Chozi la Jenerali Mabeyo akisimulia siku za mwisho za Hayati Magufuli linaashiria nini?

Hilo neno "malengelenge" maana yake ni nini katika kiswahili kilichoandikwa hapo?
 
Kwa swala la Loliondo hata yeye amejichafua
 
..kiongozi wa kwanza kutaarifiwa kuwa Rais amefariki alipaswa kuwa Makamu wa Rais na sio Waziri Mkuu na Katibu Mkuu Kiongozi.
Hii ni ishara nchi hii watu wanaongoza Kwa makundi na siyo frame of operations, hali hii inapswa kurekebisha. Ni kama vile tunaishi Kwa hisani za watu. Katiba ndiyo source ya haya yote kwakua at some point inalimbikiza Madaraka Kwa individuals badala ya kuyaweka Kwa public
 
Hayo machozi mbona sijayaona au nimetazama clip nyingine.

Pia kama binadamu lazima aguswe kwakua alishiriki kwa ukaribu tukio zima.

Haya ndio matatizo ya kuangalia sana filamu inakua sio rahisi kuleta uhalisia.
 
tumeangali mu Video. Hakuna kitu uneandika ipo humo. use brain mwache kupotosha batanzani.
 
Hayo machozi mbona sijayaona au nimetazama clip nyingine.

Pia kama binadamu lazima aguswe kwakua alishiriki kwa ukaribu tukio zima.

Haya ndio matatizo ya kuangalia sana filamu inakua sio rahisi kuleta uhalisia.


Hapo akielezea alipopigiwa simu ya mchana kuwa jamaa achomoki kwikwi na chozi juu akaliwahi kufuta.


View: https://m.youtube.com/watch?v=7pAX3f36xOs&pp=ygUkd2h5IGFybXkgZ2VuZXJhbHMgZG9udCBjcnkgaW4gcHVibGlj
Ma-general wakizidiwa sana tear drop tu, kama ukiangalia hiyo video ata huyo US general ni tear drop lakini bado interviewer ameshangaa kidogo general kutoa chozi mpaka kamuuliza kulikoni

Sasa usidhanie general atalia kama Jenista Mhagama mbele ya camera ajiangushe na kujigalalaza kwenye udongo kila mtu amuone.

Huko CCM na serikalini mnajifanya kama amuitambui siku ya leo aina umuhimu wowote kwa taifa.

Shame
 

..inaweza kuwa anaigiza kulia.

..pia habari yote inaweza kuwa ya kutunga.

..hujasikia kwamba Jiwe aliuwawa na genge la Msoga baada ya kuwadukua?

..pia hujasikia kwamba Jiwe alifia nchi jirani ktk hospitali iliyookoa maisha ya jamaa aliyemtumia watu wamuue?
 

..inaweza kuwa anaigiza kulia.

..pia habari yote inaweza kuwa ya kutunga.

..hujasikia kwamba Jiwe aliuwawa na genge la Msoga baada ya kuwadukua?

..pia hujasikia kwamba alifia nchi jirani ktk hospitali iliyoko maisha ya jamaa aliyemtumia watu wamuue?
 
If anything tulichojifunza wakati waziri alipoulizwa raisi yuko wapi, marehemu alikuwa hai bado.

Good morning 👋
 

..walivyokuwa wanatukana na kujitapa unafikiri waliwaza kuondoka madarakani?
 
Mabeyo hakuwa na sifa ya kuwa CDF alibebwa na ukabila. Magu alikuwa mkabila hasa, mpk leo sijui ingegawanyika mara ngapi.
Tuambie wewe nani alipaswa kuwa Mkuu wa Majeshi? Maana Mabeyo wakati JPM anaingia tayari alikuwa ni moja ya makamanda wa ngazi ya juu kabisa jeshini wala si kwa kubebwa na Magufuli!
 
Kweli….si umemsikia hata Jenerali Mabeyo kasema kuwa Rais Magufuli alimwambia [CDF] awaamuru madaktari wamrudishe nyumbani lakini akasema hana mamlaka hayo.

Magufuli akashangaa kwa nini CDF hawezi kuwaamuru hao madaktari wamrudishe nyumbani. Jenerali akasema hilo ni suala la madaktari na siyo CDF.

Magufuli alikuwa anadhani kwa vile Mabeyo ni CDF, basi anaweza kutoa amri kwa yeyote yule na ikatekelezwa.

Kwa kuangalia tu juu juu, Mabeyo anaonekana kama ni mtu mwenye sense.

At least that’s how he came across in the interview.
 
General H. Norman Schwarzkopf Jr.

One of my favorite US generals.

Press conferences zake za Gulf War ni classics.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…