Chuki ya Museveni kwa Besigye ya nini wakati ni familia? Amekuwa daktari wake na amelelewa familia moja na Winnie mke wa Besigye!

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Museveni rais wa Uganda alikuwa mtoto wa kuasiliwa(adopted) katika familia ya Byanyima wakiishi pamoja na Winnie Byanyima mke wa kiongozi wa upinzani Kizza Besigye aliyetiwa kizuizini na serikali ya Museveni kwa sasa. Amesomeshwa na kukuzwa na hiyo familia mpaka alipoweza kujitegemea.

Maisha yote ya kisiasa ya Kizza Besigye baada ya kuhamia upinzani yamekuwa ya mateso ya kila aina ikiwemo vipigo vya polisi na kuwekwa kizuizini gerezani au nyumbani kila mara licha ya hapo zamani kuwa daktari binafsi wa Museveni, kupigana vita pamoja msituni na Museveni kulelewa katika familia ya baba mkwe wake!
 
Ngozi nyeusi inatisha kuliko vyote swala la madaraka.
 
Rafiki yako mkubwa aweza kuwa adui kama humjui jui..akili ni nywele.....
 
Chanzo ni Mbususu ya Winnie na wivu wa Jane
 
Ndivyo siasa zilivyo, ni aidha survive au perish. Kila mmoja analinda future yake.
 
Besigye alimpora m7 wake

USSR
 
Binadamu Hawana jema
 
Ila Yote Kwa Yote Besigye Ni Komandoo Haswa Anaishi kwenye Misimamo yake
 
Haaahaa mke wa Besigye kipindi hicho binti alikataa kuolewa na M7 ndio sababu kuu.
Kama ulishawahi kuangalia series inaitwa Iris ya kikorea utaelewa kule kisa cha marafiki wawili kumpenda demu mmoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…