China yasema ipo tayari kwa vita, yaizingira Taiwan

Kwa hiyo kwa sababu huko nyuma ilifanyika hivyo kwa uzembe wao unataka naye China aone sawa tu
Watu Wana haki ya kuchagua kujitenga iwapo hawaridhishwi na serikali kuuu na serikali kuu haitak jirekebisha
 
US sasa sijui ishike wapi iache wapi, hapo Taiwan, kushoto Ukraine, kulia Middle East, usije kushangaa North Korea na yeye anaanza zake, lakini US ninavyowafahamu hapo watatumia diplomasia, hao jamaa huwa hawakurupuki, karata ikiwa ngumu huwa wanakuwa wana diplomasia wazuri sana.
 
Usijidanganye China kwa sasa inajitegemea kwa viwanda na technology kwa zaidi ya 90% makampuni ya nje Yana soko kubwa China kwahiyo uwekezaji wao kwa china ni kwa faida Yao siyo faida ya China kwa sasa.
 
Umeelewa nilichoandika lakini? Unaelewa asili ya mgogoro wao vizuri!?
Nauelewa vizuri sana toka kuanza kuchipukia ukomunisti China na kuanzishwa chama cha kikomunisti katika jamhuri ya China 1921 kitu ambacho Kuomitang walikuwa kinyume nacho.

Harakati za mapinduzi za wakomunisti, kuanzishwa kwa vita vya wenyewe toka miaka ya 1920s kwenda 1930s mpaka 1940s ilipo zaliwa jamhuri ya watu wa China ya wakomunisti Beijing na Jamhuri ya China kukimbizwa toka Nanjing China mpaka huko Taiwan mpaka leo hii wanaishi huko.

Unataka zaidi ?

Swali langu lipo pale pale taja hao matajiri asilimia zaidi ya 90 acha blah blah
 
Ujinga tu wawekezaji wa kwanza kuja China wala hawakuwa mataifa ya magharibi hata nchi zinazo ongoza kuwekeza China sio za magharibi.
 
Umeambiwa lete speech ya Putin akisema hayo ,we unaleta maneno waliosema wanahabari wako .hayo maneno hajawai yasema Putin maana tangu mwanzo mwa smo ushahid wa hayo maneno haujawai letwa hapa ..
Kila mkiambiwa mnaruka ruka kama pop corn
 
Mkuu maisha sio kukariri vitu vingi vinatokea vya kushangaza ambovo watu hatukutegemea kama vitafanyika
Mda huu China kaona ni sahihi kwake kufanya hivi maana Taiwan inategemea ulinzi wa US .marekani yuko Israel na Ukraine na hapo taiwn anapewa mzigo mwingine tena
 
Dunia hii haitakaa itawaliwe na watu wanaoongea lugha zisizojulikana na ambao hata pesa zao hazijulikani.
Yaani ww una udini na ukabila pia ,,roho mbaya na chuki hazikusaidii kitu mkuu hatujuani ila kwa comment zako zinaonyesha tabia yako
Ukristo ulionao haujakufunza upendo maana unachuki za kijinga kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…