ikisimama panda
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 2,716
- 2,388
Putin pokea salaam kupitia kwa Bibi. Wale wachina ni wa mchongo usijenge uswaiba nao watakuacha kichinachina.
USA ni mkubwa wao. China ni mbwa koko wenye kelele.
Jitadhmini sana Mr. Putin nakuonea sana huruma.
Msisahau China kapigwa nyeti uwanja wake wa nyumbani wala sio mbali na home kwake
China hawana tofauti yeyote na Mandonga
God Bless USA.
Urusi usimchukulie poa kabisa anashikilia rekodi mingi sana;
1. Ana vichwa vya nyuklia zaidi 5,977 amemzidi Marekani karibu vichwa 550
2. Field Marshal wa kwanza na nadhani wa pekee duniani alijisalimisha kwa majeshi ya Urusi/Soviet wakati huo
3. Alichomfanya Hitler na Wajerumani kwenye Operation Barbarossa na Stalingrad/Volgograd watasimulia mpaka mwisho wa dunia
Ni vile tu Einstein alishasema vita ya nne ya dunia itapigwa kwa fimbo na mawe!