Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Museveni rais wa Uganda alikuwa mtoto wa kuasiliwa(adopted) katika familia ya Byanyima wakiishi pamoja na Winnie Byanyima mke wa kiongozi wa upinzani Kizza Besigye aliyetiwa kizuizini na serikali ya Museveni kwa sasa. Amesomeshwa na kukuzwa na hiyo familia mpaka alipoweza kujitegemea.
Maisha yote ya kisiasa ya Kizza Besigye baada ya kuhamia upinzani yamekuwa ya mateso ya kila aina ikiwemo vipigo vya polisi na kuwekwa kizuizini gerezani au nyumbani kila mara licha ya hapo zamani kuwa daktari binafsi wa Museveni, kupigana vita pamoja msituni na Museveni kulelewa katika familia ya baba mkwe wake!