Chonde chonde Rais Samia, Kipengele cha Dini kwenye sensa ni muhimu sana kwa sababu hii

Rais wetu usifungwe kwa miiko, watu wengi ikiwemo wewe wameleta mabadiliko chanya kwenye jamii kwa kuvunja miiko, tuangalie faida na hasara zake sio kwa kuwa halikuwahi kufanyika

Hili suala haina haja ya kulichukulia kwa shari na kutokuaminiana, tujadili kwa utulivu na kwa reason

Dini imekuwa sehemu muhimu sana ya maisha ya mtanzania na kwa maana hiyo utamaduni wa Watanzania wengi umeathiriwa na dini waliyo nayo

Na utamaduni una effect kubwa kwenye maendeleo ya mtu, jamii na taifa

Mfano mikoa ambayo ipo percived kuwa na waislam wengi, nasema percived kwa sababu hakuna takwimu rasmi

Mikoa hii ni kama Kigoma, Lindi, Tanga, Mtwara na wilaya za mkoa wa Pwani zilizo mbali na Dar, mikoa hii kumekuwa na umasikini mkubwa na huduma za kijamii kama Hospitali, shule, barabara pia ni duni, sasa tunataka kujua kuna uhusiano wowote kati ya maendeleo ya mkoa huu na dini (ambayo ina infuence culure yake?) au ni mikoa ambayo Serikali ilijisahu kwa bahati mbaya tu kupeleka maendeleo kama mikoa mingine?

Na kama haina maendeleo kwa sababu ya kusahaulika na serikali, basi tuseme umasikini wao umechangiwa na culture yao ambayo kwa kiasi kikubwa inaathiriwa na Dini? Basi ikionekana utamaduni/dini ndio imechangia, basi Serikali ina kazi ya kufanya maana Dini ya Kiislam haimaanishi kukataa maendeleo, maana mataifa yaliyoendelea zaidi Afrika kama Egypt na Morocco ni ya Kiislam

Hii ni analysisi ya muhimu inayotakiwa kufanywa na Serikali kama serikali ina nia ya dhati ya kuleta kuondoa umasikini kwa usawa maeneo yote TZ

So hapa ndipo kipengele cha Dini kinakuwa cha muhimu,

Na sio hapa tu, pia serikali imekuwa ikishirikiana na taasisi za kidini za Kikristo na Kiislam kwenye maendeleo na ustawi wa Tanzania, kwa hiyo kuwa na takwimu kuhusu waumini wa imani fulani na ku share takwimu hizi na taasisi hizo za kidini ambazo zinashirikiana nao, italeta manufaa mengi kwa pande zote

Mfano Bakwata, Balozi za mataifa mbalimbali, na watu binafsi wamekuwa wakishirikiana na Serikali kujenga visima na misikiti kwenye maeneo yenye Waislam, hivyo serikali ingetupa takwimu tukajua maeneo ambayo yangepewa kipaumbele
Tunawatambua machief waliofutwa kwa mujibu wa sheria halafu tunadiscourage dini zinazotambulika kwa mujibu wa sheria.
 
Elimu haina dini, afya haina dini. sote tusiokua na dini na wenye dini tunapata sawa.

Hakuna sababu ya kipengele cha dini. Sensa inaenda kuhesabu idadi ya raiawote wa Tanzania, haiendi kuhesabu wenye dini fulani wako wangapi.
 
Rais wetu usifungwe kwa miiko, watu wengi ikiwemo wewe wameleta mabadiliko chanya kwenye jamii kwa kuvunja miiko, tuangalie faida na hasara zake sio kwa kuwa halikuwahi kufanyika

Hili suala haina haja ya kulichukulia kwa shari na kutokuaminiana, tujadili kwa utulivu na kwa reason

Dini imekuwa sehemu muhimu sana ya maisha ya mtanzania na kwa maana hiyo utamaduni wa Watanzania wengi umeathiriwa na dini waliyo nayo

Na utamaduni una effect kubwa kwenye maendeleo ya mtu, jamii na taifa

Mfano mikoa ambayo ipo percived kuwa na waislam wengi, nasema percived kwa sababu hakuna takwimu rasmi

Mikoa hii ni kama Kigoma, Lindi, Tanga, Mtwara na wilaya za mkoa wa Pwani zilizo mbali na Dar, mikoa hii kumekuwa na umasikini mkubwa na huduma za kijamii kama Hospitali, shule, barabara pia ni duni, sasa tunataka kujua kuna uhusiano wowote kati ya maendeleo ya mkoa huu na dini (ambayo ina infuence culure yake?) au ni mikoa ambayo Serikali ilijisahu kwa bahati mbaya tu kupeleka maendeleo kama mikoa mingine?

Na kama haina maendeleo kwa sababu ya kusahaulika na serikali, basi tuseme umasikini wao umechangiwa na culture yao ambayo kwa kiasi kikubwa inaathiriwa na Dini? Basi ikionekana utamaduni/dini ndio imechangia, basi Serikali ina kazi ya kufanya maana Dini ya Kiislam haimaanishi kukataa maendeleo, maana mataifa yaliyoendelea zaidi Afrika kama Egypt na Morocco ni ya Kiislam

Hii ni analysisi ya muhimu inayotakiwa kufanywa na Serikali kama serikali ina nia ya dhati ya kuleta kuondoa umasikini kwa usawa maeneo yote TZ

So hapa ndipo kipengele cha Dini kinakuwa cha muhimu,

Na sio hapa tu, pia serikali imekuwa ikishirikiana na taasisi za kidini za Kikristo na Kiislam kwenye maendeleo na ustawi wa Tanzania, kwa hiyo kuwa na takwimu kuhusu waumini wa imani fulani na ku share takwimu hizi na taasisi hizo za kidini ambazo zinashirikiana nao, italeta manufaa mengi kwa pande zote

Mfano Bakwata, Balozi za mataifa mbalimbali, na watu binafsi wamekuwa wakishirikiana na Serikali kujenga visima na misikiti kwenye maeneo yenye Waislam, hivyo serikali ingetupa takwimu tukajua maeneo ambayo yangepewa kipaumbele
Watu wa bara wakifika pwani wanajikuta kwao na tamaduni zao kumeendeleeea,
Utasema huko makwao kuna matreni ya umeme na gdp za Dola 100 kwa siku,

Kumbe tanzania kunafanana tu, walio fika huko kagera sijui moshi sijui mbeya wanasema hakuna tofauti na kwengineko, kwamba umaskini upo na wenye uwezo wapo kama sehemu yeyote ya tanzania, sio kwamba basi wao ndio wametoboooa, acheni zenu msijikute mko juu sana, bado sana kufikia levo hizo za kutoa akili watanzania wezenu, bado sana mna safari ndefu.
 
Rais wetu usifungwe kwa miiko, watu wengi ikiwemo wewe wameleta mabadiliko chanya kwenye jamii kwa kuvunja miiko, tuangalie faida na hasara zake sio kwa kuwa halikuwahi kufanyika

Hili suala haina haja ya kulichukulia kwa shari na kutokuaminiana, tujadili kwa utulivu na kwa reason

Dini imekuwa sehemu muhimu sana ya maisha ya mtanzania na kwa maana hiyo utamaduni wa Watanzania wengi umeathiriwa na dini waliyo nayo

Na utamaduni una effect kubwa kwenye maendeleo ya mtu, jamii na taifa

Mfano mikoa ambayo ipo percived kuwa na waislam wengi, nasema percived kwa sababu hakuna takwimu rasmi

Mikoa hii ni kama Kigoma, Lindi, Tanga, Mtwara na wilaya za mkoa wa Pwani zilizo mbali na Dar, mikoa hii kumekuwa na umasikini mkubwa na huduma za kijamii kama Hospitali, shule, barabara pia ni duni, sasa tunataka kujua kuna uhusiano wowote kati ya maendeleo ya mkoa huu na dini (ambayo ina infuence culure yake?) au ni mikoa ambayo Serikali ilijisahu kwa bahati mbaya tu kupeleka maendeleo kama mikoa mingine?

Na kama haina maendeleo kwa sababu ya kusahaulika na serikali, basi tuseme umasikini wao umechangiwa na culture yao ambayo kwa kiasi kikubwa inaathiriwa na Dini? Basi ikionekana utamaduni/dini ndio imechangia, basi Serikali ina kazi ya kufanya maana Dini ya Kiislam haimaanishi kukataa maendeleo, maana mataifa yaliyoendelea zaidi Afrika kama Egypt na Morocco ni ya Kiislam

Hii ni analysisi ya muhimu inayotakiwa kufanywa na Serikali kama serikali ina nia ya dhati ya kuleta kuondoa umasikini kwa usawa maeneo yote TZ

So hapa ndipo kipengele cha Dini kinakuwa cha muhimu,

Na sio hapa tu, pia serikali imekuwa ikishirikiana na taasisi za kidini za Kikristo na Kiislam kwenye maendeleo na ustawi wa Tanzania, kwa hiyo kuwa na takwimu kuhusu waumini wa imani fulani na ku share takwimu hizi na taasisi hizo za kidini ambazo zinashirikiana nao, italeta manufaa mengi kwa pande zote

Mfano Bakwata, Balozi za mataifa mbalimbali, na watu binafsi wamekuwa wakishirikiana na Serikali kujenga visima na misikiti kwenye maeneo yenye Waislam, hivyo serikali ingetupa takwimu tukajua maeneo ambayo yangepewa kipaumbele
Mbona hujataja miko maskini inayokuwa perceived na wakristo wengi kama Rukwa, Njombe, Katavi na e.t.c. Kimsingi kilichopo kwenye hoja yako ndio kinachoepukwa na serikali.
 
Kipengele cha dini hakina tija yoyote. Kuna wengine hatuna dini ne itakuwaje?

Pia kipengele cha kabila nacho hakina tija. Mimi baba yangu ni Mmasai na mama ni Mchaga ila nimezaliwa na kukulia uchagani mpaka nimekuwa mtu mzima na hata kwa baba yangu huko Nainokanoka sijawahi kufika.

Najua mila na tamaduni za kichaga na lugha ya kichaga naijua pia ila kimasai sikijui.

Je mimi ni Mmasai au ni Machagga?
Kama hujui kuwa wewe ni mmasai au mchagga, basi wewe ni mjinga. Ila nakusaidia hapa; wewe ni mmasai, acha kujipendekeza kwa wachagga
 
Kwanini wagalilaya siku zote wanakiogopa kipengele cha Dini kwenye Sensa?
 
lengo sio hilo, nimeweka faida nyingi tu hapo, mnaodhani lengo ni hilo ndio mnaoliangalia suala hili kishari
Hizo faida nyingi ulizoweka ni kwa mujibu wa mtazamo wako. Sisi serikali hatuoni faida yoyote kuweka kipengele cha dini kwenye sensa ya watu na makazi.
 
Serikali inahesabu watu wote kwa lengo la kutoa huduma kwa wote,sasa unataka dini ya kazi gani?.

Tanzania tuko mchanganyiko na huduma zote zinatolewa bila ubaguzi,kwa mfano,shule ni mchanganyiko wa watu wote,masoko,usafiri wa abiria,Hospital,huduma za maji,umeme,mabarabara,majeshi yetu,police, hizi ndizo huduma za mhimu serikali hutoa sasa dini unataka kujenga masoko,au shule za dini ?
 
Rais wetu usifungwe kwa miiko, watu wengi ikiwemo wewe wameleta mabadiliko chanya kwenye jamii kwa kuvunja miiko, tuangalie faida na hasara zake sio kwa kuwa halikuwahi kufanyika

Hili suala haina haja ya kulichukulia kwa shari na kutokuaminiana, tujadili kwa utulivu na kwa reason

Dini imekuwa sehemu muhimu sana ya maisha ya mtanzania na kwa maana hiyo utamaduni wa Watanzania wengi umeathiriwa na dini waliyo nayo

Na utamaduni una effect kubwa kwenye maendeleo ya mtu, jamii na taifa

Mfano mikoa ambayo ipo percived kuwa na waislam wengi, nasema percived kwa sababu hakuna takwimu rasmi

Mikoa hii ni kama Kigoma, Lindi, Tanga, Mtwara na wilaya za mkoa wa Pwani zilizo mbali na Dar, mikoa hii kumekuwa na umasikini mkubwa na huduma za kijamii kama Hospitali, shule, barabara pia ni duni, sasa tunataka kujua kuna uhusiano wowote kati ya maendeleo ya mkoa huu na dini (ambayo ina infuence culure yake?) au ni mikoa ambayo Serikali ilijisahu kwa bahati mbaya tu kupeleka maendeleo kama mikoa mingine?

Na kama haina maendeleo kwa sababu ya kusahaulika na serikali, basi tuseme umasikini wao umechangiwa na culture yao ambayo kwa kiasi kikubwa inaathiriwa na Dini? Basi ikionekana utamaduni/dini ndio imechangia, basi Serikali ina kazi ya kufanya maana Dini ya Kiislam haimaanishi kukataa maendeleo, maana mataifa yaliyoendelea zaidi Afrika kama Egypt na Morocco ni ya Kiislam

Hii ni analysisi ya muhimu inayotakiwa kufanywa na Serikali kama serikali ina nia ya dhati ya kuleta kuondoa umasikini kwa usawa maeneo yote TZ

So hapa ndipo kipengele cha Dini kinakuwa cha muhimu,

Na sio hapa tu, pia serikali imekuwa ikishirikiana na taasisi za kidini za Kikristo na Kiislam kwenye maendeleo na ustawi wa Tanzania, kwa hiyo kuwa na takwimu kuhusu waumini wa imani fulani na ku share takwimu hizi na taasisi hizo za kidini ambazo zinashirikiana nao, italeta manufaa mengi kwa pande zote

Mfano Bakwata, Balozi za mataifa mbalimbali, na watu binafsi wamekuwa wakishirikiana na Serikali kujenga visima na misikiti kwenye maeneo yenye Waislam, hivyo serikali ingetupa takwimu tukajua maeneo ambayo yangepewa kipaumbele
Swala la dini kwenye sensa NO.
MKITAKA MFANYE SENSA HUKO MISIKITINI KWENU WENYEWE
 
Dini sio muhimu kwenye sensa maana kila mwaka unaweza kuwa na dini mpya ukitaka so ni suala la kibinafsi zaidi tofauti na taarifa zingine za kudumu.
Lakini cha muhimu zaidi ni kulinda umoja na mshikamano maana mataifa mengi amani imevunjika kisa dini.
Taarifa za makabila ni muhimu kwa ajili ya kudumisha utamaduni wetu na kukuza tafiti za historia za makabila yetu ili kuzidi kujua huko tulipotoka.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Serikali huwa haipangi watu wazikweje, iwe viongozi au watumishi, familia zao ndio huamua.
Serikali hana dini, ila watu wake wanadini na serikali ipo kwa ajili ya kuwahudumia watu hao. Na ndio maana mtumishi wa serikali akifa itashughulikia maziko yake kwa mujibu wa imani yake. Au hata wewe ukikutwa leo mfano umekufa na ukasachiwa mfukoni ukakutwa na kitamburisho unaitwa John Richard (Mkristo) utazikwa kwa imani hiyo. Huoni kuwa serikali inauhitaji wa kufahamu dini yako? Ukizungumzia mipango ya maendeleo aidha kijamii, uchumi, nk huwezi kuepuka matumizi na uhitaji wa takwimu sahihi. Utachekesha.
 
Rais wetu usifungwe kwa miiko, watu wengi ikiwemo wewe wameleta mabadiliko chanya kwenye jamii kwa kuvunja miiko, tuangalie faida na hasara zake sio kwa kuwa halikuwahi kufanyika

Hili suala haina haja ya kulichukulia kwa shari na kutokuaminiana, tujadili kwa utulivu na kwa reason

Dini imekuwa sehemu muhimu sana ya maisha ya mtanzania na kwa maana hiyo utamaduni wa Watanzania wengi umeathiriwa na dini waliyo nayo

Na utamaduni una effect kubwa kwenye maendeleo ya mtu, jamii na taifa

Mfano mikoa ambayo ipo percived kuwa na waislam wengi, nasema percived kwa sababu hakuna takwimu rasmi

Mikoa hii ni kama Kigoma, Lindi, Tanga, Mtwara na wilaya za mkoa wa Pwani zilizo mbali na Dar, mikoa hii kumekuwa na umasikini mkubwa na huduma za kijamii kama Hospitali, shule, barabara pia ni duni, sasa tunataka kujua kuna uhusiano wowote kati ya maendeleo ya mkoa huu na dini (ambayo ina infuence culure yake?) au ni mikoa ambayo Serikali ilijisahu kwa bahati mbaya tu kupeleka maendeleo kama mikoa mingine?

Na kama haina maendeleo kwa sababu ya kusahaulika na serikali, basi tuseme umasikini wao umechangiwa na culture yao ambayo kwa kiasi kikubwa inaathiriwa na Dini? Basi ikionekana utamaduni/dini ndio imechangia, basi Serikali ina kazi ya kufanya maana Dini ya Kiislam haimaanishi kukataa maendeleo, maana mataifa yaliyoendelea zaidi Afrika kama Egypt na Morocco ni ya Kiislam

Hii ni analysisi ya muhimu inayotakiwa kufanywa na Serikali kama serikali ina nia ya dhati ya kuleta kuondoa umasikini kwa usawa maeneo yote TZ

So hapa ndipo kipengele cha Dini kinakuwa cha muhimu,

Na sio hapa tu, pia serikali imekuwa ikishirikiana na taasisi za kidini za Kikristo na Kiislam kwenye maendeleo na ustawi wa Tanzania, kwa hiyo kuwa na takwimu kuhusu waumini wa imani fulani na ku share takwimu hizi na taasisi hizo za kidini ambazo zinashirikiana nao, italeta manufaa mengi kwa pande zote

Mfano Bakwata, Balozi za mataifa mbalimbali, na watu binafsi wamekuwa wakishirikiana na Serikali kujenga visima na misikiti kwenye maeneo yenye Waislam, hivyo serikali ingetupa takwimu tukajua maeneo ambayo yangepewa kipaumbele
Waislam nendeni mkajihesabu misikitini tu,hatuwezi kutumia rasilimali za nchi kufsnya mambo ya dini.
Na hili Swala la takwimu na dini,waislam hapa Wala hawalengi kuonyesha idadi tu,hapa Kuna Hila kubwa,wanataka rasilimali za nchi zigawanywe kwa kigezo Cha dini na Wingi,kama wao ni wengi basi ile mikoa walipo wengi ipelekewe bajeti kubwa.
Ukijua waislam ni wengi Lindi,Kigoma,na pwani,haiwezi kukupa sababu kwanini hiyo mikoa haijaendelea,tatizo ni tamaduni za makabila.
Muislam wa Kagera,Kilimanjaro huwezi kumlinganisha na muislam wa lindi,Kigoma,haiitaji kuwa na Elimu ya darasa la saba kujua dini yenu inachangia katika maisha duni na mtazamo wenu wa maendeleo,
Lakini sio kila sehemu yenye wakristo imeendelea,nenda Kahama,Mbogwe,Kagera Vijijini huko kote Kuna wakristo lakini Kuna umaskini unaotisha.
Takwimu kujua idadi ya waislam haiwezi kukupa kwanini nyie ni maskini.
 
Matajiri wakubwa Tz ni wa dini gani vile?
Endeleza kibanda chako cha kuuza Bidhaa za Said Salim Bakhreesa na Mohammed Dewji
Wewe komaa na maendeleo ya mo,bakhresa, GSM na manara badala ya kuangalia idadi ya akina sikudhani, shemdoe, karumanzira waliopigika huko vijijini, hawana maji, hospitali na huduma nyingine. Kwa kifupi takwimu za kidini mnazozihitaji ni ili mjue kuwa kilwa kuna waislam wengi ambao wamepigika so serikali ipeleke maendeleo kule kwa kipaumbele. Isipopeleka basi inawachukia waislam. Maendeleo ya maeneo yasiyokuwa na waislam wengi yameletwa na elimu, kilimo na ushirika nk. Mfano Kilimanjaro, mbeya na kagera
 
Kama inafahamika kuwa mikoa fulani inawaislamu wengi na mikoa fulani inawakristo wengi hiyohiyo inatosha, kuingiza kipengele cha kuulizana dini ni kukaribisha hoja ya ubaguzi wa maendeleo kuwa mikoa fulani haijaliwi na serekali kwa kuwa watu wa dini fulani ni wengi kulikodini fulani.
 
Rais wetu usifungwe kwa miiko, watu wengi ikiwemo wewe wameleta mabadiliko chanya kwenye jamii kwa kuvunja miiko, tuangalie faida na hasara zake sio kwa kuwa halikuwahi kufanyika

Hili suala haina haja ya kulichukulia kwa shari na kutokuaminiana, tujadili kwa utulivu na kwa reason

Dini imekuwa sehemu muhimu sana ya maisha ya mtanzania na kwa maana hiyo utamaduni wa Watanzania wengi umeathiriwa na dini waliyo nayo

Na utamaduni una effect kubwa kwenye maendeleo ya mtu, jamii na taifa

Mfano mikoa ambayo ipo percived kuwa na waislam wengi, nasema percived kwa sababu hakuna takwimu rasmi

Mikoa hii ni kama Kigoma, Lindi, Tanga, Mtwara na wilaya za mkoa wa Pwani zilizo mbali na Dar, mikoa hii kumekuwa na umasikini mkubwa na huduma za kijamii kama Hospitali, shule, barabara pia ni duni, sasa tunataka kujua kuna uhusiano wowote kati ya maendeleo ya mkoa huu na dini (ambayo ina infuence culure yake?) au ni mikoa ambayo Serikali ilijisahu kwa bahati mbaya tu kupeleka maendeleo kama mikoa mingine?

Na kama haina maendeleo kwa sababu ya kusahaulika na serikali, basi tuseme umasikini wao umechangiwa na culture yao ambayo kwa kiasi kikubwa inaathiriwa na Dini? Basi ikionekana utamaduni/dini ndio imechangia, basi Serikali ina kazi ya kufanya maana Dini ya Kiislam haimaanishi kukataa maendeleo, maana mataifa yaliyoendelea zaidi Afrika kama Egypt na Morocco ni ya Kiislam

Hii ni analysisi ya muhimu inayotakiwa kufanywa na Serikali kama serikali ina nia ya dhati ya kuleta kuondoa umasikini kwa usawa maeneo yote TZ

So hapa ndipo kipengele cha Dini kinakuwa cha muhimu,

Na sio hapa tu, pia serikali imekuwa ikishirikiana na taasisi za kidini za Kikristo na Kiislam kwenye maendeleo na ustawi wa Tanzania, kwa hiyo kuwa na takwimu kuhusu waumini wa imani fulani na ku share takwimu hizi na taasisi hizo za kidini ambazo zinashirikiana nao, italeta manufaa mengi kwa pande zote

Mfano Bakwata, Balozi za mataifa mbalimbali, na watu binafsi wamekuwa wakishirikiana na Serikali kujenga visima na misikiti kwenye maeneo yenye Waislam, hivyo serikali ingetupa takwimu tukajua maeneo ambayo yangepewa kipaumbele
Kama swala ni hulo basi tuulize kabila
 
Back
Top Bottom