Christina Shusho: Nilimuacha mume nitimize ndoto zangu

Ni ngumu
 
dogo aliyezunguka naye miezi 3 kenya,amemwacha mumewe huku bongo, alishatoa sana hizo allegations kwamba alikuwa anamtaka na alivyogoma anamroga. hatusemi kuwa ya kweli, hatujui, ila mtu kama ameachana na mumewe, akipewa allegationkuwa anataka vijana wadogo nani atashindwa kuamini, mtu mwenyewe kajaa kiburi, dharau na macho juu juu vile? kwamba kweli ameshindwa kufanikiwa kwa kuinuliwa na Mungu ameamua afanikiwe kwa kuinuliwa na kick za kuwa na diamond, anataka diamond ampe umaarufu badala ya Mungu ndio ampe umaarufu? kwani yule dadangu wa mbeya aliyeimba wimbo na hamonize ameishia wapi? hamonize ameshaokoka? au ndio vitimbwi vilizidi na Jina la BWana likazidi kutukanwa? watu wanatafuta kufanikiwa kwa njia ya kimwili badala ya kufuata njia za rohoni. Mungu awasaidie.
 
kama kawaida yetu mwimbaji akipotoka tunatupa nyimbo zake na kuzifuta kwenye simu zetu
 
Huyo Christina Shusho amejiunga kwenye utajiri wa nguvu za giza/freemasons

Kipindi yupo na mume wake, mume aliumwa sanaa, watumishi wenzake wakamuombea ikagundulika Christina anataka kumtoa mume wake kafara
Akaulizwa akakana... mume akapona ndoa ikaendelea, alikua ni mwizi kwa mume wake
Ametembea sana na waumini wa kike kanisani kwa mume wake

Alipoona nguvu za Mungu kwa mume wake zinamuharibia mambo yake ndio akaanza kudai talaka

Ndoa imeisha kafungua kanisa
Kwa ambao washawahi kwenda kwenye kanisa la Christina watakua mashahidi! Kanisani kwake madhabahuni hamna msalaba kuashiria kristo kama kwenye makanisa mengine.
Waumini wanaingia ibadani na vipedo, tight na skin jeans, yeye mwenyewe Madam anafundisha neno huku kavaa gauni limemshape (anaitwa madam kwasababu kawapiga marufuku waumini wasimuite mchungaji)

Nimeishia hapo.
 
Angel benard nilisikitika sana asee
 
vipi yale mapete, ni ya urembo tu?
 
Utafiti unaonesha Waimbaji wa kike mara nyingi ndoa zao either zina viraka au zimevunjika kabisa
1) Beatrice muhone
2)Rose Muhando
3)Bahati Bukuku
4)Martha Mwaipaja na sasa
5)Angel Bernad
6) Christina Shusho

Hii sio Coincidence kuna shida mahali.
Ni MaPromax kama wengine.Nyimbo za Dini hakuwafanyi kukwepa hilo.
Tena huko ndiko kuzuri mno.
Kuwa rafiki wa Mondi si kitu chepesi tena Mwanamke.
 
Hamna mtu anayeweza muelewa Christina kwakuwa ukiitwa na Mungu Kuna vitu unatakiwa uache ..

Hata wanafunzi wa Yesu waliacha hata kazi wakamfuata Yesu...

Mambo ya Rohoni na mwilini ni tofauti kabisa...
Wale walikuwa na familia zao Bible haikutaka kudeal na Familia zao.
Usije danganyika.,wote umri ulichangamka.

Udangayifu,ubinafsi,choyo ,usaliti ni sehemu ya asili ya Binadamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…