Chongolo uwe na amani, uchunguzi utafanyika na utatendewa haki. Chama kitaonesha ukubwa wake

Ccm ni kikundi flan cha wahuni wanaouza nchi na UCHI pia.
 
Kama unachosema ni kweli,kwanini Mwenyekiti amekubali Barua ya Chongolo kujiuzulu kama ni mwana Mpakwa mafuta wa serikali na Chama!
Kwaiyo aliyetaka kupokea U-Katibu Mkuu ni nani wakati Chongolo mwenyewe yupo kambi ya Wahuni ya Msoga.Mpeni hiyo nafasi Paul Makonda na Naibu Katibu Mkuu awe Polepole na Katibu Mwenezi General Sabaya na Idara ya Organaizesheni Ali Hapi,then muone kazi,makosa tutarekebisha baadaye.
 
Ccm sio mama wa mtu au baba wa Mtu, Chongolo ili aweze endesha maisha yake sio lazima kuwa ndani ya ccm, na yapo maisha nje ya ccm ,
 
Kwamba watamtafute huyo dada aliyekuwa anachati naye?
Kwamba CCM itabeba mtu mwenye anafanya nani online?
 
Makonda ni 'kichaa' (maniac). Huwezi ukampa 'panga' kali kama lile (la ukatibu mkuu) nchi ikabaki salama. 'Atapigisha shoti kila sehemu'.
Even by virtue of age KM anapaswa awe mtu mzima sana. Mtu aliye kwenye miaka hamsini hadi sitini na kidogo.
 
Mzee Tupatupa please hadi sasa sijajua uchunguzi unafanyika kwa tuhuma zipi, plz assit tujue tuhuma zinazomkabili Mwagito ili na sisi huku Njombe tuzidishe maombi!
 
Mzee Tupatupa please hadi sasa sijajua uchunguzi unafanyika kwa tuhuma zipi, plz assit tujue tuhuma zinazomkabili Mwagito ili na sisi huku Njombe tuzidishe maombi!
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Makini sana,na aende tu hafai
 
Makonda ni 'kichaa' (maniac). Huwezi ukampa 'panga' kali kama lile (la ukatibu mkuu) nchi ikabaki salama. 'Atapigisha shoti kila sehemu'.
Even by virtue of age KM anapaswa awe mtu mzima sana. Mtu aliye kwenye miaka hamsini hadi sitini na kidogo.
Acha woga dogo
 
Kina Mwigulu Nchemba ndo walioratibu hili.Ukiona mtu anatukanwa na Kigogo 2014 basi jua hapo kuna mkono wa Mwigulu Nchemba.
Mbona waovu ni wengi CCM, tena waovu kuzidi hata shetani mkuu na hawajawahi kujiuzulu, iweje yeye?

KUNA JAMBO LINAFICHWA.
 
Makonda ni 'kichaa' (maniac). Huwezi ukampa 'panga' kali kama lile (la ukatibu mkuu) nchi ikabaki salama. 'Atapigisha shoti kila sehemu'.
Even by virtue of age KM anapaswa awe mtu mzima sana. Mtu aliye kwenye miaka hamsini hadi sitini na kidogo.

Sababu hasa ya ulazima wa KM kuwa miaka 50 mpaka 60 ni ipi? Ni sheria?
 
Blah blah nyingi lkn hakielezwi ni nini hawa watu wametenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…