Chozi la Jenerali Mabeyo akisimulia siku za mwisho za Hayati Magufuli linaashiria nini?

Chozi la Jenerali Mabeyo akisimulia siku za mwisho za Hayati Magufuli linaashiria nini?

Hakuna anayefurahia kifo hata mimi nitakufa muda ukifika ila siwezi singizia sijui nimewindwa sijui maadui.

Sasa JPM alikua anasema chanjo ni mbaya cha ajabu alitumia betri kuendesha moyo kutoka kwa hao hao mabeberu!! Kama sio unafiki ni nini?

Sasa siku betri imepata hitilafu inahusiama nini na kuuwawa? Angekua hana ugonjwa hapo sawa ila mtu anaumwa miaka 15+ akifariki nini cha ajabu?
Nyie ndio mlimuua mbona taarifa za betri hatukusikia kwa madaktari
Nyie kina zitto mlimuua lakini damu ya mtu haiendi bure kumbuka
 
Kifo cha JPM sikuhuzunika wala sikufurahi.
Tangu amelala mauti sijawahi kummis.
Aliyabadilisha sana maisha yangu kutoka mabaya mpaka mabaya sana.
Hata leo ambayo ni kumbukumbu ya tangu kifo chake; sina cha kukumbuka.
Sitaki kuwa mnafki.
 
N
Saa nane mchana watu watatu wakapokea simu kutoka hospitali: Kamanda CDF, Kamanda IGP na Kamanda DGS wa Usalama. Wakafika haraka wakamkuta kapumzika lakini kakata kauli.

Wakwanza wakamuita Profesa Masero kumwongezea nguvu Profesa Janabi. Kabla ya hapo, asubuhi yake, walikuwa wameshatuma madereva kuwaleta Paroko wa Oysterbay na Kadinari Pengo kumuombea sala ya wagonjwa baada ya Mzee kusema "siwezi kupona." Saa kumi na mbili unusu jioni Mzee akafariki mbele ya watu watatu: CDF, IGP, DGS.

Wakaanza kusoma katiba inasemaje kuhusu utaratibu wa nani anatangaza kwa jamii. VP Samia alikuwa Tanga, PM Majaliwa alikuwa Dodoma, wakawatumia ujumbe. Wakakumbuka hatuwezi kutangaza, familia haijaambiwa. Mkewe alikuwa Ikulu Dar es Salaam. Wakatuma mtu kumpa taarifa mkewe Ikulu Dar es Salaam na ndege ya kukodi kupeleka taarifa kwa mamaake mgonjwa Chato.

===================================

Mfumo dume ni mzito sana Afrika, lakini hivi mwanamke na watoto, unakubalije mmeo, babaako, afie mbele ya wanajeshi nyinyi siku nzima hampo, hamjali, hamjui na hamjijui ??????



View: https://youtu.be/9Hyg_T0yb-8

Nami nahoji hicho hicho,pili kuhusu Magufuli kufariki saa 12 sio kweli,maana Samia akiwa Tanga siku ile tangazo lilipotolewa usiku,akiwa jukwaani anasema kuanzia leo umeme hautakatika,inaonyesha taarifa alikuwa keshapewa na ilikuwa mida ya mchana na usiku ndo anatangaza msiba
 
Kwanza kabisa ondoa maneno ''kwahiyo tukuamini wewe...'' na weka ''kwa hiyo nikuamini wewe....'' Hii ni kwasababu wewe huwakilishi members wengine. Twende: uamuzi wa kumuamini nani, ni wako mwenyewe. Kama umeona Mabeho amezungumza ukweli kwa asilimia zote basi mwamini yeye. Ila jua kwamba anaweza kuwa amezungumza ukweli nusu au robo. Sikushikii mutu bunduki ila naandika nilichoambiwa na mtu wangu.
Kwa hiyo hata Kuwaita watumishi wa Mungu nayo ni uongo?
 
N

Nami nahoji hicho hicho,pili kuhusu Magufuli kufariki saa 12 sio kweli,maana Samia akiwa Tanga siku ile tangazo lilipotolewa usiku,akiwa jukwaani anasema kuanzia leo umeme hautakatika,inaonyesha taarifa alikuwa keshapewa na ilikuwa mida ya mchana na usiku ndo anatangaza msiba
Kuna mengi nyuma ya pazia bila shaka. Hebu fikiria Jk augue hadi kuzidiwa japo ni mstaafu, itachukua muda gani sa100 kuahirisha ziara yake na kurejea?
Ipo siku watalipwa kwa matendo yao ikiwa ni kweli walishiriki!
 
Kwa taarifa yako, wengi wanaofia hospitalini kwa kuzidiwa hilo huwa wanalijua. Wanaopata ajali mara nyingi ndio huwa hawawezi kujua.
Sio wote ni wachache kama wote wanaofia hospital wanajua hali zao basi tungeona watu wengi wakiombewa wakikaribia kufa
Hiyo nafasi hadi MUNGU akuchague ni wachache na sio wote wala wengi narudia tena ni wachache sana hadi Mungu akuchague
 
Ahukumiwe inavyostahili! Bahati mbaya, alikufa bila kuomba msamaha kwa baba wa Ben Saa Nane, Tundu Lissu na wengine wengi aliowapoteza, aliowaua wakitembea na aliowatesa sanaaa!

Na huyu bwana anatunga hadithi tuuu, hakuwepo!
Ila mungu alimfunulia kifo chake akajua kwamba hatopona akawaita watumishi wa Mungu kumuombea huu ni ushahidi tosha Magufuli alikuwa mtu mwema ni wachache sana Mungu anaowafunulia mwisho wao na ni mpaka Mungu akuchague
Mimi na wewe tuombe Mungu atujalie kifo chema🙏
 

View: https://m.youtube.com/watch?v=9Hyg_T0yb-8

Katika dunia hii mtu wa mwisho ambae unaweza kuona chozi lake hadharani ni senior army officer na army general ndio kabisa awezi kuonyesha weakness hiyo hadharani.

Sasa cha kushangaza Mabeyo pamoja na kujitahidi kutabasamu ila chozi lilimshinda nguvu kwa sekundę kadhaa ameonekana akibubijikwa machozi ya hudhuni mbele ya camera. Kumbuka ata alipofiwa na mtoto wake rubani, general akutoa chozi alipofika eneo la tukio.

Je anajutia kutosikiliza maamuzi ya watu waliomshauri wapindue męża ya katiba huyo mama hiyo nafasi sio size yake na kinachoendelea leo Tanzania.

Machozi ya, mamba, no substance, Maghu alikuwa mwizi kama majizi mengine ya ccm,
Mbaguzi wa ki kabila, huyu mabeyo anasikitika msukuma mwenzie kufa mapema, kabla hawajamaliza kupiga maokoto serikalini,
Mjomba yupo hazina, Tribe mate ni CDC, hapo ni wizi tu
 
Mleta mada kauliza swali juu (title yenyewe ni poser) kwa alichoona na kutafsiri yeye? Hakuna hitimisho rasmi.

Nchi nyingi duniani wananchi wameaminishwa army generals sio watu wa kutoa matone kirahisi au kuwa too emotional mbele ya public. Sasa kama huo ndio ukweli wa jeshi au ni myth tu, mimi sijui ndio maana nimeuliza.

Mwisho lengo halisi la mada baada ya kuona marehemu kama vile jamii aimpi airtime anayostahili siku ya leo nilipokutana na hiyo interview nikahisi nikiweka JF inaweza leta mjadala labda na angle tofauti. Hilo ndio lilikuwa kusudio apate airtime tu.

Otherwise nothing personal kwa mtu yeyote raisi aliyepo, retired CDF na CCM kwa ujumla.
Ha ha ha ha umenifurahisha sn, kumbe ulitaka tu kuwazindua watu usingizi baada ya kukosekana kwa mjadala wa JIWE. kusema ukweli hata mimi umenizindua aise nilikuwa sijui km leo kuna kumbukizi ya mwendazake. Well-done.
 

View: https://m.youtube.com/watch?v=9Hyg_T0yb-8

Katika dunia hii mtu wa mwisho ambae unaweza kuona chozi lake hadharani ni senior army officer na army general ndio kabisa awezi kuonyesha weakness hiyo hadharani.

Sasa cha kushangaza Mabeyo pamoja na kujitahidi kutabasamu ila chozi lilimshinda nguvu kwa sekundę kadhaa ameonekana akibubijikwa machozi ya hudhuni mbele ya camera. Kumbuka ata alipofiwa na mtoto wake rubani, general akutoa chozi alipofika eneo la tukio.

Je anajutia kutosikiliza maamuzi ya watu waliomshauri wapindue męża ya katiba huyo mama hiyo nafasi sio size yake na kinachoendelea leo Tanzania.

Ukimsikiliza vizuri, kuna maswali mengi ya kuukiza.

Yaani Rais mgonjwa anakaribia kufa mkewe yuko nyumbani siku nzima....
Mpaka wanakufa hana habari!?

Wakati Pengo anatafuta alikuwa kwenye ibadan. Je ni ibadan gani hiyo. Usually, catholics siku za kazi huwa na ibada asubuhi sana kwenye saa 12 asubuhi. Kwa jinsi anavyosimulia haionekani kuwa ilikuwa ni asubuhi sana. Hiyo inaweza kuleta hisia kuwa hakufanya siku ya kazi.
 
Hata 1956 haiwezekani sababu itamaanisha kwamba JWTZ walimpa nyota Mwamunyange akiwa na umri wa miaka 17 kuweka rekodi sawa JWTZ ukiwahi sana kupata nyota katika umri mdogo ni ukiwa na umri wa miaka 21 hapa unakuwa umejitahidi sana kuwahi kupata nyota

..sheria unasema kustaafu ni miaka 60.

..Mwamunyange ilikuwa astaafu mwaka 2016 akaongezewa muda na Jiwe.

..Sasa piga hesabu zako utuambie Mwamunyange alizaliwa mwaka gani.

..Pia mitandao inasema Mabeyo alizaliwa mwaka 1956 maana yake akifikisha miaka 60 umri wa kustaafu mwaka 2016.

..Maana yake ni kwamba aliteuliwa CoS akiwa na umri wa kustaafu, na aliteuliwa CdF akiwa ameshavuka umri wa kustaafu.

..Ndio maana nasema kuna walakini ktk uteuzi uliofanywa na Jiwe.
 
Back
Top Bottom