utaona Marekani inaanza kutambua mamlaka kamili ya Zanzibar kwa sababu inajua ni donda sugu la Tanzania.
It makes sense [emoji848]
 
Nancy peloc s ndio hiyu huyu kamvimbiaga Trump HV Bettina wetu lini atapa kwenda kongo ya mashariki
 
Pentagon Ilikuwa Active Muda Wote Nancy Akiwa Angani, Ardhini
Kuitungua Helicopter Isingewezekana Kamwe
China Kajua Nancy Ni Ndoano Akiimeza Hatoki
Bora Kakaa Kimya Yaishe
Sio yaishe wenda wanajiandaa na mtifuano baada ya hapo..
 
ilikuwa ngumu sana kwa china kufanya kitu chochote, nimeona huyo mama alikuwa kwenye ndege na secretary of defence, so hiyo safari nenda rudi iko accompanied with a full american military mighty.
Secretary of Defence hakuwa kwenye hiyo ndege, hao ni delegates wa Nancy
 
Huwa nashindwa kuwaelewa vijana hapa JF kwa kuanzisha mpaka nyuzi za kushindana kubishana juu ya mataifa ya Ulaya, Marekani na Asia.

Hivi mnafaidika na kitu gani mnapoweka hizo league za kubishana mara sijui Mrusi hamwezi Mmarekani na takataka nyingine kama hizo?

Yani wewe mtu upo nchini Shenzistan kila siku maisha yanazidi kuwa magumu hata bundle umepata kwa kuomba vocha ya jero badala mbishane namna ya kujikomboa mnabishania Mchina na Mrusi.

Lost cause.
We fanya mambo yako, usifatilie watu
 
Huyu kibibi amewahi kuchana hotuba Trump,yaani mbishi balaa
 
Urusi usimchukulie poa kabisa anashikilia rekodi mingi sana;
1. Ana vichwa vya nyuklia zaidi 5,977 amemzidi Marekani karibu vichwa 550
2. Field Marshal wa kwanza na nadhani wa pekee duniani alijisalimisha kwa majeshi ya Urusi/Soviet wakati huo
3. Alichomfanya Hitler na Wajerumani kwenye Operation Barbarossa na Stalingrad/Volgograd watasimulia mpaka mwisho wa dunia

Ni vile tu Einstein alishasema vita ya nne ya dunia itapigwa kwa fimbo na mawe!
Hivyo vichwa vya Nuclear vitadunguliwa kabla havijavuka anga la Urusi, Usichezea na US Technology wewe. Kumbuka Urusi ndo ilikuwa inamiliki vifaru vingi kuliko nchi yoyote lakini kumbe US imetengeneza Javelin ya ghalama ndogo sana kuangamiza vifaru vya kirusi kirahisi sana.
 
Ulitegemea China waanzishe vita kwa sababu tu spika wa Marekani kaingia Taiwan?
Vita ya 🇺🇸na China🇨🇳 haiwezi kutokea kirahisi hivyo. Ni kama ilivyo kwa Russia vs Marekani. Haya ni mataifa makubwa kupigana kutaleta hasara kubwa duniani kote
Sasa na lile biti alikua ana maana gani
 
Putin pokea salaam kupitia kwa Bibi. Wale wachina ni wa mchongo usijenge uswaiba nao watakuacha kichinachina.

USA ni mkubwa wao. China ni mbwa koko wenye kelele.

Jitadhmini sana Mr. Putin nakuonea sana huruma.

Msisahau China kapigwa nyeti uwanja wake wa nyumbani wala sio mbali na home kwake

China hawana tofauti yeyote na Mandonga

God Bless USA.
Acha kumfananisha Putin na wapuuzi hao, Putin amenuniwa na nchi zaidi ya 30
 
wewe ndio umetoa mpya hatari,leo hii tena umeshawachonganisha china na russia wapigane,hii kali.
ah sasa ukweli ndio huo hii siberia ambayo mrusi anazalisha mamilioni ya mita za ujazo za gesi na kuiuzia china ni kwamba urusi aliinyakua toka china kupitia style zake hizihizi za kulazimisha mikataba kwa nguvu, na hawa watu walipgana mwaka 1969 wakigombea mpaka, hakuna wa kuwagombansha hawa watu urafiki wao upo kwasababu ya uadui wao na marekani na si kwamba wanaaminiana saana, sasa km unafikiri china atafurahia urusi anavyonyakua ardhi ya ukraine kwa sababu ipi? sanasana inamletea bad memories
 
Mbabe duniani ni mmoja tu Putin kama ukitaka mkono ana black belt ukitaka vita ana kila silaha na tayari ameonyesha Kwa vitendo na siku akiamua kuiwekea dunia vikwazo hakuna sehemu itakayosalimika kuanzia nishati, mbolea hadi chakula
 
Urusi usimchukulie poa kabisa anashikilia rekodi mingi sana;
1. Ana vichwa vya nyuklia zaidi 5,977 amemzidi Marekani karibu vichwa 550
2. Field Marshal wa kwanza na nadhani wa pekee duniani alijisalimisha kwa majeshi ya Urusi/Soviet wakati huo
3. Alichomfanya Hitler na Wajerumani kwenye Operation Barbarossa na Stalingrad/Volgograd watasimulia mpaka mwisho wa dunia

Ni vile tu Einstein alishasema vita ya nne ya dunia itapigwa kwa fimbo na mawe!
kuna tofauti gani kati ya vichwa vya nuclear 5900, 4000 au 3000? maana vichwa buku tu vinatosha kuharibu everything huhitaji vichwa 1aki moja kuwa hatar kuliko wengine ndio maana nuclear war haina mshindi km wote mna uwezo wa kuvilunch
 
Back
Top Bottom