Chongolo: Mbowe ana wajomba zake Nyeri na Zitto baadhi ya baba zake wanakaa Bukavu

Basi tukubali kuwa Mzalendo wa kweli ni yule mnaemwita shujaa wa Afrika
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hata mwendazake ndg zake wengine eti wako chigali.....
Na mbona alipokuwa hai mlikuwa mnaropoka sana eti ana unasaba na nchi jirani. Sasa Mama yenu ana unasaba na waliowauza utumwani mababu zenu. Hapo vipi?
 
Kuumbe ndio maana kila nikimwangalia papa wemba naona Zito kama anakuja kuja hivi.

Halafu wanakesha kumnanga Magu kumbe wao ndio wana hali mbaya Zaidi.

Ni kawaida lakini asiye na haki kujikweza kuliko mwenye haki.
 
Hata kama wakiwa na wajomba huko, lakini hawajawahi kuwapa hao wajomba zao zawadi za wanyama wetu bure.
Kuna mmoja aligawa tausi wetu.,nimekumbuka kumbe tausi ni ndege siyo mnyama na wao ni jirani zetu
 
Hii nchi wenye haki ya kuimiliki wasio na mchangamano na mataifa mengine ni wagogo tu Hawa ndiyo wenye nchi
 
Tuanza kuangaliana Passport Hali si nzuri sana!!
 
Watu wanajua kupepelea sanaa vyakula vyao
 
Hii nchi wenye haki ya kuimiliki wasio na mchangamano na mataifa mengine ni wagogo tu Hawa ndiyo wenye nchi
Sio wagogo tu huyo Chongolo katibu mkuu wa CCM hana ndugu hata nje ya nchi ukoo wake ukisikia wana ndugu nje ya mkoa alikozaliwa wako Dar es salaam hawajasoma vibarua wabeba nzege na house girl nk
 
Siasa bhana.... Kazi kweli kweli
 
Teh teh πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ umenivunja mbavu we teh teh πŸ˜‚ hii nchi ina vituko Sana.

Umenikumbusha kwenye uchaguzi huo wa 2010, mgombea Urais wa Chadema kipindi hicho alifunguliwa kesi ya kuiba mke wa mtu...teh teh teh teh πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…