Interlacustrine R
JF-Expert Member
- Jan 22, 2022
- 8,365
- 16,444
Kumbe wewe ndiwe Tapeli uliyeimba nyimbo ya "Adamu"kwenye albamu yako ya Utukumbuke kuthibitisha ndoa iliyoasisiwa na Mungu afu unajipinga mwenyewe?Alivyotangaza habari za ufufuo wa Yesu...
Tena alikuwa na macho ya Rohoni...
Maana hata hao mitume wengine hawakuwa na macho ya Rohoni, ni Petro tu alimjua kuwa Yesu ni nani...
Mariam Magdalene mwanamke ambaye alikuwa wa kwanza kutanganza injili ya ufufuo wa Yesu...
Hakuna hako kaudhaifu, ni dhana iliyopo na haina ukweli sana.Hatari sana. Sasa ukute umeoa mwanamke;
1. ana hela kukuzidi
2. ana cheo kukuzidi
3. ana shule kukuzidi
Wa hivi kuweza kuhandle ndoa ikamuendea vizuri ni wachache sana. Sema nini, na wanaume sisi, kuwa na mwanamke wa hivi, hata asiposema chochote, huwa tuna ka-inferiority complex flani hivii..!!
Kweli mkuu. Somo la history lisingewekwa kwenye combinations kama civicsUkishaujua ukweli watasema umechanganyikiwa ili kila usemacho jamii ione kasema chizi, Christina yuko sawa kabisa, kwa miaka mingi jamii zetu zimelaghaiwa sana na masuala ya dini. Kama Mungu alituma hao mitume kwa nini sie waafrika tuwajue kupitia wazungu na waarabu. Sie hatuna mtume au nabii wetu ambae wazungu wanaweza kutoka na kusema huyu alkuwa Muafrika. Wake up guys. Kwa wale wa Technical schools watanielewa, hakuna somo la History maana yake halina umuhimu.
Mwimbaji nguli wa nyimbo za injili ambaye kwa sasa amegeukia kazi ya uchungaji, mchungaji Christina Shusho, amesema aliamua kuachana na mume wake ili atimize ndoto zake. Haya sio maneno yangu bali amenukuliwa akitamka maneno hayo na mtandao wa "5newsTZ"
View attachment 2959387
"Kusema ule ukweli mimi niliondoka kwa mume wangu ili nianzishe kanisa langu, nilijiongeza ili ndoto zangu ziweze kutimia maana kama ningeendelea kuungana na mume wangu sehemu moja ningeendelea kudidimia. Siku hizi hakuna mambo ya mke na mume ni mwili mmoja!! hiyo haipo utapotea ndugu yangu, wewe na mume wako au na mke wako hamuwezi kuwa sawa, hiyo haipo kila mtu ana njia zake"
"Na mimi siogopi watu nasema ukweli, haya ninayoyasema ndiyo yapo kichwani kwangu, huyu ndio mimi, kwanini niendelee kudanganya watu. Kwanza mimi licha ya kuwa Mchungaji lakini sipendi watu waniite Mchungaji Christina Shusho, sipendi na sitaki"-Christina Shusho Mwimbaji nguli wa muziki wa Injili
MAONI YANGU
Mimi namuunga mkono mchungaji kwa asilimia 100 kwani mume sio ndugu yako bali ni kama rafiki mliyekutana ili kuunda familia. Ukiona mume/mke anasababisha malengo yako yasitimie, achana naye mara moja. Nawashauri wanaume msiwe vikwazo kwenye ndoto za wake zenu. Namtakia kila la kheri mchungaji Shusho kwenye kazi yake mpya ya kueneza injili ya Bwana. Mungu ambariki sana.
Ndo basi tenashetani ukimkemea siku akikukamata atalipiza kisasi
nani anaweza kuishi na mwanamke mzinzi/malaya/mdangaji at all times? Labda mkubaliane maisha hayo, na huo ni uzuzuKikwazo kwa maendeleo kivipi? Kama kudanga ni maendeleo basi wengi tutakuwa vikwazo haswaa!
Ukiwa na mume mkashirikiana mbona unaishi ndoto zako tu. Tatizo ndoto zenyewe sasa unakuta mtu anataka uhuru wa kudanga
Kuna SHIDA 2 naziona kwa WAIMBAJI Wanaoinuka:Mwimbaji nguli wa nyimbo za injili ambaye kwa sasa amegeukia kazi ya uchungaji, mchungaji Christina Shusho, amesema aliamua kuachana na mume wake ili atimize ndoto zake. Haya sio maneno yangu bali amenukuliwa akitamka maneno hayo na mtandao wa "5newsTZ"
View attachment 2959387
"Kusema ule ukweli mimi niliondoka kwa mume wangu ili nianzishe kanisa langu, nilijiongeza ili ndoto zangu ziweze kutimia maana kama ningeendelea kuungana na mume wangu sehemu moja ningeendelea kudidimia. Siku hizi hakuna mambo ya mke na mume ni mwili mmoja!! hiyo haipo utapotea ndugu yangu, wewe na mume wako au na mke wako hamuwezi kuwa sawa, hiyo haipo kila mtu ana njia zake"
"Na mimi siogopi watu nasema ukweli, haya ninayoyasema ndiyo yapo kichwani kwangu, huyu ndio mimi, kwanini niendelee kudanganya watu. Kwanza mimi licha ya kuwa Mchungaji lakini sipendi watu waniite Mchungaji Christina Shusho, sipendi na sitaki"-Christina Shusho Mwimbaji nguli wa muziki wa Injili
MAONI YANGU
Mimi namuunga mkono mchungaji kwa asilimia 100 kwani mume sio ndugu yako bali ni kama rafiki mliyekutana ili kuunda familia. Ukiona mume/mke anasababisha malengo yako yasitimie, achana naye mara moja. Nawashauri wanaume msiwe vikwazo kwenye ndoto za wake zenu. Namtakia kila la kheri mchungaji Shusho kwenye kazi yake mpya ya kueneza injili ya Bwana. Mungu ambariki sana.
Wapo baadhi ya wanaume kwa upuuzi wao au ufahari wa kiume ama fikra hasi, huzimisha au hukwamisha mipango ya kiuchumi ya wake zao ambayo ingetimia ingekua faida kwa familia nzima.Conclusion yako ni ipi sasa mkuu?
Kuna SHIDA 2 naziona kwa WAIMBAJI Wanaoinuka:Dhambi moja huendeleza zingine.
Achukue mzani ajipime kisha ajirekebishe arejee kwa mumewe
Kama ambavyo wanasema viongozi wote/tawala zote zinatoka kwa Mungu.Wanasema katika ukristo mume anatoka kwa MUNGU au?
tulie mbali nae tunamtamani tumpate tuonje mpiko, itakuaje kwa hao vijana walafi wa mbususu wamuache hivihivi bila kumdonoa na jinsi alivyonona na kupendeza?Hakuna Mungu anayevunja ndoa ili umtumikie. Huyo Kanogewa na umaarufu na kaona yule mmewe ni kama mshamba na mzee anataka aanze kuliwa na akina Diamond tu. Anatafuta justification sasa aonekane hajaolewa ili apigwe pumbu bila watu kuhofia kuwa yu mke wa mtu.
Sio kila mara ipo hivyo. Kuna wanaume wabinafsi wewe hujawahu kukutana nao...hawataki uuze hata maandazi, wababe wa koshambaUkiwa na mume mkashirikiana mbona unaishi ndoto zako tu. Tatizo ndoto zenyewe sasa unakuta mtu anataka uhuru wa kudanga 😂
damu changa watamtangaza kuwa amewapaAnatafta damu changa
Inasikitisha sanaimeshakuwa fasheni mkuu wangu, hali ni tete kwa kweli huko mbeleni kutakuwa na jamii ya ajabu isiyo na maadili ya ndoa na familia
hilo tuachie tutaona namna ya kulitatuaHivi si inasemekana kuwa ktk ndoa ni kumhubiri huyo bwana wenu,sasa mbona yeye kaachana na hiyo taasisi ya ndoa halafu anawadanganya kuwa anamhubiri bwana yenu?
sasa kama ana mbususu iko huru ataachaje kuzini?Kwa hiyo baada ya uchungaji nje inabidi azini?
sore mkuu sitasoma ayo mengine zaidi ya kumshukuru mungu kwa huu uumbaji. imagine ukamate lishangazi mujarabh lenye mwanya kama ilo mamaaae hlf ulipige doggy style moja matata sana yani unato..omba adi bao zinajiunga zenyewe uko juu kwa juu. ☆$¥¤`₩¥kuna watu wanakojoa sehemu salama aise.Mwimbaji nguli wa nyimbo za injili ambaye kwa sasa amegeukia kazi ya uchungaji, mchungaji Christina Shusho, amesema aliamua kuachana na mume wake ili atimize ndoto zake. Haya sio maneno yangu bali amenukuliwa akitamka maneno hayo na mtandao wa "5newsTZ"