KIXI
JF-Expert Member
- Mar 3, 2015
- 1,955
- 2,465
Nyie ndio mlimuua mbona taarifa za betri hatukusikia kwa madaktariHakuna anayefurahia kifo hata mimi nitakufa muda ukifika ila siwezi singizia sijui nimewindwa sijui maadui.
Sasa JPM alikua anasema chanjo ni mbaya cha ajabu alitumia betri kuendesha moyo kutoka kwa hao hao mabeberu!! Kama sio unafiki ni nini?
Sasa siku betri imepata hitilafu inahusiama nini na kuuwawa? Angekua hana ugonjwa hapo sawa ila mtu anaumwa miaka 15+ akifariki nini cha ajabu?
Nyie kina zitto mlimuua lakini damu ya mtu haiendi bure kumbuka