China yaongoza duniani katika utengenezaji na uuzaji wa mabasi ya abiria

Umechanganyikiwaa kaka yani unaifananisha tik tok na instaggram au bdo upo usingizini alafu chhini siyo yule wa miaka ya 2000 shida wengi uku mnafikiria viwandaa vingi vipo China sababu ya cheap labour mbona ivyo viwanda havjaja kwenu au sehemu nyingine duniani vimejazana China labda nikwambie tu ili viwanda viweze kuwekwaa kwenye nchi yako na wawekezaji ukiachana na Sera nzuri za uwekezaji na mazingira salama lazima wananchi wa apo lazima wawe na uwezo wa kununua izo bidhaa, China wananchi wake wanauwezo wa kununua luxury goods zotezote zinazouzwaa duniani purchasing power yao inazidi kukuwa kila siku
 
Sema Scania body ya Macoporo naona Zambia wanayo matoleo ya karibuni hiyo ya Sauli sijaona hata model yake kama haya ya Shalom na Jordan bus...
 

Attachments

  • 20230426_155842.jpg
    676.5 KB · Views: 9
  • 20230426_170137.jpg
    681.5 KB · Views: 8
  • 20230426_170130.jpg
    606.8 KB · Views: 7
  • 20230426_155835.jpg
    859.7 KB · Views: 9
Hata kuvuta Polo G7 napo kibiashara kwa ushindani uliopo hapa bongo si sahihi sana
 
Hata kuvuta Polo G7 napo kibiashara kwa ushindani uliopo hapa bongo si sahihi sana
Polo ni balaa kubwa ila ndio hivyo mchina anachange dizaini kila leo

Wabongo wengi ni washamba hawajui vitu quality

Ruti ya mwanza-dar nilikua napenda kupanda ally's juzi hapa nimepanda katarama aiseee msweedeni ni umeme
 
Polo ni balaa kubwa ila ndio hivyo mchina anachange dizaini kila leo

Wabongo wengi ni washamba hawajui vitu quality

Ruti ya mwanza-dar nilikua napenda kupanda ally's juzi hapa nimepanda katarama aiseee msweedeni ni umeme
Zile basi za Katarama bado mpya ni suala la muda tu mkuu. Awaulize wenzake wazoefu wa hii biashara.

Hiyo basi hapo lazima abadilishe hiyo frame yote ya upande wa kushoto. Iko ofisini kwake inasubiri frame kutoka nje ya nchi, chuma kutozalisha tayari ni hasara kwa kampuni
 
Kwamba ni suala mda unamaanisha nini? Mimi nimekwambia kitu nilichoshuhudia mwenyewe hauwezi ukaweka michina na polo g7[emoji3][emoji3] kwa kila kitu

Hio katarama sijui ina mda gani barabarani ila ukikaa kwenye siti yake utanielewa ni nini namaanisha
 
Ok nikupe mfano mmoja. Hao yutong ni kiwanda kilianzishwa mwaka 1963 lakini wamepata global recognition miaka ya 2000 so its possible kwa jicho la tatu naona C919 wamekuwa na mwanzo mzuri huenda wasichukue muda mrefu kwenye hilo

Ndege na biashara ya bus ni tofauti sana.
Angalia soko lao kubwa la mabasi liko wapi vs european buses
China inabidi waende far from C919 kufikia level za kina boeing. So far bado wanatumia foreign parts kwenye ndege zenyewe.
And hao wakina boieng na airbus si kwamba wamestop ku innovate na wao wanapambana.
Its not an easy game
 
Sema Scania body ya Macoporo naona Zambia wanayo matoleo ya karibuni hiyo ya Sauli sijaona hata model yake kama haya ya Shalom na Jordan bus...
Hao IRIZAR ni kampuni ya Spain wameingia ubia na Scania kutengeneza body na chassis kwa baadhi ya matoleo ya basi za SCANIA ambazo huitwa SCANIA IRIZAR hizo kwenye picha

Wameingia ubia pia kutegeneza hata bodies baadhi ya matoleo ya mabasi ya IVECO, VOLVO, MERCEDES BENZ na MAN

Watamu sana kwenye kutengeneza bodies na chassis za luxury buses
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…