China yaongoza duniani katika utengenezaji na uuzaji wa mabasi ya abiria

Ukiona kampuni inaanza kufungua R&D centers nje ya mipaka ya nchi yake ujue tayari wana uwanda mkubwa wa soko na ina billions of dollars in market value
 
hapa nakupinga kaka , boeing na airbus kuja kupata mpinzani mkali kutoka china kuna safari ndefu kidogo. Labda hiyo kampuni ifanye competition na akina ambraer, gulfstream,dasault ,bomberdier n.K japo napo kuna kakipengele
Kwa sasa C919 wana order ya ndege 1061 imagine hawajamaliza hata mwaka tangu izinduliwe rasmi
 
Msaada kwenye tuta,tufungulieni hizo code wakuu R&D,FTZs na SEZs,hapo nimetoka kapa
 
Nimeona katarama polo g7 aiseee hio gari ni balaaa kwa michina inayokuja Africa sijaona wa kukaa mbele

Mchina lazima akimbize sababu kuu ni magari yake yanakaa mda kidogo yanachoka

Sema kuvuta IRIZAR I8 route za dar mwanza ni matumizi mabaya ya akili
 
ila hizo Scania nazikubali sana jamani
Mabasi ya kichina ni kwa kuwa wafanyabiashara wanayaleta maana bei chee na hivyo wanapata faida mapema but quality wise hayawezi shindana na western hata kidogo. Kwa kifupi mchina kuuza sana wala si ajabu maana bei za bidhaa zake zipo chini sababu ya cheap labour na kutumia raw material za ubora wa kawaida au chini. Ndiyo maana hata company nyingi za europe na US wanaviwanda china sababu ya cheap labour. Iko wazi kabisa hata kariakoo tecno na nduguze utakuta wanauzika sana kuliko I phone au samsung sasa check ubora wa tecno na samsung au i phone ardhi na mbingu🤣😂 simu ya kichina warranty miezi 12+1 wakati brand zinazoeleweka warranty 2 years! Kwa kifupi kinachombeba mchina ni bei chee.
 
Sidhani kama mchina ana innovation yake, karibu 90% ya product zake copy from western.
hilo lipo wazi sana mkuu western ni wavumbuzi then mchina kwa kuwa ana cheap labour plus kutumia raw material za ubora wa chini au kawaida automatically anaonekana ameuza sana sokoni! Au makampuni ya western yanapotaka kupunguza gharama za uzalishaji ndipo yanaenda china. Ndiyo maana kila kinachogunduliwa na western baadae unakuta mchina huyu hapa anauza kwa wingi. Hayo mabasi, malori, na vingine vingine ni copy paste ya western tech, ndiyo maana unakuta imeanza insta china kakopy ana tiktok🤣 sijui western wapo na watsapp china ana wechat🤣, western ana ebay na amazon china ana alibaba🤣 . R&D za universities za western au makampuni ya US ni balaaaaa. R&D za kampuni za kichina mainly hulenga kupunguza gharama, na kuangalia alternative raw materials ili gharama ishuke then wapate kushindana na bidhaa za western🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…