Nyie ndio mlimuua mbona taarifa za betri hatukusikia kwa madaktariHakuna anayefurahia kifo hata mimi nitakufa muda ukifika ila siwezi singizia sijui nimewindwa sijui maadui.
Sasa JPM alikua anasema chanjo ni mbaya cha ajabu alitumia betri kuendesha moyo kutoka kwa hao hao mabeberu!! Kama sio unafiki ni nini?
Sasa siku betri imepata hitilafu inahusiama nini na kuuwawa? Angekua hana ugonjwa hapo sawa ila mtu anaumwa miaka 15+ akifariki nini cha ajabu?
Nami nahoji hicho hicho,pili kuhusu Magufuli kufariki saa 12 sio kweli,maana Samia akiwa Tanga siku ile tangazo lilipotolewa usiku,akiwa jukwaani anasema kuanzia leo umeme hautakatika,inaonyesha taarifa alikuwa keshapewa na ilikuwa mida ya mchana na usiku ndo anatangaza msibaSaa nane mchana watu watatu wakapokea simu kutoka hospitali: Kamanda CDF, Kamanda IGP na Kamanda DGS wa Usalama. Wakafika haraka wakamkuta kapumzika lakini kakata kauli.
Wakwanza wakamuita Profesa Masero kumwongezea nguvu Profesa Janabi. Kabla ya hapo, asubuhi yake, walikuwa wameshatuma madereva kuwaleta Paroko wa Oysterbay na Kadinari Pengo kumuombea sala ya wagonjwa baada ya Mzee kusema "siwezi kupona." Saa kumi na mbili unusu jioni Mzee akafariki mbele ya watu watatu: CDF, IGP, DGS.
Wakaanza kusoma katiba inasemaje kuhusu utaratibu wa nani anatangaza kwa jamii. VP Samia alikuwa Tanga, PM Majaliwa alikuwa Dodoma, wakawatumia ujumbe. Wakakumbuka hatuwezi kutangaza, familia haijaambiwa. Mkewe alikuwa Ikulu Dar es Salaam. Wakatuma mtu kumpa taarifa mkewe Ikulu Dar es Salaam na ndege ya kukodi kupeleka taarifa kwa mamaake mgonjwa Chato.
===================================
Mfumo dume ni mzito sana Afrika, lakini hivi mwanamke na watoto, unakubalije mmeo, babaako, afie mbele ya wanajeshi nyinyi siku nzima hampo, hamjali, hamjui na hamjijui ??????
View: https://youtu.be/9Hyg_T0yb-8
Unamaanisha nini sasa kwani wanyonge au wasio na kiburi unamanisha hawezi kufa? Au wewe una mkataba na kifo Zungumzia kifo na sio kuzungumza kama kashfa..Kifo ni kiboko ya ubabe,ujeuri na Kila kiburi
Kwa taarifa yako, wengi wanaofia hospitalini kwa kuzidiwa hilo huwa wanalijua. Wanaopata ajali mara nyingi ndio huwa hawawezi kujua.Ukipata bahati ya MUNGU Kukufunulia kifo chako jua wewe MUNGU amekuchagua hiyo nafasi wanapata wachache sana 😢
Kwa hiyo hata Kuwaita watumishi wa Mungu nayo ni uongo?Kwanza kabisa ondoa maneno ''kwahiyo tukuamini wewe...'' na weka ''kwa hiyo nikuamini wewe....'' Hii ni kwasababu wewe huwakilishi members wengine. Twende: uamuzi wa kumuamini nani, ni wako mwenyewe. Kama umeona Mabeho amezungumza ukweli kwa asilimia zote basi mwamini yeye. Ila jua kwamba anaweza kuwa amezungumza ukweli nusu au robo. Sikushikii mutu bunduki ila naandika nilichoambiwa na mtu wangu.
Chozi lake linaonyesha umuhimu wa JPM kwa Watanzania walio wengi, nami chozi limenitoka. Acha tu!!!Labda sababu aliwekwa na jiwe, labda angekuwepo angeongezewa mkataba.
Kuna mengi nyuma ya pazia bila shaka. Hebu fikiria Jk augue hadi kuzidiwa japo ni mstaafu, itachukua muda gani sa100 kuahirisha ziara yake na kurejea?N
Nami nahoji hicho hicho,pili kuhusu Magufuli kufariki saa 12 sio kweli,maana Samia akiwa Tanga siku ile tangazo lilipotolewa usiku,akiwa jukwaani anasema kuanzia leo umeme hautakatika,inaonyesha taarifa alikuwa keshapewa na ilikuwa mida ya mchana na usiku ndo anatangaza msiba
Sio wote ni wachache kama wote wanaofia hospital wanajua hali zao basi tungeona watu wengi wakiombewa wakikaribia kufaKwa taarifa yako, wengi wanaofia hospitalini kwa kuzidiwa hilo huwa wanalijua. Wanaopata ajali mara nyingi ndio huwa hawawezi kujua.
Ila mungu alimfunulia kifo chake akajua kwamba hatopona akawaita watumishi wa Mungu kumuombea huu ni ushahidi tosha Magufuli alikuwa mtu mwema ni wachache sana Mungu anaowafunulia mwisho wao na ni mpaka Mungu akuchagueAhukumiwe inavyostahili! Bahati mbaya, alikufa bila kuomba msamaha kwa baba wa Ben Saa Nane, Tundu Lissu na wengine wengi aliowapoteza, aliowaua wakitembea na aliowatesa sanaaa!
Na huyu bwana anatunga hadithi tuuu, hakuwepo!
Kwani ana moyo?Sidhani kama unaliangalia kiaskari akiwa public kwa level yake anatakiwa kujizuia.
Siku Kabudi, Polepole, Makonda au hata Bashiru wakitoa machozi hakuna wa kushangaa. Lakini sio senior army officer.
Soma tena comments zangu.Kwa hiyo hata Kuwaita watumishi wa Mungu nayo ni uongo?
Machozi ya, mamba, no substance, Maghu alikuwa mwizi kama majizi mengine ya ccm,
View: https://m.youtube.com/watch?v=9Hyg_T0yb-8
Katika dunia hii mtu wa mwisho ambae unaweza kuona chozi lake hadharani ni senior army officer na army general ndio kabisa awezi kuonyesha weakness hiyo hadharani.
Sasa cha kushangaza Mabeyo pamoja na kujitahidi kutabasamu ila chozi lilimshinda nguvu kwa sekundę kadhaa ameonekana akibubijikwa machozi ya hudhuni mbele ya camera. Kumbuka ata alipofiwa na mtoto wake rubani, general akutoa chozi alipofika eneo la tukio.
Je anajutia kutosikiliza maamuzi ya watu waliomshauri wapindue męża ya katiba huyo mama hiyo nafasi sio size yake na kinachoendelea leo Tanzania.
Nasikia unakula vinono tu vya ikulu... unachotewa tuuu.... ipo siku......Kwani mwanajeshi sio binadam?
Machozi ya mamba hayo.
Ha ha ha ha umenifurahisha sn, kumbe ulitaka tu kuwazindua watu usingizi baada ya kukosekana kwa mjadala wa JIWE. kusema ukweli hata mimi umenizindua aise nilikuwa sijui km leo kuna kumbukizi ya mwendazake. Well-done.Mleta mada kauliza swali juu (title yenyewe ni poser) kwa alichoona na kutafsiri yeye? Hakuna hitimisho rasmi.
Nchi nyingi duniani wananchi wameaminishwa army generals sio watu wa kutoa matone kirahisi au kuwa too emotional mbele ya public. Sasa kama huo ndio ukweli wa jeshi au ni myth tu, mimi sijui ndio maana nimeuliza.
Mwisho lengo halisi la mada baada ya kuona marehemu kama vile jamii aimpi airtime anayostahili siku ya leo nilipokutana na hiyo interview nikahisi nikiweka JF inaweza leta mjadala labda na angle tofauti. Hilo ndio lilikuwa kusudio apate airtime tu.
Otherwise nothing personal kwa mtu yeyote raisi aliyepo, retired CDF na CCM kwa ujumla.
Ukimsikiliza vizuri, kuna maswali mengi ya kuukiza.
View: https://m.youtube.com/watch?v=9Hyg_T0yb-8
Katika dunia hii mtu wa mwisho ambae unaweza kuona chozi lake hadharani ni senior army officer na army general ndio kabisa awezi kuonyesha weakness hiyo hadharani.
Sasa cha kushangaza Mabeyo pamoja na kujitahidi kutabasamu ila chozi lilimshinda nguvu kwa sekundę kadhaa ameonekana akibubijikwa machozi ya hudhuni mbele ya camera. Kumbuka ata alipofiwa na mtoto wake rubani, general akutoa chozi alipofika eneo la tukio.
Je anajutia kutosikiliza maamuzi ya watu waliomshauri wapindue męża ya katiba huyo mama hiyo nafasi sio size yake na kinachoendelea leo Tanzania.
Hata 1956 haiwezekani sababu itamaanisha kwamba JWTZ walimpa nyota Mwamunyange akiwa na umri wa miaka 17 kuweka rekodi sawa JWTZ ukiwahi sana kupata nyota katika umri mdogo ni ukiwa na umri wa miaka 21 hapa unakuwa umejitahidi sana kuwahi kupata nyota