Kwahiyo Mzamiru anamroga nani pale?Hata Usema vipi Ukweli itabaki pale pale…
Msimbazi wachezaji wazawa wanawaloga wageni ili wasifanye vema kwa kila namna.
Wakati wenzao wa Jangwani hakuna wachezaji kulogana…kabisa
kunna wazee kina Mpili na wenzake wakikuchungulia wakakuta unaloga wenzio wanakuondoa Fastaaa!
Kuloga wanaloga nje sio wachezaji wao kwa wao.
Msimbazi huu mtundo unadekezwa na Viongozi sio kwa masslahi ya Timu bali Mahaba ya Wachezaji wanaowapenda!
Unataka kusema usajili ulifanyika bure?Walio mleta kocha wanajua falsafa za Robertinho ni direct football sasa kumlaumu ni ku mkosea, direct football inahitaji nguvu na kasi ya kuwahi kwenye maeneo.
Bahati mbaya aina iyo ya mchezo inahitaji vijana tena wenye kasi sana.
Simba ya sasa ina wachezaji wazuri ila inakosa uwiano, na kujituma.
Kocha Ameishiwa Mbinu Bhana huyo Chama Unayesema Anamuangusha Kocha Ndiye Aliyefunga Mabao Mawili Away yaliyotusaidia kuingia Makundi
ANGALIZO.Huyo ni TAHIRAA mkuu.
Akili yake haipo TIMAMU.
Tuliisha mpuuza
Hakuna Mtu MWENYE AKILI TIMAMU ANAYEWEZA KUhangaika NAYE.
ANGALIZO.
.......,................
Vitabu vya dini vinasisitiza vile vile na watu wenye akili kila siku wanasisitiza kuwa " usibishane na mpumbavu(tahira,chizi nk)" sasa wewe umeshakiri kuwa mleta nada ni tahira hana akili halafu kila siku unamfuatilia mada zake ,kubishana nae ,kumchokoza nk hapo haujioni kuwa wewe unatatizo kubwa ndani yako ?Angalizo la nini????
Hakuna Neno la kiswahili.
TAAHIRAA
TAHIRAAA
TWAHIRAAA
TAAAILA NK.
Nimeshangaa eti Kibu anampambania kocha???Chama anahujumu timu kivipi?. Juzi kafunga magoli mawili kule ndola.
ANGALIZOHuyo ni TAHIRAA mkuu.
Akili yake haipo TIMAMU.
Tuliisha mpuuza
Hakuna Mtu MWENYE AKILI TIMAMU ANAYEWEZA KUhangaika NAYE.
ANGALIZOHuyo TAHIRA AMEKAA amwtafakari.
Ameona aje alete UPUMBAFU wake hapa.
TAAHIRA MKUBWA WEWE.....
ANGALIZOAngalizo la nini????
Hakuna Neno la kiswahili.
TAAHIRAA
TAHIRAAA
TWAHIRAAA
TAAAILA NK.